Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TANZANIA imezidi kuporomoka katika orodha ya viwango vya soka inayotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufuatia kuangukia nafasi ya 158 baada ya Januari.
Na hiyo inatokana na timu ya taifa, Taifa Stars kutokuwa na mchezo wowote wa kirafiki wa kimataifa tangu Desemba, licha ya kutofuzu Fainali za Kombe la Mataifa (AFCON) nchini.
Tanzania kuangukia nafasi ya 158 ikiwa na pointi 152 katika orodha ya Februari, 2017 inamaanisha imeshuka kwa nafasi mbili zaidi kutoka ya 156.
Pamoja na kuporomoka kwa nafasi mbili hadi ya 73, lakini Uganda wameendelea kuongoza kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Na Uganda imeporomoka Januari kutokana na kutoshinda mechi katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka huu Gabon. Kenya ni ya pili kwa ukanda wa CECAFA ikiwa nafasi ya 87.
Mabingwa wapya wa Afrika, Cameroon wamepanda kwa nafasi 29 hadi ya 33, huku washindi wa pili Misri wamerudi juu hadi nafasi ya 23 baada ya kuporomoka miaka miwili iliyopita.
Argentina imeendelea kuongoza kwa ubora wa soka duniani, wakifuatiwa na mahasimu wao, Brazil nafasi ya pili na Ujerumani wa tatu.
Tanzania inaingia katika zama mpya sasa chini ya kocha Salum Mayanga, anayekuwa kaimu kocha Mkuu wa Taifa Stars akirithi mikoba ya Charles Boniface Mkwasa aliyeondolewa mapema mwezi huu. GONGA HAPA KUTAZAMA ORODHA KAMILI YA FIFA RANKS
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kvUqa3
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TANZANIA YAPOROMOKA ZAIDI FIFA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/tanzania-yaporomoka-zaidi-fifa.html. Terimakasih atas perhatiannya.