TIMU ya taifa ya Nigeria imeanza vizuri mechi za Kundi B kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi baada ya kushinda 2-1 ugenini dhidi ya wenyeji Zambia Uwanja wa Levy Mwanawasa mjini Ndola Jumapili.
Mabao ya Nigeria yalipatikana kipindi cha kwanza yote yakifungwa na wachezaji wawili wanaocheza England, Alex Iwobi na Kelechi Iheanacho, wakati la Zambia lilifungwa na Collins Mbesuma dakika ya 71.;
Iwobi aliifungia bao zuri zaidi Super Eagles dakika ya 32 akimtungua kwa shuti kia Kennedy Mweene wa Zambia iliyocheza kwa mara ya kwanza chini ya kocha Wedson Nyirenda .
Mchezo mwingine, Misri imekwenda kileleni mwa Kundi E kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Kongo Jumapili Kintele.
Manao ya Mafarao yamefungwa na Mohamed Salah na Abdallah Saied wakati la Kongo lilifungwa na Ferebory Dore.
Timu nyingine katika kundi hilo ni Uganda na Ghana ambazi Ijumaa zilitoka sare ya 0-0 mjni Tamale.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dEqx3m
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NIGERIA NA MISRI ZASHINDA UGENINI KOMBE LA DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/nigeria-na-misri-zashinda-ugenini-kombe.html. Terimakasih atas perhatiannya.