TIMU ya JKT Tanzania imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara.
Mabao yote ya JKT Tanzania leo yamefungwa na mshambuliaji Paul Peter Kasunda dakika ya 72 na 87, hivyo anafikisha mabao matano sasa na kupanda juu kwenye orodha ya wafungaji Ligi Kuu akimzidi bao moja mchezaji mwenzake wa JKT Tanzania, Saleh Karabaka Kikuya na wote wakiwa mbele ya Mganda, Peter Lwasa wa Pamba Jiji FC.
Kwa ushindi huo, JKT Tanzania wanafikisha pointi 16 katika mchezo wa tisa na kurejea kileleni Ligi Kuu wakiizidi pointi moja Pamba Jiji FC ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi, wakati Fountain Gate inabaki na pointi zake 10 za mechi tisa pia nafasi ya sita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG https://ift.tt/oucMVDs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang JKT TANZANIA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 BABATI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/11/jkt-tanzania-yaichapa-fountain-gate-2-0.html. Terimakasih atas perhatiannya.