• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ▼  Februari (441)
      • FA Cup: Manchester City v Huddersfield Town Preview
      • JUVENTUS 3-1 NAPOLI
      • WGC Mexico Championship 2017 Preview
      • JUVENTUS YAITUPA NJE NAPOLI COPPA ITALIA NA KUTING...
      • Greyville Friday 3 March 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 3 February 2017 Best Bets
      • Vaal Thursday 2 March 2017 Best Bets
      • WAMBURA ANAJUA NAPE ALICHOWAAMBIA MSUVA NA JUMA AB...
      • MAREFA WA DJIBOUTI KUCHEZESHA YANGA NA ZANACO TAIF...
      • ISRAEL NKONGO KUCHEZESHA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
      • CHARLES HILLARY ATEULIWA KAMATI YA KUHAMASISHA SER...
      • LWANDAMINA AWATAKA WACHEZAJI YANGA KUSAHAU KIPIGO ...
      • Scottsville Wednesday 1 March 2017 Best Bets
      • MODC: VKB Knights vs Hollywoodbets Dolphins Preview
      • MKUDE ALIKUWA ‘ANAMUWAKIA’ NINI HAPA AGYEI?
      • KOCHA AZAM ASEMA MAMBO MAZURI YANAKUJA
      • Turffontein Tuesday 28 February 2017 Best Bets
      • LEICESTER CITY 3-1 LIVERPOOL
      • LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-...
      • PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ...
      • Kenilworth Tuesday 28 February 2017 Best Bets
      • TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA JAMHURI, YANGA NA MTIBWA...
      • YANGA KUPOZA MACUNGU KWA RUVU SHOOTING KESHOKUTWA?
      • NNE BORA YA LIGI DARAJA LA PILI KUANZA JUMATANO
      • MLANDIZI QUEENS YAANZA VYEMA LIGI YA WANAWAKE BARA
      • South Africa vs New Zealand: Fourth ODI Preview
      • MKWASA AZUNGUMZIA HALI HALISI YANGA, ASEMA...
      • Flamingo Park Monday 27 February 2017 Best Bets
      • NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA
      • MAKOCHA WAZAWA WAIKACHA NAFASI YA UKOCHA GHANA
      • ATLETICO MADRID 1-2 BARCELONA
      • VILLARREAL 2-3 REAL MADRID
      • MAN UNITED 3-2 SOUTHAMPTON
      • REAL MADRID NAYO YASHINDA LA LIGA, YAIPIGA 3-2 VIL...
      • ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'ND...
      • SAMATTA AWEKEWA ULINZI ‘WA KUFA MTU’, GENK YAFA 2-...
      • CHELSEA 3-1 SWANSEA CITY
      • MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAIPIGA ATLET...
      • KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAUA 4-0 ENGLAND
      • POLISI JANA WALIKUWA KAZINI KWELI UWANJA WA TAIFA
      • MAVUGO AWAPA AHADI NZURI SIMBA SC
      • SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • KEVIN YONDAN ALICHEZA PAMOJA NA MACHUPPA, ULIMBOKA...
      • PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAU...
      • MBOWE ALIVYOTINGA NA MTOTO WEMA TAIFA JANA, BAHATI...
      • LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA ...
      • CHELSEA YAIFUMUA 3-1 SWANSEA CITY ENGLAND
      • KICHUYA AING’ARISHA SIMBA PUNGUFU, YANGA ZEMBE YAP...
      • HALI ILIVYO NJE YA UWANJA WA TAIFA SIMBA NA YANGA
      • OMOG AMTUPA JUKWAANI MWANJALI, AWAANZISHA LUFUNGA ...
      • LWANDAMINA AWAANZISHWA PAMOJA YONDAN NA DANTE BEKI...
      • MWISHO WA UBISHI SIMBA NA YANGA TAIFA LEO
      • 'MESSI' AIPELEKA AZAM ROBO FAINALI KOMBE LA TFF
      • HOMA YA PAMBANO LA WATANI, YANGA WAMGUNA REFA...SI...
      • MAN UNITED YAPELEKWA URUSI 16 BORA EUROPA LEAGUE, ...
      • MODC: VKB Knights vs Warriors Preview
      • EPL: Leicester City v Liverpool Preview
      • Scottsville Sunday 26 February 2017 Best Bet
      • AZAM DIARIES WAIPIGA JEKI DAR ATHLETIC YA LIVINGSTON
      • EPL: Tottenham v Stoke City Preview
      • Writers' Weekend Treble
      • Argyle Customer Wins R2.5 Million
      • Turffontein Saturday 25 February 2017 Best Bets
      • Kenilworth Saturday 25 February 2017 Best Bets
      • SAMATTA ALIVYOIPIGANIA GENK JANA MICHUANO YA UEFA
      • SPURS 2-2 GENT
      • KANE AJIFUNGA, DELE ALLI ALIMWA KADI NYEKUNDU, SPU...
      • RANIERI ATIMULIWA LEICESTER MIEZI TISA BAADA YA KU...
      • SAMATTA, GENK WAWEKA REKODI ULAYA, WAIFUATA MAN UN...
      • METHEW AKRAMA NDIYE REFA WA SIMBA NA YANGA JUMAMOS...
      • CAF YATAJA VIKOSI VYOTE AFCON YA U-20 ZAMBIA 2017
      • TOTO YAIMARISHA BENCHI LA UFUNDI, FULGENCE KOCHA MKUU
      • SIMBA YAMTIA MOTO MAVUGO AWAUE YANGA JUMAMOSI, YAM...
      • STAND UNITED WAPEWA ONYO LA MWISHO KUPULIZIA DAWA ...
      • LIGI KUU YA WANAWAKE SASA KUANZA FEBRUARI 26
      • AZAM WASAKA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF KESHO
      • TFF: TAIFA STARS ITAANZA KUTISHA KUELEKEA KOMBE LA...
      • RAIS MALINZI AELEZA MIKAKATI WA MAENDELEO YA SOKA ...
      • Six Nations: Scotland v Wales Preview
      • Six Nations: Ireland v France Preview
      • Six Nations: England v Italy Preview
      • Italian Serie A: Week 26 Preview
      • CELINA ITATIRO, COLLINS SALIBOKO KUIWAKILISHA TANZ...
      • South African NFD: Week 19 Preview
      • R3 Million - New Soccer Payout Limit
      • EFL Cup Final: Southampton v Manchester United
      • South African PSL: Week 19 Preview
      • EPL: Chelsea v Swansea City Preview
      • Super Rugby 2017: Round 1 Preview (Saturday)
      • Betgames Africa Statistics: 15 February - 21 February
      • BOCCO AANZA MDOGO MDOGO AZAM FC, KINGUE BADO BADO
      • VALENCIA 2-1 REAL MADRID
      • SAINT ETIENNE 0-1 MAN UNITED
      • FC PORTO 0-2 JUVENTUS
      • SEVILLA 2-1 LEICESTER CITY
      • Greyville Friday 24 February 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 24 February 2017 Best Bets
      • LEICESTER YAKOMAA UGENINI LIGI YA MABINGWA, YAPIGW...
      • KLOPP AMTIA PINGU LALLANA LIVERPOOL HADI 2021
      • RONALDO AFUNGA MECHI YA 700, LAKINI REAL 'WAKALISH...
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?

PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?

SIMBA jana wamefanikiwa kuwafunga kwa mara ya pili mfululizo watani wao wa jadi, Yanga baada ya kuwachapa 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. 
Shujaa wa Simba jana alikuwa winga Shiza Ramadhani Kichuya, aliyefunga bao la ushindi dakika za lala salama, akitoka kupika la kusawazisha.
Ushindi huo unaifanya Simba ifikishe pointi 54 baada ya kucheza 23, ikiendelea kuongoza Ligi mbele ya mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 49 za mechi 22.
Na huo ni ushindi wa pili mfululizo kwa Simba dhidi ya Yanga, baada ya Januari 10 kushinda pia kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi, visiwani Zanzibar.
Kichuya aliyempokea beki Novatus Lufunga dakika ya 55, kwanza alimsetia mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo kuifungia bao la kusawazisha Simba dakika ya 66 kabla ya yeye mwenyewe kufunga la ushindi dakika ya 81.
Ikumbukwe Kichuya ndiye aliyeifungia Simba bao la kusawazisha dakika ya 86 Oktoba 1, mwaka jana timu hizo zikitoka sare ya 1-1 baada ya Amissi Tambwe kutangulia kuifungia Yanga dakika ya 26 kwa makosa ya Lufunga tena.
Na jana Yanga SC walitangulia kwa bao la mapema tu dakika ya tano la Simon Msuva kwa mkwaju wa penalti, baada ya kiungo Mzambia, Obrey Chirwa kuangushwa kwenye boksi na Lufunga. 
Refa asiyejiuliza mara mbili katika maamuzi yake, Methew Akrama wa Mwanza alimtoa nje kwa kadi nyekundu beki Mkongo wa Simba, Janvier Besala Bokungu dakika ya 55 baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano kufuatia kumchezea rafu Chirwa.
Akrama alikuwa mwiba kwa timu zote mbili jana kutokana na maamuzi yake ya kufuata sheria 17 za soka bila kusita pale tu lilipotokea kosa, hali ambayo ilisababisha wachezaji wenyewe waamue kuwa na nidhamu uwanjani.
Yanga ndiyo waliuanza vizuri mchezo huo wakitawala sehemu ya kiungo, iliyokuwa ikiundwa na wageni watupu, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, Mzimbabwe Thabani Kamusoko na Mzambia Justin Zulu.
Na Simba iliyoanza na washambuliaji watatu, Mavugo, Juma Luizio na Ibrahim Hajib ikajikuta imeelemewa mno katika dakika 30 za mwanzo za mchezo.
Yanga watajilaumu wenyewe kwa kucheza mchezo wa ‘kibishoo’ zaidi, wakigongeana pasi zisizo na tija badala ya kusaka mabao moja kwa moja.  
Kibao kilianza kuigeukia Yanga baada ya kocha Joseph Omog kumpunguza mshambuliaji mmoja, Luizio na kumuingiza kiungo Said Hamisi Ndemla dakika ya 27 aliyekwenda kuipa uhai timu yake.
Na Yanga ikapata pigo baada ya kiungo wake tegemeo, Kamusoko kuumia na kumpisha Said Juma ‘Makapu’ dakika ya 45.
Kipindi cha pili, Simba SC ilirudi na maarifa mapya na pamoja na mabadiliko mengine yaliyofanywa na Omog, akiwatoa Lufunga na Mohammed Ibrahim na kuwaingiza Mkude na Kichuya mambo yakawa mazuri upande wao.
Pamoja na kumpoteza Bokungu aliyetolewa kwa kadi nyekundu, lakini Simba wakatoka nyuma na kushinda 2-1.
Kichuya alimtilia krosi maridadi Mavugo kutoka kulia akafunga kwa kichwa dakika ya 66 kabla ya yeye mwenyewe kupiga shuti kutoka umbali wa mita 20 kuifungia bao la ushindi Simba dakika ya 81.
Kilichoonekana katika mchezo wa jana ni matunda ya maandalizi mazuri kwa Simba kuanzia nje hadi ndani ya Uwanja na dhamira halisi ya ushindi.
Na sifa zaidi zimuendee kocha Omog kwa maamuzi yake ya haraka ya kubadilisha mfumo kutoka kutumia washambuliaji watatu hadi wawili ili kuongeza idadi ya viungo kutoka watatu hadi wanne.
Lakini hata upangaji wake wa timu, ulikuwa na mtiririko mzuri – kwa kuujua ugumu wa mechi aliacha wachezaji wa kuingia kubadilisha mchezo baadaye na hilo lilifanikiwa.
Tangu yupo Azam, Omog ni kocha ambaye huwa anajua mwenyewe anachokifanya na japokuwa si mara zote hupatia, lakini mara nyingi hesabu zake hulipa – kama jana.
Mrundi Amissi Tambwe alilazimishwa kucheza akiwa anaumwa goti na Mzimbabwe Donald Ngoma alikosekana Yanga kwa sababu ya majeruhi na pale nyuma beki Mtogo Vincent Bossou akakosekana pia. Yanga ilipungukiwa watu muhimu.
Simba ilimkosa beki wake tegemeo wa kati, Method Mwanjali raia wa Zimbabawe aliyekuwa majeruhi pia. Ilimkosa mtu muhimu.
Na usajili waliofanya kuanzia Julai Yanga wanaujua wenyewe, wamesajili wachezaji wengi ambao hawana tija kwa timu – basi kipigo ilikuwa halali yao jana.
Yanga ilikufa baada ya kuumia Kamusoko, ambaye ndiye alikuwa akiichezesha timu vizuri sana. Niyonzima kama kawaida yake, mechi za Simba huwa zinamsumbua. Mara chache sana Haruna akafanya vizuri dhidi ya Simba.
Wachezaji wa Yanga walikuwa wanafanya makosa mengi jana yenye kuwapa nafasi za kufunga Simba, japokuwa mwelekeo wa mchezo ulikuwa vizuri kwao.
Walipata bao la mapema la penalti, wakapunguziwa nguvu ya wapinzani kwa Bokungu kutolewa kwa kadi nyekundu, lakini bado wamepigwa. Watamlaumu refa hapo? 


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2mxYuoj best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/penalti-kadi-nyekundu-na-bado-wamepigwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 20.31
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?