Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BONDIA wa Super Welter Weight Mtanzania Hassan Mwakinyo Machi 21, 2020 anashuka ulingoni nchini Ujerumani kupigana na bondia Mjerumani Jack Culcay kuwania mkanda wa ubingwa wa WBO International Super Welter Weight.
Mwakinyo, 24, ambaye katika uzito wa Super Welter anashika nafasi ya kwanza kwa ubora barani Afrika na namba 20 Duniani , atakuwa ni bondia wa kwanza Mtanzania kugombea mkanda huo ambao ni wa pili kwa ukubwa baada ya ule wa Dunia wa WBO uliokuwa unaishikiliwa na bondia Manny Pacquiao.
Mpinzani wake Jack Culcay ni bondia namba 1 kwa ubora Ujerumani kwenye uzito wa Super Welter akishika nafasi ya 4 barani ulaya.
Jack Culcay ,34, amewahi kushinda medali za dhahabu katika mashindano ya ngumi Dunia, medali ya shaba katika Olympic na kumfanya kupatiwa jina la Golden Jack na Wajerumani.
Culcay ameweza kuutetea mkanda huo anaoushikilia mara moja dhidi ya Mjerumani mwenzake Jama Saidi.
Hassan Mwakinyo akifanikiwa kushinda mkanda huu na kuutetea mara mbili atakuwa amejiweka katika nafasi ya kugombea mkanda wa Dunia ambao umewahi kushikiliwa na Manny Paquiao.
Mwakinyo mpaka sasa amepigana mapambano 18, akishinda 16 (11 kwa KO) na kupoteza mara mbili huku Mpinzani wa wake akiwa amepigana mapambano 31, na kushinda 27 (13 kwa KO) na amepoteza mapambano manne.
Mwakinyo anaenda pigana pambano hili akiwa na rekodi nzuri ya Kushinda mapambano yake mawili ya mwisho nje ya nchi moja dhidi ya Muingereza Sam Eggington na lingine dhidi ya Muargentina Raul Ginzalenz rekodi inayombeba dhidi ya mpinzani wake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/39g4xXI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms