TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA kufuatia ushindi wa mabao 4–0 dhidi ya Real Madrid ya Hispania Uwanja wa MetLife, East Rutherford, Bergen County, New Jersey, Marekani.
Mabao ya Paris Saint-Germain ‘Les Parisiens’ (Wana Paris) yamefungwa na kiungo Mspaniola, Fabián Ruiz Pena dakika ya sita na 24 na washambuliaji Mfaransa Masour Ousmane Dembélé anayezaliwa na mama Mmauritania mwenye asilia ya Senegal na baba kutoka Mali dakika ya tisa na Mren
o, Gonçalo Matias Ramos dakika ya 87.
Sasa mabingwa hao wa Ulaya, PSG watakutana na Chelsea katika Fainali Julai 13 hapo hapo Uwanja wa MetLife.
Ikumbukwe Chelsea iliitoa Fluminense ya Brazil kwa kuichapa mabao 2-0 mabao ya mshambuliaji Mbrazil, João Pedro dakika ya 18 na 56 hapo hapo Uwanja wa MetLife.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG https://ift.tt/e2ZQGrj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms