Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Pan African inatarajia kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi ifikapo Novemba 6 mwaka huu mjini Dar es Salaam.
Katibu wa Kamati ya Uchaguzi, Peter Mushi amesema leo kwamba mkutano huo utafanyika kuanzia saa 4:00 asubuhi kwenye Uwanja wa Taifa jijini wanachama wote wenye kadi wanatakiwa kuhudhuriwa huku pia kamati ikialika viongozi mbalimbali wa soka na serikali.
Shime alisema kuwa katika mkutano huo wanatarajia kupokea ripoti ya mapato na matumizi kutoka kwa viongozi waliomaliza muda wao tangu mwaka 2003 na kufanya mabadiliko ya baadhi ya vipengele vilivyoko kwenye katiba yao.
"Tunategemea kufanya mabadiliko ya katiba kwa kuondoa cheo cha katibu wa kuchaguliwa na kuwa wakuajiriwa na Mhasibu na msemaji wa klabu," alisema Shime katika taarifa yake.
Aliongeza kuwa taratibu za mchakato wa uchaguzi huo zitatolewa kuanzia kesho huku pia klabu hiyo imejipanga kuzindua leja mpya yenye majina yote ya wanachama.
Alisema pia katika mkutano huo wanajipanga kueleza mikakati ya usajili wa wachezaji na ununuzi wa shamba hekari 10 kwa ajili ya kujenga viwanja vitakavyotumiwa na timu za vijana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dbc2V7
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PAN AFRICANS KUFANYA UCHAGUZI NOVEMBA 6 DAR. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/pan-africans-kufanya-uchaguzi-novemba-6.html. Terimakasih atas perhatiannya.