• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ▼  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ▼  Maret (119)
      • LIGI KUU YAREJEA LEO, UHONDO WOTE AZAM TV
      • SIMBA NA GENDAMARIE KUCHEZWA SAA 4:00 USIKU
      • AISHA MASAKA ALIVYOYAANZA MAISHA YA ULAYA
      • UNGA MAHSUS WA BOFLO UNAPATIKANA ZANZIBAR PEKEE
      • YANGA YAICHAPA MAFUNZO 3-2 CHAMAZI
      • MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA JUMA PONDAMALI (II)
      • MASATU KATIKA KUNDI LA WACHEZAI WA YANGA
      • TANZANIA 1-1 SUDAN (MECHI YA KIRAFIKI)
      • BRUNO APIGA MBILI, URENO YAFUZU KOMBE LA DUNIA
      • QATAR 2022 NI CAMEROON, SENEGAL, GHANA, MOROCCO NA...
      • STARS YATOA SARE 1-1 NA SUDAN DAR
      • AZAM FC YAICHAPA DTB 1-0 KIRAFIKI CHAMAZI
      • KONGAMANO LA MICHEZO MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA
      • YANGA KUKATA UTEPE ROBO FAINALI ASFC
      • YANGA YAMPONGEZA KIONGOZI WAKE KWA UTEUZI
      • WANAFUNZI UDOM WATEMBELEA AZAM COMPLEX
      • BERKANE WATOZWA FAINI MILIONI 250 FUJO DHIDI YA SIMBA
      • TIMU ya Azam FC itakuwa na mechi ya kirafiki...
      • MAYELE AKIMPA MAARIFA YA KIUSHAMBULIAJI CHIPUKIZI ...
      • SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUIVAA USGN
      • DTB YAENDELEZA UBABE CHAMPIONSHIP
      • KIDUKU ATWAA UBINGWA WA AFRIKA
      • MUDA WA KUVIMBA NA AZAM PESA
      • MAMBO YANAVYOZIDI KUNOGA KITUO CHA TFF KIGAMBONI
      • WAARABU WANNE WATANGULIZA MGUU MMOJA MMOJA QATAR 2022
      • WANAFUNZI FEZA BOYS WATEMBELEA AZAM FC LEO
      • KUZIONA SIMBA NA GENDAMARIE BUKU TATU TU
      • YANGA KUCHEZA NA MAFUNZO JUMATANO CHAMAZI
      • MAAFISA UTAMADUNI KUPEWA MAFUNZO YA KUSAKA VIPAJI
      • TAIFA STARS 3-1 CAR
      • STARS YANG’ARA, YAICHAPA CAR 3-1
      • KLABU ZAADHIBIWA KWA MAKOSA TOFAUTI KATIKA LIGI
      • ADI AONGEZWA KIKOSINI TAIFA STARS
      • MABINTI WAREJEA FURAHA YA USHINDI
      • MSUVA MAZOEZINI STARS IKIJIANDAA KUZIVAA SUDAN NA CAR
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA JUMA PONDAMALI
      • AUBAMEYANG APIGA MBILI BARCA YAITANDIKA REAL 4-0
      • MAN CITY YAIFUATA LIVERPOOL KIBABE WEMBLEY
      • LIVERPOOL YATINGA NUSU FAINALI FA
      • MANULA AOKOA PENALTI MBILI, SIMBA YAPIGWA 2-0
      • ‘LUNYAMILA’ MCHEZAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MOROCCO
      • TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA WASICHANA U17
      • YANGA SC 2-0 KMC (LIGI KUU TZ BARA)
      • CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA
      • ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 1-0
      • YANGA YAIPASUA KMC 2-0 MBELE YA MZEE KIKWETE
      • AZAM FC YAWACHAPA WASOMALI 3-1 CHAMAZI
      • MAFUNZO 2-0 MLANDEGE
      • SIMBA YATUA BENIN KUIVAA ASEC
      • KAMATI YA LESENI TFF YATEMBELEA YANGA SC
      • SIMBA SC 1-0 BERKANE
      • YANGA WAMUENZI MAGUFULI KWA NA NAMNA HII
      • SIMBA SC WALIVYOMKIMBUKA RAIS MAGUFULI
      • PUMZUKA KWA AMANI JOHN POMBE MAGUFULI
      • AZAM FC YAICHAPA NAMUNGO 2-1 RUANGWA
      • AISHA WA YANGA PRINCESS ASAJILIWA LIGI KUU SWEDEN
      • TFF YAANZA KUTOA LESENI ZA KLABU MWAKA MPYA
      • YANGA WAMPA POLE MFADHILI WAO GSM
      • BIASHARA YAICHAPA PRISONS 2-1 MUSOMA
      • KOCHA POULSEN ATAJA KIKOSI TAIFA STARS
      • AISHI MANULA; CLEEN SHEETS 118, MECHI 200 SIMBA SC
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SAID MAULID
      • CHELSEA YAIKANYAGA NEWCASTLE 1-0 DARAJANI
      • ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 1-0 EMIRATES
      • DODOMA JIJI YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-0 JAMHURI
      • MTIBWA SUGAR YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MANUNGU
      • SIMBA YAICHAPA BERKANE 1-0 NA KUONGOZA KUNDI
      • LIVEROOOL YAICHAPA BRIGHTON 2-0 UGENINI
      • YANGA 1-1 SOMALIA (KIRAFIKI CHAMAZI)
      • RONALDO AVUNJA REKODI YA MABAO YA FIFA
      • YANGA NA SOMALIA 1-1 MECHI YA HISANI CHAMAZI
      • RUVU YAITANDIKA COASTAL 3-1 MKWAKWANI
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 SOKOINE
      • SOMALIA WAMKABIDHI JEZI PRINCE DUBE
      • WAZIRI WA ZANZIBAR MGENI RASMI SIMBA NA GENDARMERIE
      • WAZIRI WA MICHEZO AWATEMBELEA WASICHANA U17
      • YANGA NA KMC YASOGEZWA, KUCHEZWA NA SOMALIA JUMAMOSI
      • BENZEMA APIGA HAT TRICK REAL YAICHAPA PSG 3-1
      • KAPOMBE MCHEZAJI BORA WA SIMBA FEBRUARI
      • RAIS SAMIA AWACHANGIA SH MILIONI 15 TWIGA STARS
      • LEWANDOWSKI AWEKA REKODI MPYA YA HAT TRICK ULAYA
      • LIVERPOOL YASINDIKIZWA ROBO FAINALI NA BAKORA
      • SPORTPESA YAZINDUA KAMPENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAKE
      • SIMBA SC 2-0 DODOMA JIJI (LIGI KUU TZ BARA)
      • MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA MICHEZO 17
      • SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0, CHAMA NA KAGERE
      • RSB BERKANE 2-0 SIMBA SC (CAF)
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA OFFEN MARTIN
      • GEITA GOLD 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • ARSENAL YAICHAPA WATFORD 3-2 VICARAGE
      • MAN CITY YAIFUMUA UNITED 4-1
      • MABINTI WA TANZANIA WAWACHAPA BOTSWANA 7-0
      • MAYELE AING’ARISHA YANGA MBELE YA GEITA KIRUMBA
      • NTIBA MCHEZAJI BORA, NABI KOCHA KOCHA FEBRUARI BOR...
      • CHELSEA YAISHINDILIA BURNLEY 4-0 TURF MOOR
      • AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA POLISI CHAMAZI
      • SIMBA SC 3-0 BIASHARA UNITED (LIGI KUU TZ BARA)
      • MAFUNZO 1-1 SELEM VIEW
      • POLISI 1-1 BLACK SAILORS
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SAID SUED 'NUCCI'
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » SHABIKI WA SIMBA NA ARSENAL ASHINDA SH MILIONI 176.5 M-BET

SHABIKI WA SIMBA NA ARSENAL ASHINDA SH MILIONI 176.5 M-BET

SHABIKI wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Arsenal ya England, Swalehe Enzi ameshinda kitita cha sh 176,470,910 kupitia mchezo wa kubashiri wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet Tanzania.
Enzi ambaye ni mkazi wa Mtwara ameshinda kiasi kikubwa cha fedha hizo baada ya kubashiriki kwa usahihi matokeo ya mechi 12 za soka za ligi mbalimbali duniani kwa kutumia sh1,000 tu.
Alisema kuwa amebashiri kwa kipindi cha miaka mitatu huku akishinda kiasi cha fedha kidogokidogo ambazo hazikumkatisha tamaa.
Alisema kuwa pamoja na yeye kuwa shabiki wa Simba na Arsenal, bado huwa anakumbana na vipingamizi vingi katika kubashiri kwake jambo ambalo limekuwa kimwaribia ‘mkeka’ wake na ‘kuchanika’.

Shabiki wa klabu ya Simba na Arsenal Swalehe Enzi akipozi baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi kwa kushinda Sh176,470,910 kupitia mchezo wa kubashiri wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet Tanzania. Enzi alibashiri kwa usahihi matokeo ya mechi12 mbalimbali za mpira wa miguu duniani kwa gharama y ash 1,000 tu.


“Mimi ni fundi selemala na nimekuwa nikibashiri kwa kutumia madaftari au ‘counterbook’. Nimefanya hivyo kwa miaa mitatu huku nikishinda zawadi za fedga ndog ndogo.
Sikuweza kukata tamaa kwani nimeshuhudia washindi kadhaa kupitia Perfect12 ya M-BET wakishinda fedha mamilioni. Nilijua ipo siku name nitashinda kwani hakuna ubabaishaji, natoa wito kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 18, kubashiri kupitia M-BET,” alisema Enzi.
Alisema kuwa hakuamini kupigiwa simu kuwa ameshinda kiasi kikubwa cha fedha hicho na sasa kuwa na mipango ya kuendeleza biashara na kuanzisha nyingine, kusomesha na kujenga nyumba.
Kwa upande wake, Meneja Masoko wa M-BET Tanzania, Allen Mushi alisema kuwa wanajisikia fahari kubwa kubadilisha maisha ya Watanzania kupitia mchezo yao.
Mushi alisema kuwa Watanzania wengi wamekuwa wakibashiri na kushinda kupitia michezo yao na kufanikiwa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo.
“Huu ni mwanzo wa mwaka na tayari washindi wamepatikana. Tutaendelea kuwa nyumba za washindi na kubadili maisha ya Watanzania,” alisema Mushi.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/5IZ6P4f best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SHABIKI WA SIMBA NA ARSENAL ASHINDA SH MILIONI 176.5 M-BET. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/03/shabiki-wa-simba-na-arsenal-ashinda-sh.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
Copyright Viral Sports: SHABIKI WA SIMBA NA ARSENAL ASHINDA SH MILIONI 176.5 M-BET