ALIYEWAHI kuwa kocha wa Yanga, Mganda San Timbe (69) amefariki dunia leo katika Hospitali ya Nakasero Jijini Kampala, alipokuwa amelazwa wadi ya wagonjwa taabani (ICU).
Sam Timbe amefariki akiwa kocha wa klabu ya URA FC ambayo imethibitisha msiba huo unaokuja siku moja kabla ya timu hiyo kumenyana na KCCA katika Nusu Fainali ya michuano ya Nane Bora ya Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) Super Eight Uwanja wa Lugogo.
Timbe alikuwa kocha wa Yanga msimu wa 2010-20111 akiipa timu hiyo mataji ya ubingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Kagame kabla ya kufukuzwa na nafasi yake kuchukua Mserbia, Kostadin Papic.
Timbe aliyezaliwa Januari 1, mwaka 1954 kwa baba Stanley Wabuteya na Dorothy Wabuteya, alipata elimu yake katika shule ya Msingi Bupoto, kabla ya kwenda sekondari ya Nabumali na baadaye Chuo cha & Tororo.
Katika soka alianza kama kipa wa klabu ya Coffee FC ya kwao na alipostaafu akafundisha klabu mbalimbali na kwa mafanikio zikiwemo Coffee, Polisi, Lyantonde, Mbale Heroes, Simba FC, SC Villa zote za Uganda, Atraco ya Rwanda, Yanga ya Tanzania, Sofapaka na Tusker za Kenya, Sarawak ya Malaysia na URA.
Amefundisha pia timu za taifa za Uganda kuanzia za Vijana, The Cobs hadi ya wakubwa, The Cranes kama Kocha Msaidizi na Kocha Mkuu.
Mungu ampumzishe kwa amani Sam Timbe. Amin.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/luILxYt
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOCHA WA ZAMANI WA YANGA SC, SAM TIMBE AFARIKI DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/08/kocha-wa-zamani-wa-yanga-sc-sam-timbe.html. Terimakasih atas perhatiannya.