• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ▼  2022 (1404)
    • ▼  Desember (71)
      • MAN CITY YAAMBULIA SARE 1-1 KWA EVERTON
      • AZAM FC YAMALIZA MWAKA NA USHINDI WA 6-1 DHIDI YA ...
      • MTIBWA SUGAR 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • YANGA YAMALIZA MWAKA KWA USHINDI WA 1-0 MANUNGU
      • BODI YAFANYA MAREKEBISHO RATIBA LIGI KUU KUPISHA M...
      • LIVERPOOL YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 ANFIELD
      • BOCCO NA NTIBANZOKIZA WAPIGA HAT TRICK SIMBA YAITA...
      • SINGIDA STARS YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 LITI
      • AZAM FC YAWATEMA SALULA NA CHILUNDA
      • 10BET TANZANIA YATAJA WASHINDI WA PROMOSHENI YA KO...
      • MFALME WA SOKA DUNIANI PELE AFARIKI DUNIA
      • MAN CITY YAWACHAPA LEEDS UNITED 3-1 ELLAND ROAD
      • YANGA SC YATUMA BARUA AZAM FC KUWATAKA AKAMINKO NA...
      • CHELSEA YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-0 DARAJANI
      • TAFSIRI ZA KISHERIA NA SABABU ZA FEISAL KUVUNJA MK...
      • SIMBA SC YAICHAPA KMC 3-1 UWANJA WA CCM KIRUMBA
      • KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA GEITA GOLD K...
      • INONGA AONGEZA MKATABA SIMBA SC HADI MWAKA 2025
      • WAWILI TU WAPITISHWA KUWANIA UENYEKITI SIMBA SC
      • IHEFU SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-1 MBARALI
      • SAKATA LA FEI TOTO NA YANGA NI MOTO
      • SIMBA SC YAMSAJILI NTIBANZOKIZA KUTOKA GEITA GOLD
      • SIMBA QUEENS 1-1 YANGA PRINCESS (LIGI YA WANAWAKE ...
      • SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS ZAGAWANA POINTI KWA...
      • KAGERA SUGAR 1-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SIMBA SC YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 KAITABA
      • GEITA GOLD YATOA SARE 1-1 NA AZAM FC NYANKUMBU
      • PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SOKOINE
      • KABURU, MANGUNGU WAITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI SIM...
      • YANGA SC 3-0 COASTAL UNION (LIGI KUU TZ BARA)
      • MAYELE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 3-...
      • AZAM FC YAACHANA RASMI NA IBRAHIM AJIBU
      • HATIMAYE DK MSOLLA AMKABIDHI OFISI INJINIA HERSI Y...
      • GEITA GOLD 0-5 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • DODOMA JIJI YAWAPIGA MBEYA CITY 2-1 PALE PALE SOKOINE
      • YANGA SC YAITANDIKA POLISI 3-0 NA 'KUTANUA KIFUA' ...
      • SINGIDA STARS YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE
      • MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO M...
      • SIMBA, YANGA NA AZAM ZATENGANISHWA KOMBE LA MAPINDUZI
      • BEN POL AJA KAZI MPYA HATARI INAITWA NYUMBANI
      • UFARANSA YAIFUATA ARGENTINA FAINALI KOMBE LA DUNIA
      • ARGENTINA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA
      • TIMU 32 ZILIZOSALIA MICHUANO YA AZAM FEDERATION CUP
      • SIMBA SC YAPANGWA NA RAJA, HOROYA NA VIPERS YA UGANDA
      • MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA GODWIN ASWILE
      • YANGA SC 8-0 KURUGENZI (ASFC)
      • YANGA NAYO YASHINDA 8-0 NA KUSONGA MBELE ASFC
      • YANGA PRINCESS YAMPIGA CHINI EDNA, YAMCHUKUA KOCHA...
      • SIMBA SC 8-0 EAGLE FC (ASFC)
      • BARBARA ATANGAZA KUNG'ATUKA SIMBA SC JANAURI 2023
      • MOROCCO YAWEKA REKODI KOMBE LA DUNIA, YATINGA NUSU...
      • MESSI AIVUSHA ARGENTINA, BRAZIL YA NEYMAR NJE KOMB...
      • AZAM FC YAITANDIKA MALIMAO 9-0 KOMBE LA TFF CHAMAZI
      • COPCO UNITED YAITOA SILENT OCEAN ASFC
      • NAMUNGO FC 0-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • MAYELE MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA LIGI KUU N...
      • COASTAL UNION YAICHAPA SINGIDA BIG STARS 2-1 LITI
      • GEORGE MPOLE AACHANA RASMI NA GEITA GOLD
      • MOROCCO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA
      • KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 NA MGUSO WA KIPEKEE KWA ...
      • AZAM FC YAICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 NA KUREJEA NA...
      • YANGA SC 1-0 TANZANIA PRISONS (LIGI KUU TZ BARA)
      • YANGA YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA PRISONS 1-0
      • GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA MTIBWA SUGAR N...
      • DODOMA JIJI YAICHAPA RUVU SHOOTING 2-1 LITI
      • SINGIDA BIG STARS YAICHAPA NAMUNGO FC 3-0 LITI
      • ASAM FC NA COASTAL ZOTE ZAADHIBIWA VURUGU ZA CHAMAZI
      • KANOUTE NDIYE MCHEZAJI BORA WA SIMBA NOVEMBA
      • RATIBA YA SIMBA SC MWEZI DESEMBA
      • KMC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA MBEYA CITY UHURU
      • BODI YAUNDA UPYA KAMATI ZA NIDHAMU NA MAADILI SIMB...
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 NA MGUSO WA KIPEKEE KWA WATANZANIA

KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 NA MGUSO WA KIPEKEE KWA WATANZANIA

MWANZONI mwa mwaka huu unaoelekea ukingoni, Wakati ikielezwa namna Kombe la FIFA la Dunia kwa mwaka huu wa 2022 litakuwa na msisimko wa kipekee,wengi walikuwa na maswali kadhaa yaliyohitaji majibu.
Ikiwa zimetimia takribani wiki 2 na siku kadhaa tangu michuano hii kuanza kutimu vumbi huko nchini Qatar maswali haya kutoka kwa mashabiki wengi wa soka yanathibitika kujibiwa na kiu inakatwa.
Ubunifu wa kimandhari…teknolojia ya kushangaza, matokeo ya kustaajabisha ikiwemo Taifa la Japan kuwachalaza vigogo wa soka kutoka barani ulaya, Ujerumani na Hispania. 
Bila kusahau mataifa ya Ubelgiji na Ujerumani kuaga mashindano katika hatua ya makundi...Yote haya yameongeza nafasi na ladha ya kipekee kunako Kombe la Dunia mwaka huu. 


Habari njema zaidi kwa watanzania mwaka huu ni ukweli na uhakika kwamba shindano hili kubwa zaidi kisoka ulimwenguni limekuwa likiruka LIVE na kwa muonekano wa HD kupitia chaneli ya taifa TBC kupitia vyombo vyake bora vya Tbc1, Tbc Taifa, Tbc Fm na Tbc Online. 
Inafurahisha sana kusikia sauti za furaha na vifijo kwa watanzania katika vyombo vya usafiri,maeneo ya biashara,makazi na hata taasisi za kitaaluma juu ya shindano hili huku wote wakitumia chombo cha Taifa TBC, kuwaunganisha na matukio ya kile kinachojiri nchini Qatar bure kabisa (FTA).
Watazamaji wa soka Tanzania wana mengi ya kufurahia juu ya hili, shukrani kwa TBC kwa kupata haki za kuonyesha mashindano haya bure (FTA), mijini na vijijini hivi sasa kuna furaha juu ya Kombe la Dunia Qatar-2022.
Chaneli hii ya Taifa inapatikana bure kwenye visimbuzi vya aina zote, yaani vya malipo na vile vya bure hapa nchini.
Kwa kutumia Startimes Tanzania na Azam Tv ambao wanaruhusa kisheria kusambaza matangazo ya TBC bure kote Tanzania, Shirika hili la Taifa limekata kiu na linaendelea kutimiza ahadi yake ya kuwapatia burudani ya takribani michezo 28 ya michuano hii kupitia TBC1 huku michezo yote 64 ya mashindano ikiwafikia watanzania kupitia TBC Taifa na TBC Fm (matangazo ya redio).
TBC1 inapatikana katika chaneli namba 101 katika Antenna na chaneli namba 445 kupitia Dishi ndani ya kisimbuzi cha Startimes, kisimbuzi chenye watumiaji wengi zaidi nchini.  


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/wOjuQMh best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 NA MGUSO WA KIPEKEE KWA WATANZANIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/12/kombe-la-dunia-qatar-2022-na-mguso-wa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 03.15
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 NA MGUSO WA KIPEKEE KWA WATANZANIA