• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (241)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ▼  Mei (84)
      • KELVİN JOHN AJIUNGA NA TIMU YA ZAMANI YA MACHUPPA ...
      • BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINA...
      • YANGA SC WAWASILI ZANZİBAR KUTETEA KOMBE LA TFF
      • AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MWINGINE MCOLOMBIA
      • TWIGA STARS YAICHAPA SUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI
      • SIMBA SC 1-0 KMC (LIGI KUU TZ BARA)
      • TAIFA STRAS YAENDA INDONESIA KUCHEZA MECHI YA KIRA...
      • AZAM FC YAIPIKU SIMBA LİGİ YA MABINGWA, AZİZ Kİ MF...
      • BIASHARA UNITED YAJISOGEZA KARIBU NA LİGİ KUU, MBE...
      • YANGA SC YAENDELEZA UMBWAMBA LIGI KUU, YAICHAPA TA...
      • TANZANIA BINGWA MASHINDANO YA SHULE ZA AFRIKA KWA ...
      • RAIS DK MWINYI AISHUKURU CAF KUIPA ZANZIBAR UENYEJ...
      • HÜKÜMÜ YA KESİ YA DITTO DHIDI YA DSTV KUTOLEWA JUL...
      • MABINGWA YANGA WAHUDHURIA BUNGE LA BAJETI YA MICHE...
      • ADEMOLA LOOKMAN APIGA HAT TRICK KUIPA ATALANTA TAJ...
      • DODOMA JIJI FC 0-4 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • FAINALI KOMBE LA TFF AZAM NA YANGA KUPIGWA ZANZIBA...
      • AMOKACHI, ADEBAYOR NA BABBI WATOA NASAHA MASHINDAN...
      • SIMBA SC 4-1 GEITA GOLD (LIGI KUU TZ BARA)
      • SIMBA SC YAICHAPA GEITA GOLD 4-1 CHAMAZI
      • COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 PALE PALE ...
      • IHEFU SC 0-1 YANGA SC (KOMBE LA TFF)
      • ZAMALEK MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
      • TAIFA STARS YATOA SARE NA SUDAN 1-1 SAUDI ARABIA
      • NI MAN CITY MABINGWA ENGLAND MARA YA NNE MFULULIZO
      • AZİZ Kİ AIPELEKA YANGA FAINALI KOMBE LA TFF, IHEFU...
      • USYK ASHINDA KWA POINTI ZA MAJAJI KUPISHANA, FURY ...
      • AZAM YATINGA FAINALI KIBABE KOMBE LA TFF, YAITWANG...
      • DODOMA JIJI 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 JAMHURI
      • YANGA SC WALIVYOWASILI ARUSHA KUIVAA IHEFU JUMAPILI
      • KMC YAICHAPA SINGIDA FOUNTAIN GATE 1-0 CHAMAZI
      • MAHODHA WA ZAMANI TAIFA STARS JELLAH MTAGWA AFARIK...
      • SIMBA SC WAWASILI MAKAO MAKUU YA NCHI KUIVAA DODOM...
      • MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 3-2 OLD TRAFFORD
      • TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA SUDAN KIRAFIKI SAUDI A...
      • CHILAMBO ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2026
      • HAALAND APIGA ZOTE MBILI MAN CITY YAICHAPA SPURS 2...
      • DODOMA JIJI FC YAAMBULIA SULUHU KWA NAMUNGO JAMHURI
      • KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA TANZANIA JULAI
      • MTIBWA SUGAR 1-3 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • DURAN APIGA MBILI ASTON VILLA YATOA SARE 3-3 NA LI...
      • ARSENAL YAIKANDA MAN UTD 1-0 PALE PALE OLF TRAFFORD
      • YANGA SC MABINGWA TENA LIGI KUU YA NBC TZ BARA
      • TABORA UNITED YAICHAPA MASHUJAA 1-0 UWANJA WA MWINYI
      • NICOLAS JACKSON AIPIGIA LA USHINDI CHELSEA YAICHAP...
      • MAN CITY YAITANDIKA FULHAM 4-0 NA KUREJEA KILELENI...
      • DODOMA JIJI YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS
      • COASTAL UNION YAICHAPA SINGIDA FG 2-0 MKWAKWANI
      • WASHINDI WA PROMOSHENI YA TWENZETU DUBAİ NA PARIMA...
      • AZAM FC 0-3 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SIMBA YAFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA, YAICHAPA AZAM ...
      • IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA ...
      • JOSELU AIPELEKA REAL MADRID FAINALI LIGI YA MABINGWA
      • YANGA SC 1-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
      • MUDATHIR ATOKEA BENCHI KUIPA YANGA USHINDI DHIDI Y...
      • SERIKALI YAUSIMAMISHA UONGOZI NGUMI ZA KULIPWA
      • MASHUJAA YAICHAPA KMC 3-0 LAKE TANGANYIKA
      • TABORA UNITED YAFUNGIWA KUSAJILI KWA NYINGINE TENA...
      • BORUSSIA DORTMUND YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA...
      • GUEDE AWA MCHEZAJI BORA YANGA MWEZI APRILI
      • SIMBA SC 2-0 TABORA UNITED (LIGI KUU TZ BARA)
      • COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA P...
      • SIMBA SC YAICHAPA TABORA UNITED 2-0 CHAMAZI
      • SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAAND...
      • IHEFU SC YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 SINGIDA MABAO YA ...
      • MASHUJAA FC 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • LIVERPOOL YAICHAPA TOTTENHAM 4-2 ANFIELD
      • CHELSEA YA MOTO KABISA WEST HAM YAFA TANO MTUNGI
      • HAALAND APIGA NNE MAN CITY YAICHAPA WOLVES 5-1
      • KMC YAAMBULIA SULUHU KWA KAGERA SUGAR LEOCHAMAZI
      • ARSENAL YAICHAPA AFC BOURNEMOUTH 3-0 EMIRATES
      • YANGA YAWASILI KIGOMA NA KUPATA MAPOKEZI MAZURI
      • JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI
      • SIMBA SC 2-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
      • AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF KWA KISH...
      • SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 CHAMAZI KOUBLAN...
      • RONWEN WILLIAMS AJITIA KITANZI MAMELODI HADI 2028
      • CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-0 STAMFORD BR...
      • BORUSSIA DORTMUND YAICHAPA PSG 1-0 SIGNAL IDUNA PARK
      • YANGA YAIKANYAGA TABORA UNITED 3-0 NA KUTINGA NUSU...
      • COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF
      • IHEFU YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF YAITOA MAS...
      • NAMUNGO FC 2-2 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA

BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA


KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya soka na hamsha hamsha ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kati ya Borussia Dortmund na Real Madrid itakayofanyika Jumamosi,  Juni 1, 2024.
Tukio hilo lililopewa jina la Soka Live na betPawa litafanyika eneo la Kona ya Bwiru jijini Mwanza na lilipambwa na hamsha hamsha mbalimbali  zikiwemo za mashindano madogo ya kandanda atakayoshirikisha klabu nne za eneo hilo.
Kabla ya mchuano huo, betPawa itatoa msaada wa vifaa vya mpira wa miguu kama jezi na mipira kwa timu ambazo ni Channel Africans FC, Bwiru FC, Majengo FC na Tiger FC.
"Tunaposubiri fainali ya kusisimua ya shindano la kifahari zaidi la Uropa, tunataka pia kurudisha kwa jamii zetu za mpira wa miguu na mashabiki kusaidia kujenga na kukuza michezo nchini Tanzania pia," alisema Meneja Masoko wa BetPawa Borah Ndanyungu.
"Mchezo huu una uwezo wa kutuletea heshima kama nchi na hakuna kinachozuia wanasoka wetu chipukizi kutamani kushiriki katika mashindano hayo mashuhuri,"  alisema Ndanyungu.
Tukio la  Soka Live na betPawa lilifanyika katika Mgahawa wa Juliana jijini Dar es Salaam tarehe Februari 11,  2024 wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Nigeria na wenyeji Ivory Coast. 
Katika hafla hiyo, wateja wa betPawa walishiriki challenge mbambali na kujishindia zawadi pamoja na burudani ya muziki mzuri, pamoja na kufurahia fainali iliyokuwa na ushindani mkubwa.
Kwa fainali ya mwisho ya UCL iliyofanyika Juni 10, 2023 mjini Istanbul, Uturuki, tukio la Soka Live la betPawa lilifanyika Dodoma, likiwakutanisha mamia ya mashabiki wa soka na usiku wa kufurahisha.

 Mwisho,,,
Caption:
Picha 1
Meneja wa Masoko wa kampuni ya betPawa, Borah Ndanyungu akizungumza wakati wa hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “Soka Live na betPawa”.
Picha 2
Meneja wa Masoko wa kampuni ya betPawa, Borah Ndanyungu (kulia) akipozi mara baada ya kukabidhi jezi kwa moja ya timu ya Mwanza iliyoshitiki wakati hafla hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “Soka Live na betPawa”.
Picha 3
Meneja wa Masoko wa kampuni ya betPawa, Borah Ndanyungu (kulia) akipozi mara baada ya kukabidhi jezi kwa moja ya timu ya Mwanza iliyoshiriki wakati hafla hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “Soka Live na betPawa”.
Picha 4
Wachezaji wa moja ya timu wakipozi  mara baada ya kukabidhiwa jezi ambazo walitumia katika mashindano maalum ya hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “Soka Live na betPawa” mjini Mwanza.
Picha 5
Wachezaji wa moja ya timu wakipozi  mara baada ya kukabidhiwa jezi ambazo walitumia katika mashindano maalum ya hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “Soka Live na betPawa” mjini Mwanza.
Picha 6
Wacheza shoo wakiburudisha wakati wa hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “Soka Live na betPawa” mjini Mwanza.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/NIU6QAd best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/05/betpawa-yapiga-amsha-amsha-mwanza.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 11.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
  • BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
    BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
    KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maend...
  • YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
    YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2dy3pqT
Copyright Viral Sports: BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA