• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ▼  April (92)
      • REAL MADRID YATOA SARE 2-2 NA BAYERN MUNICH UJERUMANI
      • SIMBA SC YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 2-2 RUANGWA
      • FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI HADI IMLIPE KAMBOLE
      • KLABU YA SWEDEN YAWASILI NCHINI KWA MWALIKO WA AZA...
      • JKT TANZANIA YAICHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR, YAICH...
      • RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA K...
      • NI SIMBA SC MABINGWA WA KWANZA WA MUUNGANO CUP, WA...
      • YANGA SC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 CHAMAZI BAO LA...
      • MAN UNITED YAAMBULIA SARE 1-1 KWA BURNLEY
      • LIVERPOOL YATOA DROO 2-2 NA WEST HAM UNITED LONDON
      • NI AL AHLY NA ESPERANCE FAINALI LIGI YA MABINGWA A...
      • STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TEN...
      • MAN CITY YAICHAPA 4-0 BRIGHTON & HOVE ALBION
      • AZAM YAICHAPA KMKM 5-2 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA...
      • SIMBA QUEENS YAIKANYAGA YANGA PRINCESS 3-1 CHAMAZI
      • SERIKALI YASAINI MKATABA WA BILIONI 19.7 KUKARABAT...
      • MAN UNITED YAICHIMBIA KABURI SHEFFIELD UNITED, YAI...
      • LIVERPOOL UBINGWA HAUWATAKI, WATANDIKWA 2-0 NA EVE...
      • FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUN...
      • YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP
      • YANGA YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA ATCL
      • KAI APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA CHELSEA 5-0
      • MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA ...
      • BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA YANGA, YAZIADHIB...
      • ONANA AOKOA PENALTI KUIPELEKA MAN UNITED FAINALI K...
      • FEISAL AWAZIMA IHEFU CHAMAZI, AZAM YASHINDA 1-0
      • KEN GOLD YAPANDA LIGI KUU, PAMBA NI SUALA LA MUDA TU
      • BERNARDO SILVA AIPELEKA MAN CITY FAINALI KOMBE LA ...
      • ARSENAL YAICHAPA WOLVES 2-0 NA KUREJEA KILELENI LI...
      • YANGA SC 2-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • YANGA YAICHAPA SIMBA SC 2-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA U...
      • YANGA WAKUTANA NA CSKA MOSCOW KWA LENGO LA USHIRIK...
      • AZAM FC YASAJILI BEKI WA MALI YORO MAMADOU DIABY
      • WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DE...
      • BENCHIKA AMUACHIA MATOLA MKUTANO NA GAMONDI KABLA ...
      • LIVERPOOL YASHINDA LAKINI YAAGA UEFA EUROPA LEAGUE
      • NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA
      • REAL MADRID YAING’OA MAN CITY KWA MATUTA ETIHAD
      • BAYERN MUNICH YAICHAPA ARSENAL 1-0 KUTINGA NUSU FA...
      • AZAM FC YABANWA MBAVU NA MASHUJAA CHAMAZI, NGOMA D...
      • KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0
      • STEPHANE AZIZ KI NDIYE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZ...
      • MBAPPE APIGA MBILI..PSG YAWANYAMAZISHA BARCELONA N...
      • DODOMA JIJI YATOA SULUHU NA JKT TANZANIA LEO JAMHURI
      • KMC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 PALE PALE MANUNGU KA...
      • YANGA WALIVYOREJEA LEO DAR BAADA YA USHINDI WA 3-0...
      • MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA YANGA KARUME SONGORO AFA...
      • SINGIDA FOUNTAIN GATE 0-3 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • ASTON VILLA YAWACHAPA ARSENAL 2-0 PALE PALE EMIRATES
      • AZAM FC YAWACHAPA NAMUNGO FC 2-0 PALE PALE RUANGWA
      • KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA DODOMA JIJI, 1-1 K...
      • KEN GOLD NA PAMBA ZABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA U...
      • IHEFU SC 1-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • CHAMA AINUSURU SIMBA KUPIGWA NA IHEFU SINGIDA, DRO...
      • JKT TANZANIA YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO 1-1 NA TABO...
      • GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MTIBWA SUGA...
      • PRISONS NA KMC HAKUNA MBABE, 1-1 SOKOINE
      • AZAM FC WAWASILI RUANGWA TAYARI KUIKABILI NAMUNGO ...
      • FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA
      • ATALANTA YAITANDIKA LIVERPOOL 3-0 PALE PALE ANFIEL...
      • BARCELONA YAWACHAPA PSG 3-2 PALE PALE PARIS
      • YANGA SC WATINGA ROBÓ FAINALI KOMBE LA CRDB FEDERA...
      • MASHUJAA 1-1 SIMBA SC (PENALTI 6-5, KOMBE LA TFF)
      • MANCHESTER CITY YATOA SARE NA REAL 3-3 BERNABEU
      • BAYERN MUNICH YAIGOMEA ARSENAL LONDON, 2-2
      • SIMBA SC YATOLEWA KWA MATUTA KOMBE LA TFF
      • M-BET YAMZAWADIA MSHINDI WA PERFECT 12 MILIONI 140.5
      • LUSAJO MWAIKENDA AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2027
      • AZAM FC YATOA SEMINA YA UKUZAJI VIPAJI KWA VITUO 10
      • YANGA WAWASILI DODOMA KUTETEA KOMBE LA TFF JUMATANO
      • BEKI WA ZAMANI WA YANGA SULEIMAN MKATI AFARIKI DUN...
      • AZAM FC YATINGA ROBÓ FAINALI KOMBE LA TFF
      • CHELSEA YAAMBULIA SARE KWA SHEFFIELD UNITED 2-2 BR...
      • SALAH AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA NA MAN UNITED
      • SIMBA NA YANGA NI JUMAMOSI, APRILI 20 ‘KWA MKAPA’
      • NI MAMELODI NA ESPERANCE NA AHLY NA MAZEMBE NUSU F...
      • ARSENAL YAICHAPA BRIGHTON 3-0 NA KUREJEA KILELENI ...
      • DE BRUYNE APIGA MBILI MAN CITY YAWACHAPA CRYSTAL P...
      • SIMBA YACHAPWA 2-0 NA AHLY CAIRO
      • COASTAL UNION YATINGA ROBÓ FAINALI KOMBE LA TFF KW...
      • RAIS DK SAMIA AMKABIDHI KARIA MILIONI 500 KWA AJIL...
      • COLE PALMER APIGA HAT TRICK CHELSEA YAICHAPA MAN U...
      • LIVERPOOL YAREJEA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUICHA...
      • MAYELE ATEMEBLEA KAMBI YA SIMBA SC CAIRO
      • MCHEZAJI WA PAMBA AFUNGIWA KWA KUMPIGA REFA
      • ARSENAL YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA LUTON T...
      • SIMBA SC WAPO ANGANI WANAIFUATA AL AHLY KWA SHUGHU...
      • SIMBA SC YAIFUATA AL AHLY KESHO ALFAJIRI NA ‘FULL ...
      • CRDB WADHAMINI KOMBE LA TFF KWA BILIONI 3 MIAKA MI...
      • AZIZ KI MCHEZAJI BORA LIGI KUU MWEZI MACHI
      • YUSSUF BAKHRESA AFUTURU NA WACHEZAJI AZAM FC
      • SERIKALI YASAFIRISHA MASHABIKI 48 KWENDA KUISHANGI...
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » SERIKALI YASAFIRISHA MASHABIKI 48 KWENDA KUISHANGILIA AFRIKA KUSINI

SERIKALI YASAFIRISHA MASHABIKI 48 KWENDA KUISHANGILIA AFRIKA KUSINI


SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejitolea kusafirisha mashabiki 48 wa klabu ya Yanga kwa basi kwenda Jijini Pretoria, Afrika Kusini kuishangilia timu hiyo katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga SC watakuwa wageni wa Mamelodi Sundowns Ijumaa kuanzia Saa 3:00 usiku Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria wakihitaji ushindi au sare ya mabao ili kwenda Nusu Fainali kufuatia sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma 'Mwana FA' amesema kwamba mashabiki hao wameanza safari yao mapema leo na kwamba safari hiyo imegharimiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo na kutoa ushirikiano kwa uwekezaji binafsi kwenye sekta ya michezo.
"Kwanza niwapongeze sana kwa uamuzi wa kusafiri kwa basi kwani mngeweza kusema mbaki nyumbani na kutazama mechi kwenye Tv, Hii inamaanisha nyinyi ni wafia Yanga, Hongereni sana. Uzuri kiwango cha timu yetu mmekiona na kinaridhisha, mpinzani tunayekwenda kucheza naye hana faida ya Mashabiki wengi hivyo naamini Nguvu ya kushangilia ambayo mnayo itakwenda kuleta tija kwenye mchezo wetu siku ya ijumaa," amesema Mwinjuma.
"Nimekuja hapa kufikisha salamu za Serikali chini ya Daktari Samia Suluhu Hassan, kila kinachoendelea yeye anafuatilia kwa umakini na anawatakia kila la heri kwenye Safari hii na kwenye mchezo wetu siku ya ijumaa,".
"Nilitamani niliseme hili na nachukua nafasi hii kulisema, sisi Mashabiki huwa tunashangilia matukio tu, nafikiri hali hii kama Wachezaji wana masikio ya kuwasilikiza Mashabiki basi inaweza kuwavunja moyo, hivyo niwashauri tuendelee kujifunza Utamaduni wa kushangilia muda wote na niwaombe tukienda Uwanjani tuwe tunashangilia kuanzia mwanzo wa mchezo mpaka mwisho kwani itatusaidia kuwa na mchezo mzuri,".
"Tunakuwa pamoja nanyi wakati wote kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa na nina uhakika tutaiwakilisha nchi yetu vizuri kwasababu tuna timu bora, niwatakie Safari Njema," amesema Naibu Waziri, Mwinjuma
Kwa upande wake Rais wa Yanga SC, mashabiki hao wamepata nafasi hiyo baada ya uongozi wa klabu kuiomba Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo chini ya Waziri wake, Dk. Damas Ndumbaro na ameishukuru Wizara kwa kukubali Ombi hilo.
"Hapo mwanzo tulitangaza watu watakaosafiri walipaswa kuwa na shilingi laki 6 na tulipata watu 30, niwahakikishie baada ya Wizara kukubali kusafirisha Wanachama na Mashabiki wetu,zile laki 6 zitarudishwa kwa wenyewe,".
"Niwatakie safari njema na nina imani safari yetu ya kurudi itakuwa nzuri kwakuwa tutarudi tukiwa tayari tumeshafuzu hatua ya nusu Fainali" Rais wa Young Africans SC Eng. Hersi Said akiongea na Wanahabari wakati wa kuwaaga Wanachama na Mashabiki wanaosafiri kuelekea Afrika Kusini Makao Makuu ya Klabu Jangwani," amesema Rais wa Yanga, Hersi Said.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/iTxDb6C best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SERIKALI YASAFIRISHA MASHABIKI 48 KWENDA KUISHANGILIA AFRIKA KUSINI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/04/serikali-yasafirisha-mashabiki-48.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 09.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: SERIKALI YASAFIRISHA MASHABIKI 48 KWENDA KUISHANGILIA AFRIKA KUSINI