Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya wanawake u-17 ya Tanzania, Bakari Shime amesema kuwa kikosi kimejipanga kufanya vyema katika mechi dhidi ya Uganda.
Timu hiyo ya wanawake inashuka dimbani Jumapili uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kuwakaribisha Uganda katika mchezo wa kufuzu kombe la Dunia nchini India, Julai mwaka huu.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Shime amesema kuwa ana amini kuwa maandalizi yapo vizuri na wanahakikisha watafanya vyema katika mechi hiyo ya hapa nyumbani.
Alisema kuwa wachezaji wote wapo vizuri na kikosi kina morali ya kuibuka na ushindi katika mechi hiyo.
“Kwa mujibu wa ripoti ya daktari hakuna majeruhi wachezaji wote wapo fiti na kufikia siku ya mechi kikosi kitahakikisha kinafanya vyema katika mechi hiyo ambayo ni mechi muhimu kwa taifa" alisema
Aliongeza kuwa maandalizi yapo vizuri na wamepanga kufanya vyema nyumbani na ugenini japo mechi utakuwa ngumu lakini atahakikisha kikosi kinafanya vyema.
Naye nahodha wa timu hiyo, Irene Elias alisema kikosi kimejiandaa kufanya vyema katika mchezo huo japo mechi utakuwa ngumu.
"Nina Imani Mungu yupo upande wetu tutafanya vyema katika mechi hiyo kutokana na maandalizi ambayo tumefanya," alisema.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3cf0mgx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms