MABINGWA wa kihistoria, Misri wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Ivory Coast kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 120 Uwanja wa Douala nchini Cameroon.
Waliofunga penalti za Misri ni Ahmed Mostafa Mohamed Sayed ‘Zizo’, Amr El Soleya, Omar Kamal, Mohamed Abdelmonem na Mohamed Salah.
Upande wa Ivory Coast waliofunga ni Nicolas Pépé, Ibrahim Sangaré, Gnaly Cornet na Wilfried Zaha, wakati mkwaju wa Eric Bailly ulipanguliwa na kipa Mohamed Abou Gabal aliyeingia dakika ya 88 kufuatia Mohamed El Shenawy kuumia.
Mechi ya mwisho ya Hatua ya 16 Bora, Equatorial Guinea pia ilitinga Robo Fainali kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 6-5 baada ya sare ya bila kufungana na Mali Uwanja wa Limbe.
Robo Fainali zitaanza Jumamosi, wenyeji Cameroon wakimenyana na Gambia, Burkina Faso na Tunisia, Jumapili Misri na Morocco Na Senegal dhidi ya Equatorial Guinea, wakati Nusu Fainali zitafuatia Februari 2 na 3 na Fainali ni Februari 6.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3KLiQGO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MISRI YATINGA ROBO FAINALI AFCON, IVORY COAST NA MALI NJE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/01/misri-yatinga-robo-fainali-afcon-ivory.html. Terimakasih atas perhatiannya.