TIMU ya Manchester City jana imefanikiwa kutwaa Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudi Arabia.
Mabao ya Manchester City yalifungwa na Julian Alvarez mawili dakika ya kwanza na 88, Nino aliyejifunga dakika ya 27 na Phil Foden dakika ya 72.
Hilo linakuwa taji la tano mwaka huu kwa kocha Mspaniola, Pep Guardiola baada ya awali kubeba mataji ya Ligi Kuu England, Kombe la FA, Ligi ya Mabingwa Ulaya na UEFA Super Cup.
Timu ya Al Ahly ya Misri ilifanikiwa kumaliza nafasi ya tatu baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Urawa Red Diamonds ya Japan Uwanja wa Prince Abdullah al-Faisal Jijini Jeddah.
Mabao ya Al Ahly yalifungwa na Yasser Ibrahim dakika ya 19, Percy Tau dakika ya 25, Yoshio Koizumi aliyejifunga dakika ya 60 na Ali Maaloul dakika ya 90, wakati ya Urawa Red Diamonds yamefungwa na José Kanté dakika ya 43 Alexander Scholz kwa penalti dakika ya 54.
Kwa kutwaa Kombe hilo, Manchester City imejinyakulia kitita cha Dola za Kimarekani Milioni 5, huku Fluminense wakipata Dola Milioni 4 kwa kushika nafasi ya pili, Al Ahly Dola Milioni 2.5 kwa kushika nafasi ya tatu na Urawa Red Diamonds Dola Milioni 2 kwa kumaliza ya nne.
León ya Mexico na Al Ittihad ya Saudi Arabia zilizoshia Raundi ya Pili kila moja imepata Dola Milioni 1, wakati Auckland City ya New Zealand iliyofungwa na Al Ittihad katika Raundi ya kwanza imerejea nyumbani na Dola 500,000.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/1lq9BLu
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAN CITY MABINGWA WA DUNIA, NI TAJI LA TANO 2023 KWA PEP. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/12/man-city-mabingwa-wa-dunia-ni-taji-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.