• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ▼  Desember (387)
      • WABUNGE WA ZAMANI NA WA SASA WAGONGANA KUWANIA UEN...
      • YANGA SC CHUPUCHUPU KUZAMA KWA PRISONS, WASAWAZISH...
      • Australian Racing: 1 January - 3 January 2021
      • Neil Morrice: International Racing - Friday 1 Janu...
      • SHA TIN Best Bets - 01 January 2021
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Sunday 3 Janua...
      • Turffontein Best Bets - Saturday 2 January 2021
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 2 Janaury 2021
      • Fairview Best Bets & Tips - Friday 1 January 2021
      • Fairview Best Bets & Tips - Friday 1 January 2021
      • English Premier League: Gameweek 17 Preview
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA ELCHE KATI...
      • SIMBA SC 4-0 IHEFU SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE NYINGINE ENGLAND, 0-0 ...
      • KAGERE APIGA MBILI, TSHABALALA NA MUGALU MOJA KILA...
      • You could win R2020!
      • Neil Morrice: International Racing - Thursday 31 D...
      • Turffontein Best Bets - Thursday 31 December 2020
      • Australian Racing: Thursday 31 December 2020
      • Premier League: Chelsea vs Manchester City Preview
      • BARCELONA WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA EIBAR LA LIGA
      • MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 BAO LA RASHFORD DAK...
      • LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA DEO LUCAS KATIKA S...
      • METACHA MNATA ATEMWA, JUMA KASEJA AITWA PAMOJA NA ...
      • Australian Racing: Wednesday 30 December 2020
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Wednesday 29 December...
      • Punters' Challenge Players Edge Closer to Huge Cas...
      • WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MAGWIJI WA SOKA NA KUA...
      • SIMON MSUVA AENDELEA KUNG'ARA WYDAD CASABLANCA, AF...
      • This Week's Lucky Numbers (29/12/2020)
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Wednesday 30 D...
      • DStv Premiership: Week 9 Preview
      • TFF YASEMA SINGIDA UNITED INAWADAI SH MILIONI 1 TU...
      • SIMBA SC YAMSIMAMISHA JONAS MKUDE KWA MUDA USOJULI...
      • Vaal Best Bets - Tuesday 29 December 2020
      • Australian Racing: Tuesday 29 December 2020
      • Impressive Live Instant Wins
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Tuesday 29 December 2020
      • Year End Celebration for Lucky Punter!
      • Weekend Rugby Round Up
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Monday 28 December 2020
      • You Could Win 1 of 365 R100 Vouchers
      • Fairview Best Bets & Tips - Monday 28 December 2020
      • SIMBA SC 5-0 MAJI MAJI (KOMBE LA TFF)
      • BEKI MKONGWE NCHINI KELVIN YONDAN ALIYEACHWA NA VI...
      • LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM AN...
      • SIMBA SC YAIFUMUA MAJI MAJI YA SONGEA 5-0 NA KUSON...
      • MABONDIA WA TANZANIA WAADHIBU WAGENI KWA VIPIGO TO...
      • MANCHESTER CITY WAITANDIKA NEWCASTLE UNITED 2-0 ET...
      • ARSENAL WAZINDUKA ENGLAND NA KUITANDIKA CHELSEA 3-...
      • YANGA SC WASHEREHEKEA KRISIMASI KWA KUWAFARIJI YAT...
      • CHIRWA NA TIGERE WAFUNGA AZAM FC YASONGA MBELE KOM...
      • MANCHESTER UNITED YATOA SARE 2-2 NA LEICESTER CITY...
      • Husband and wife due add to their festive cheer on...
      • Neil Morrice: UK Racing Best Bets - Sunday 26 Dece...
      • Pro 14: Round 9 Preview
      • Australian Racing: 26 December - 28 December 2020
      • SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO W...
      • MSHAMBULIAJI MZIMBABWE WA AZAM FC, PRINCE DUBE AAN...
      • SIMBA SC WAPANGWA NA MTIBWA, CHIPUKIZI KUNDI B, YA...
      • Turffontein Best Bets - Sunday 27 December 2020
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 26 December 2020
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Saturday 26 De...
      • Gallagher Premiership: Round 4 Preview
      • YANGA SC YAPITA BILA JASHO RAUNDI YA TATU ASFC BAA...
      • ULIMWENGU APIGA MBILI TP MAZEMBE YAICHAPA BOUENGUI...
      • AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA ...
      • Currie Cup: Round 5 Preview
      • MAN UNITED YATINGA NUSU FAINALI CARABAO, KUMENYANA...
      • IHEFU SC 0-3 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • French Top 14: Round 12 Preview
      • MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIAN...
      • International Racing: Thursday 24 December 2020 – ...
      • NAMUNGO FC WANG'ARA AFRIKA, WAICHAPA AL HILAL OBAY...
      • SIMBA SC YATELEZA ZIMBABWE, YACHAPWA 1-0 NA FC PLA...
      • YANGA SC YAITANDIKA IHEFU SC 3-0 NA KUKAMILISHA MZ...
      • Neil Morrice: UK Racing Best Bets - Boxing Day
      • Vaal Best Bets - Thursday 24 December 2020
      • Hollywood Syndicate – A Year That Was & 200 Winner...
      • FIORENTINA YAITANDIKA JUVENTUS MABAO 3-0 KATIKA SE...
      • MESSI AMPIKU PELE KWA MABAO BARCELONA IKISHINDA 3-...
      • New Zealand vs Pakistan: First Test Preview
      • Australia vs India: Second Test Preview
      • South Africa vs Sri Lanka: First Test Preview
      • MAN CITY YAISHINDILIA ARSENAL 4-1 NA KUTINGA NUSU ...
      • Kenilworth Best Bets - Wednesday 23 December 2020
      • BIASHARA UNITED YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 MUSO...
      • TANZANIA YAENDELEA KUTESEKA KWA WAGANDA, SERENGETI...
      • International Racing: Wednesday 23 December 2020 –...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Wednesday 23 D...
      • Lions roar at Ellis Park, Munster come back from t...
      • #PurpleHollyDays Promo: Ts and Cs
      • International Racing: Tuesday 22 December 2020 – A...
      • R300 000 in Festive US Mega Millions Winnings!
      • Vaal Best Bets - Tuesday 22 December 2020
      • Happy Valley: Best Bets and Tips - 23 December 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Tuesday 22 De...
      • REAL MADRID WASHINDA 3-1 NA KUPANDA NAFASI YA PILI...
      • New Zealand vs Pakistan: Third T20 Preview
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO

MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO

Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Dar es Salaam
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameliagiza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuweka kipaumbele kwenye michezo ya watoto wa shule za msingi na sekondari ili kupata wachezaji wazuri wa baadaye kwa ajili ya timu za taifa.
Waziri Bashungwa ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam alipofanya kikao na viongozi wa TFF kwa pamoja na Naibu wake, Abdallah Ulega.
Waziri Bashungwa amesema lazima TFF Serikali na TFF wawe na Mpango Mkakati wa pamoja wa kuendesha michezo nchini.
"Nasisitiza utawala bora katika kuendesha michezo ikiwemo usimamizi madhubuti wa fedha zinazoingia TFF" alisema Waziri Bashungwa.


Amesema Serikali imetenga shule 56 kwa ajili ya kufundisha michezo lengo ni kuzalisha wanamichezo wengi na bira nchini.
"Serikali tuko tayari kushirikiana na TFF, Hivyo lazima shughuli zote za michezo za timu za taifa za ndani na nje ya nchi Serikali iwe na taarifa" Waziri Mhe.Bashungwa.
Kwa upande wake Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Abdallah Ulega amesisitiza kuwa Shirikisho hilo lisimamie mchango wa soka katika kupata fedha za kuhudumia timu za Taifa. 
"Ni lazima tuzo kwa wanamichezo zirejee na zipewe uzito unaostahili, lengo ni kutambua mchango wa wanamichezo katika Taifa letu" alisema Naibu Waziri Ulega
Naibu Waziri Ulega amesisitiza kuwa TFF isimamie vilabu vinavyoshiriki Kombe la Mapinduzi kupeleka timu bora kwa heshima ya kombe hilo.
Naibu Waziri amesisitiza pia uhamasishaji wa michezo kwa timu za Taifa ikiwemo   uhamisishaji wa ununuzi wa jezi za timu ya Taifa.
Naye, Rais wa TFF, Wallace Karia amesema kwamba Shirikisho lao limeanza kutekeleza Ilani ikiwemo kuwa na Mpango Mkakati wa kuendeleza michezo pamoja na kuimarisha Utawala Bora.
Vilevile, Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Bw.Alfred Kidau ameeleza kuwa maandaalizi ya kushiriki Kombe la CHAN yameanza ambapo timu zitaingia kambini Januari 2021.
Katika Hatua nyingine, Waziri Bashungwa amesisitiza kuwa Michezo itaendelea kuwa nyenzo katika kudumisha Muungano. Amesema hayo leo pia Jijini Dar es Salaam katika Kikao cha Maandalizi ya kushiriki Michezo ya Olimpiki Tokyo mwaka 2021.
Akiendelea kuzungumza katika Kikao hicho kilichoshirikisha Baraza la Michezo la Taifa, Baraza la Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Kamati ya Maandalizi ya Olimpiki, Chama cha Riadha pamoja na Shirikisho la ngumi alisema kikao hicho kinalenga kujadili namna Taifa hili litakavyoshiriki Michezo hiyo.
"Naendelea kusisitiza suala la Utawala Bora kwa Vyama na Mashirikisho yote ya Michezo, pia hakikisheni mnasaidia ustawi wa timu zetu za Taifa,"alisema, Mhe.Bashungwa.
Aidha, Mhe.Bashungwa aliagiza kuwa Maazimio yote ya kikao hicho yafanyiwe kazi, ikiwemo maandalizi ya kutosha ya Michezo ya Kimataifa pamoja na uwezo wanamichezo wanaoshiriki mashindano hayo. 
Kwa upande wa Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Abdallah Ulega amevitaka Vyama na Mashirikisho ya Michezo kuwa na vipaumbele katika michezo, ambapo amesisitiza kuwa lazima nchi kuwa na michezo ya vipaumbele ambayo itafanya vizuri ndani na nje ya nchi.
"Sisi wasimamizi wa Sekta ya Michezo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar tutasimamia maono ya Marais wetu katika kukuza na kuendeleleza Sekta hizi," alisema, Mhe.Ulega.
Naye Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Hassan Abbasi ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kulifikisha Taifa hili linapostahili katika sekta ya michezo, huku akisistiza kuwa suala la kuwa na chanzo cha kuaminika katika kuendesha michezo Serikali inaendelea kulisimamia.
Vilevile, Mwanariadha wa zamani Selemani Nyambui ameipongeza Serikali kwa dhamira yake ya kukuza michezo ambapo amesema kuwa sekta hiyo ni muhimu katika ustawi wa vijana wenye vipaji na ari ya kuisaidia nchi kupitia michezo.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/37K0AvR best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/12/mhebashungwa-asema-serikali-itaendela.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 10.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
    YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2dy3pqT
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
Copyright Viral Sports: MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO