WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro ametembelea Kambi ya timu ya Singida Fountain Gate iliyopo Cairo Misri ikijiandaa na mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Timu ya Future utakaochezwa Oktoba 1, 2023 Cairo nchini Misri.
Dk. Ndumbaro ametembelea Kambi hiyo Septemba 28, 2023 baada ya kumaliza Mkutano Maalum wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika uliofanyika nchini humo Septemba 27, 2023.
Akizungumza na wachezaji hao amewaasa wacheze mpira wakiwa kwa kufuata maelekezo ya benchi la ufundi na kanuni za mpira ili kupata matokeo yatawapeleka hatua ya makundi.
"Tunawashukuru sana kwa kutuletea heshima nchi yetu na ninyi wenyewe, tusimwangushe Rais Samia Suluhu Hasani, sasa ni zamu ya Tanzania kwenye michezo, sasa ni zamu Singida Fountain Gate" amesema Waziri Dkt. Ndumabaro.
Kwa upande wake Balozi wa Tanzania nchini Misri Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema furaha moja huongeza nyingine na amewatakia wachezaji hao ushindi mwema.
Naye Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Wallace Karia amesema Tanzania imekuwa na mwendelezo mzuri ambapo timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars imefika hatua nzuri ya kufuzu WAFCON na kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa kushirikiana na Kenya na Uganda.
Aidha, Rais wa Singida Fountain Gate Bw. Japhet Makau ameishukuru Serikali kwa ushirikiano wa maandalizi ya Safari na mapokezi mazuri kutoka ubalozini Misri na kusisitiza kuwa Timu ipo salama na inaendelea na mazoezi kuelekea mchezo huo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/CtAZBpU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms