KLABU ya Yanga ndio imeongoza kuingiza mapato uwanjani katika msimu uliopita wa Ligi Kuu, kiasi Sh. Milioni 986.8 kutokana na mashabiki 141,681.
Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu, wanafuatiwa na watani wao, Simba SC walioingiza Milioni 929.7 kutokana na mashabiki 138,518.
Kwa ujumla Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam ndio umeongoza kwa kuingiza fedha nyingi katika msimu uliopita wa Ligi Kuu, Sh. Bilioni 1.8 ambazo zimetokana na jumla ya mashabiki 274273.
Taarifa hiyo ya TFF iliyotolewa leo imesema kwamba Uwanja w aCCM Gairo uliopo mkoani Morogoro ndiyo umeshika mkia kwa kuingiza 195,000 kutokana na mashabiki 65 msimu mzima.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2XDBUT6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA YAONGOZA KWA MAPATO LIGI KUU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/09/yanga-yaongoza-kwa-mapato-ligi-kuu.html. Terimakasih atas perhatiannya.