• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ▼  Maret (355)
      • April Fools Promotion - Terms and Conditions
      • International Racing: Ascot - Wednesday 1 April 2020
      • International Racing: Sunshine Coast - Wednesday 0...
      • Jika Sports - Bet on animated soccer and horse racing
      • International Racing: Launceston – Wednesday 01 Ap...
      • International Racing Best Bets - Wednesday 31 Marc...
      • Anthony Delpech - Sha Tin Preview - Wednesday 1st ...
      • MJUMBE WA KAMATI YA UCHAGUZI YA KLABU YA SIMBA, ID...
      • HUU NDIYO 'MSOSI' ANAOGONGA KIUNGO MSHAMBULIAJI HA...
      • International Racing: Rosehill Gardens – Wednesday...
      • International Racing: Sha Tin – Wednesday 01 April...
      • Buy OTT Voucher online
      • Know Your Lotto Numbers - SA Powa Numbas
      • This Week's Lucky Numbers Draws
      • ON THIS DAY - DUBAI SHEEMA CLASSIC - 31st MARCH 2007
      • Belarus Premier League: Week 3 Preview
      • International Racing Best Bets - Tuesday 31 March ...
      • KAKOLANYA HANA KINYONGO NA AISHI MANULA KUDAKA MEC...
      • International Racing: Grafton (AUS) Tuesday 31 Mar...
      • International Racing: Mackay (AUS) – Tuesday 31 Ma...
      • Top Five Ways to Stay in Touch with the Beautiful ...
      • Electronic Soccer Leagues Promotion: Terms and Con...
      • International Racing: Will Rogers Downs USA – Mond...
      • International Racing: Mornington – Tuesday 31 Marc...
      • Rugby News: Monday 30 March
      • SA Daily Lotto
      • KIUNGO WA SIMBA SC, FRANCS KAHATA NYAMBURA AGAWA L...
      • NYOTA WA TP MAZEMBE, MTANZANIA THOMAS EMMANUEL ULI...
      • Neil Morrice: International Racing Tips - Monday 3...
      • NYOTA WA MAN UNITED, ANTHONY MARTIAL NA MWONEKANO ...
      • MSHAMBULIAJI WA MTIBWA SUGAR YA MOROGORO, STAHMIL ...
      • International Racing: Sunday 29 March 2020 – Borde...
      • RONALDO ANUNUA BUGATTI CENTODIECI SPORTS YA KISASA...
      • NYOTA WA KLABU YA AZAM FC NA TAiFA STARS SHAABAN I...
      • MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAINI MKATABA WA...
      • Neil Morrice: Sha Tin Preview - Sunday 29 March 2020
      • International Racing: Geraldton – Sunday 29 March ...
      • Anthony Delpech - Sha Tin Preview - Sunday 29th Ma...
      • International Racing: Gulfstream Park – Saturday 2...
      • CASH OUT IS HERE!
      • International Racing: Sha Tin – Sunday 29 March 20...
      • Online deposit promotion: Stand a chance to win do...
      • Hollywoodbets Sizzling Punters’ Challenge Winner R...
      • Neil Morrice: International Racing Tips - Saturday...
      • DK MSOLLA AWASIMAMISHA ‘WABISHI’ WAWILI KATIKA ORO...
      • MAGWIJI AFRIKA WAUNGANA KATIKA DHIDI YA VIRUSI VYA...
      • Lost your password? How to reset your password wit...
      • International Racing: Rosehill Gardens – Saturday ...
      • MJUMBE YANGA SC AWA WA KWANZA KUJIUZUKU TUHUMA ZA ...
      • International Racing: Gulfstream Park – Friday 27 ...
      • SHANGHAI SHENHUA YAMPA IGHALO OFA YA MKATABA MPYA ...
      • UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA...
      • KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOT...
      • International Racing Best Bets - Friday 27 March 2020
      • International Racing: Kranji – Friday 27 March 2020
      • Understanding Betgames Africa 6+ Poker
      • F1 2020: Where Do We Go?
      • International Racing Best Bets - Thursday 26 March...
      • ALIYEKUWA AFISA HABARI WA SIMBA SC, ASHA MUHAJI AF...
      • Know Your Lotto Numbers - South African Lotto
      • A Hollywoodbets punter struck it big winning R250 000
      • Betgames Africa Draws Explained
      • Undetstanding Betgames Africa's Dice Duel
      • PSL aim to complete the season by June
      • Opinion: Whether it is men's or women's cricket th...
      • MBWANA SAMATTA AONYESHA YEYE NI “CHIZI MABENZI” BA...
      • KWA RONALDO HAKUNA MAPUMZIKO, PAMOJA NA CORONA YEY...
      • MTANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, SIMO...
      • TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YA KUSHIRIKI MASH...
      • International Racing Best Bets - Wednesday 25 Marc...
      • Hollywoodbets Dolphins announced as MODC champions
      • Know Your Lotto Numbers - France 49
      • Your Favorite Celebrities and Their PSL Teams
      • Understanding Betgames Africa's Bet on Poker
      • International Racing: Happy Valley – Wednesday 25 ...
      • Horse Racing Tips: Vaal Best Bets: Thursday 26 Mar...
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Wednesday ...
      • Horse Racing Tips: Turffontein Best Bets - Tuesday...
      • KASEJA AJIFUA KWA BIDII BAADA YA KUPONA GOTI ILI A...
      • MEXIME ASITA KUHAMIA YANGA SC, ASEMA ANATEMBEA NA ...
      • NDAYIRAGIJE ASEMA ATALAZIMIKA KUUNDA UPYA KIKOSI C...
      • CORONA; MIKE TYSON AINGIA KARANTINI NA MBWA WAKE
      • NYOTA WA BRAZIL, HULK AOA MPWA WA MKEWE WA ZAMANI ...
      • Russian Lucky Numbers Promotion - Terms and Condit...
      • Know Your Lotto Numbers - Russian Draws
      • Covid-19 - Lucky Numbers Updates
      • International Racing Best Bets - Tuesday 24 March ...
      • Stay Strong, Stay Healthy - Bet from the comfort o...
      • Understand Betgames Africa's Speedy 7
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA CLEMENT KAHABUKA
      • International Racing Tips - Monday 23 March 2020
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBERY NA VICTOR COSTA II
      • Stand A Chance To Win Your Share of R300 000 In Ca...
      • KELVIN YONDAN ANAVYOZEEKA NA UTAMU WAKE YANGA NA T...
      • Sizzling Punters' Challenge - Results - Sunday 22n...
      • RAIS WA ZAMANI WA REAL MADRID AFARIKI KWA UGONJWA ...
      • LIGI KUU YA ENGLAND KUREJEA JUNI 1, ITAFANYIKA NA ...
      • Super Rugby 2020: Is There A Plan B?
      • KIKOSI CHA 82 RANGERS KILICHOIKOMALIA SIMBA SC MWA...
      • Anthony Delpech's Selections - Sunday 22nd March -...
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MIQUISSONE APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KMC 2-0 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LIGI KUU

MIQUISSONE APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KMC 2-0 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LIGI KUU

Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM 
MABINGWA watetezi, Simba SC wamezidi kuwapa raha mashabiki wao baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Kwa ushindi huo, Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck anayesaidiwa na mzawa Suleiman Matola inafikisha pointi 65 katika mchezo wa 25 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 17 zaidi ya Azam FC inayofuatia nafas ya pili. 
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Elly Sasii aliyesadiwa na Frank Komba na Hamisi Chang’walu wote wa Dar es Salaam, mabao yote ya Simba SC yamefungwa na kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kipindi cha pili.
Miquissone aliye katika msimu wake wa kwanza Simba aliyojiunga nayo akitokea UD Songo ya kwao alipokuwa anacheza kwa mkopo kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini alifunga bao la kwanza dakika ya 70 akimalizia pasi ya Clatous Chama
Miquissone mwenye umri wa miaka 24 aliyeibukia UD Songo mwaka 2014 kabla ya kuuzwa Mamelodi Sundowns mwaka 2018 ambayo ilimpeleka kwa mkopo Chippa United na Royal Eagles kabla ya kumrudisha Msumbiji, alifunga bao la pili dakika ya 72 akimalizia pasi ya Nahodha, mshambuliaji John Bocco.
Na baada ya kazi hiyo nzuri kocha Vandonbroeck akampumzosha Miquissone dakika ya 75 nafasi yake ikichukuliwa na kiungo wa kimataifa wa Sudan, Sharaf Eldin Shiboub. 
Matokeo haya yanakuja kuelekea mechi dhidi ya mahasimu wa jadi, Yanga Machi 8 Uwanja wa Taifa. Yanga nayo ilishinda 2-0 dhidi ya Alliance FC ya Mwanza jana hapo hapo Uwanja wa Taifa, mabao yote yakifungwa na Ditram Nchimbi. 
Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Hassan Dilunga/Deo Kanda dk18, Clatous Chama/Ibrahim Ajibu dk81, John Bocco, Luis Miquissone/Sharaf Eldin Shiboub dk75 na Francis Kahata,
KMC; Jonathan Nahimana, Kelvin Sospeter, Ally Ramadhani, Ismail Gambo, Sadallah Lipangile, Kenny Ally, Hassan Kabunda, Emmanuel Mvuyekule, Charles Ilamfya/Salim Aiyee dk66, Hassan Kapalata/Mohamed Samatta dk86 na Sergy Alain/James Msuva dk75.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3cljp8R best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MIQUISSONE APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KMC 2-0 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LIGI KUU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/03/miquissone-apiga-zote-mbili-simba-sc.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 11.33
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • YANGA SC TAYARI WAPO SHINYANGA KWA AJILI YA MCHEZO NA MWADUI FC KESHO KAMBARAGE
    YANGA SC TAYARI WAPO SHINYANGA KWA AJILI YA MCHEZO NA MWADUI FC KESHO KAMBARAGE
    KIKOSI cha Yanga SC tayari kipo Shinyanga kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC kesho Uwanja wa Kambar...
Copyright Viral Sports: MIQUISSONE APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KMC 2-0 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LIGI KUU