MABINGWA wa mabingwa wa Afrika, Al Ahly wamefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya Klabu Bingwa ya Dunia baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya mabingwa wa Asia, Al Hilal 4-0 Uwanja wa Al Nahyan Jijini Abu Dhabi.
Mabao ya timu ya Misri yakifungwa na Hamdi Fathi dakika ya nane, Yasser Ibrahim dakika ya 17, Ahmed Radwan dakika ya 40 na Amr El Soleya dakika ya 64.
Mabingwa wa Asia, Hilal walimaliza pungufu ya wachezaji wawili kufuatia wachezaji wawili kutolewa kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza, Mohammed Kanno dakika ya 28 na Matheus Pereira dakika ya 14.
Nao mabingwa wa Ulaya, Chelsea walifanikiwa kutwaa taji la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA kwa mara ya kwanza katika historia yao baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Palmeiras ya Brazil Uwanja wa Mohammed Bin Zayed, Abu Dhabi, Falme za Kiarabu.
Romelu Lukaku alianza kuifungia Chelsea dakika ya 54, kabla ya Raphael Veiga kuisawazishia Palmeiras kwa penalti dakika ya 64 na Kai Havertz akafunga bao la ushindi dakika ya 117 kwa penalti pia.
Katika mchezo huo, mabingwa wa Copa Libertadores walimaliza 10 kufuatia Luan kutolewa kwa kadi nyekundi dakika ya 120 na ushei baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.
Baada ya mchezo huo, imetipotiwa shabiki mmoja wa Palmeiras aliuawa usiku wa jana nje ya Uwanja wa klabu hiyo kufuatia vurugu zilizoibuka mtaani baada ya timu yao kuchapwa 2-1 na Chelsea.
Mpelelezi wa Jeshi la Polisi Jijini Sao Paulo, Cesar Saad amewaambia Waandishi wa Habari kwamba mshukiwa amekamatwa na kwamba watu wengine 15 walijeruhiwa katika tukio lililohuisha mapigano dhidi ya Polisi au baina yao mashabiki.
Mashabiki wengi wa Palmeiras wana utamaduni wa kukutana maeneo ya Uwanja wa klabu hiyo kutazama mechi inapocheza ugenini.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/VHsXGhC
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AL AHLY WAMALIZA WA TATU KLABU BINGWA YA DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/02/al-ahly-wamaliza-wa-tatu-klabu-bingwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.