Wachezaji wa Liverpool wakisikitika baada ya kuvuliwa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kufungwa 3-2 na Atletico Madrid jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora, hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 4-2 kufuatia kuchapwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Jijini Madrid Februari 18.
Liverpool jana iltangulia kwa bao la Georginio Wijnaldum dakika ya 43 na kufanya sare ya jumla ya 1-1, hivyo mchezo ukahamia kwenye dakika za 30 za nyongeza, ambako wenyeji walitangulia tena kwa bao la Roberto Firmino dakika ya 94, kabla ya Atletico Madrid kuzinduka kwa mabao ya Marcos Llorente dakika ya 97 na 105 na Alvaro Morata dakika ya 120 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3cRlUQy
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms