Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA Mcameroon wa Simba SC, Joseph Omog amewaanzisha pamoja washambuliaji mzalendo Ibrahim Hajib na Frederick Blagnon kutoka Ivory Coast katika mchezo dhidi ya Mbeya City jioni ya leo.
Simba watakuwa wageni wa Mbeya City jioni ya leo Uwanja wa Sokoine, Mbeya katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania na Omog kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Ligi Kuu anawaanzisha pamoja wawili hao.
Na hiyo inatokana na Mrundi Laudit Mavugo ambaye amekuwa akichezeshwa pamoja na Hajib kuanzishiwa benchi leo.
Frederick anaanza leo pamoja na Ibrahim Hajib leo dhidi ya Simba SC
Kikosi kamili kinachoanza Simba leo ni; Vincent Agban, Janvier Bukungu, Mohammed Hussein 'Tshabalala', Method Mwanjali, Novart Lufunga, Mkude Jonas, Muzamil Yassin, Kazimoto Mwinyi
Kichuya, Shiza Kichuya, Frederick Blagnon na Hajib.
Katkka benchi wapo Peter Manyika Jr, Banda Abdi, Juuko Murshid, Ndemla Said, Ame Ally na Mo ibrahim.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dvGdUG
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang HAJIB ANAANZISHWA NA MAVUGO, MAVUGO LEO BENCHI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/hajib-anaanzishwa-na-mavugo-mavugo-leo.html. Terimakasih atas perhatiannya.