Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA
SIMBA SC imezidi kupiga kasi kuelekea kwenye taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya jioni ya leo kuichapa Mwadui FC mabao 3-0 Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.
Ushindi huo unaifanya timu ya kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog icheze mechi 12 za Ligi Kuu msimu huu bila kupoteza, ikishinda 10 na kutoa sare mbili.
Aidha, matokeo hayo yanaiafanya Simba SC ijinafasi kileleni mwa Ligi Kuu kwa kufikisha pointi 32, mbele ya mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 24 za mechi 11.
Shizza Kichuya amefunga bao lake la nane la msimu Ligi Kuu
Katika mchezo wa leo, hadi mapumziko, Simba SC walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-0, yote yakifungwa na viungo wapya waliosajiliwa kutoka Mtibwa Sugar.
Mohammed ‘Mo’ Ibrahim alianza kufunga dakika ya 32 baada ya kumtoka beki wa Mwadui kufuatia pasi ya kiungo mwenzake, Mwinyi Kazimoto.
Mo Ibrahim akamsetia Kichuya kuifungia Simba SC bao la pili dakika ya 45, hilo likiwa bao lake la nane msimu huu wa Ligi Kuu.
Kipindi cha pili, Simba SC walirudi na moto ule ule na kufanikiwa kupata bao la tatu dakika ya 50, mfungaji Mo Ibrahim tena akimalizia pasi ya mshambuliaji wa zamani wa Mtibwa Sugar, Ame Ali.
Kikosi cha Simba SC leo kiliku3a; Vincent Angban, Janvier Bokungu, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Method Mwanjali, Juuko Murshid, Jonas Mkude, Muzamil Yassin, Mwinyi Kazimoto/Ibrahim Hajib dk46, Laudit Mavugo, Shizza Kichuya/Said Ndemla dk66 na Mohamed ‘Mo’ Ibrahim.
Mwadui FC;
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2elLkXO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms