Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohamed ‘Mo’ Dewji amempongeza kocha Mkuu wa klabu hiyo, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck kwa kazi nzuri inayoifanya timu ing’are katika soka ya Tanzania.
“Hongera kocha Sven kwa kazi nzuri. Kwa kweli wachezaji wetu wanajituma kwenye michezo yote tunayocheza. Sasa tujipange kwa mchezo wa jumapili na watani wetu. Lengo letu ni kuwa Mabingwa! Isha’Allah tutafanikiwa,”amesema Dewji leo Dar es Salaam.
Pongezi za Mo Dewji zinakuja siku moja tu baada ya mabingwa watetezi, Simba SC kuendelea kudhihirisha ubora wao katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC usiku wa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ushindi huo, Simba SC ifikishe pointi 68 baada ya kucheza mechi 26, sasa ikiizidi pointi 20 Azam FC inayofuatia nafasi ya pili – na wakati huo huo Wekundu wa Msimbazi wametinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Baada ya ushindi wa jana, Simba SC ilirejea kambini kujiandaa na mchezo mwingine mgumu wa Ligi Kuu dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga Jumapili hapo hapo Uwanja wa Taifa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2vKvtAf
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms