Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM
REFA Martin Saanya wa Morogoro ndiye atakayepuliza kipyenga katika mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Yanga SC na Simba itakayohudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Jumapili Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo namba 260 Saanya atasaidia wa mwamuzi Namba Moja (Line One) Mohamed Mkono Kutoka Tanga, Mwamuzi Namba Mbili (Line Two) Frank Komba wa Dar es Salaam, pia Mwamuzi wa Mezani (Fourth Official) Elly Sasii wa Dar es Salaam.
Hali hii imekuja baada kuwa na malalamiko mengi juu ya waamuzi na kuhakikisha mchezo huo unachezeshwa kwa ubora na kutangaza waamuzi wawili wa ziada ambao watasimama kwenye mstari wa goli ambao Ni Abdallah Mwinyimkuu wa Singida Na Ramadhani Kayoko wa Daresalaam.
Mtathimini wa waamuzi katika mechi hiyo atakuwa Ni Sudi Abdi wa Arusha na Kamishina wa mchezo Ni Mohamed Mkweche wa Dar es Salaam.
Hata hivyo mara ya kwanza Tanzania Kutumia muundo huu was waamuzi ilikuwa Ni mwaka 2019 wakati wa mechi za hatua ya robo Fainali ya Michuano ya Afcon U17 iliyofanyika jijini Daresalaam.
Hata hivyo Mchezo huu wa jumapili unatarajiwa kuhudhuliwa na Rais wa CAF Ahmad Ahmad ambaye pia atakuwa Ni mgeni wa Heshima siku hiyo ya mechi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3cyStCR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms