BAO la dakika ya saba la mshambuliaji Riffat Msuya limeipa ushindi wa 1-0 Mtibwa Sugar dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Kwa ushindi huo, Mtibwa Sugar imefikisha pointi 16 baada ya kucheza mechi 14 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya 13, wakati Mwadui inabaki na pointi zake 10 za mechi 14 katika nafasi ya 17 kwenye ligi ya 18, ambayo mwisho mwa msimu timu nne zitateremka daraja.
Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, Ihefu SC imelazimishwa sare ya 1-1 na JKT Tanzania Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Joseph Kinyozi alianza kuifungia Ihefu SC dakika ya 46, kabla ya Hassan Twalib kuisawazishia JKT Tanzania dakika ya 90 na ushei.
Sasa Ihefu imefikisha pointi saba baada ya kucheza mechi 14, ingawa inaendelea kusbhika, wakati JKT Tanzania imefikisha pointi 11 kufuatia kucheza mechi 14 pia, japokuwa nayo inabaki nafasi ya 16.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2VGwrXE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms