KOMBE la CAF likiwa mezani Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru Jijini Dar es Salaam Novemba 27, mwaka 1993 kabla ya mchezo wa marudiano wa Fainali baina ya wenyeji, Simba SC na Stella Adjame ya Ivory Coast, ambayo ilishinda 2-0 na kutwaa taji hilo baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Abidjan Novemba 14.
Michuano hiyo ilikuwa inafanyika kwa mara ya pili tu tangu ianzishwe mwaka 1992, Uga Shooting Stars ya Nigeria ikiwa bingwa wa kwanza baada ya kuifunga SC Villa ya Uganda mabao 3-0 katika mechi ya marudiano, kufuatia sare ya 0-0 Kampala.
Mwaka huo, 1992 Tanzania iliwakilishwa na Small Simba katika Kombe la CAF, ambayo licha ya kuwa mshindi wa nne kwenye Ligi ya Muungano 1991 ilinufaika na kufungiwa kwa washindi wa tatu, Simba SC kufuatia kugomea mechi na mabingwa wa mwaka huo, Yanga baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza Uwanja wa Taifa hawakurudi uwanjani kumalizia mchezo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/G9ohf4w
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOMBE LA CAF LILILOTUA DAR NA KUONDOKA MWAKA 1993. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/05/kombe-la-caf-lililotua-dar-na-kuondoka.html. Terimakasih atas perhatiannya.