• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ▼  Februari (441)
      • FA Cup: Manchester City v Huddersfield Town Preview
      • JUVENTUS 3-1 NAPOLI
      • WGC Mexico Championship 2017 Preview
      • JUVENTUS YAITUPA NJE NAPOLI COPPA ITALIA NA KUTING...
      • Greyville Friday 3 March 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 3 February 2017 Best Bets
      • Vaal Thursday 2 March 2017 Best Bets
      • WAMBURA ANAJUA NAPE ALICHOWAAMBIA MSUVA NA JUMA AB...
      • MAREFA WA DJIBOUTI KUCHEZESHA YANGA NA ZANACO TAIF...
      • ISRAEL NKONGO KUCHEZESHA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
      • CHARLES HILLARY ATEULIWA KAMATI YA KUHAMASISHA SER...
      • LWANDAMINA AWATAKA WACHEZAJI YANGA KUSAHAU KIPIGO ...
      • Scottsville Wednesday 1 March 2017 Best Bets
      • MODC: VKB Knights vs Hollywoodbets Dolphins Preview
      • MKUDE ALIKUWA ‘ANAMUWAKIA’ NINI HAPA AGYEI?
      • KOCHA AZAM ASEMA MAMBO MAZURI YANAKUJA
      • Turffontein Tuesday 28 February 2017 Best Bets
      • LEICESTER CITY 3-1 LIVERPOOL
      • LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-...
      • PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ...
      • Kenilworth Tuesday 28 February 2017 Best Bets
      • TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA JAMHURI, YANGA NA MTIBWA...
      • YANGA KUPOZA MACUNGU KWA RUVU SHOOTING KESHOKUTWA?
      • NNE BORA YA LIGI DARAJA LA PILI KUANZA JUMATANO
      • MLANDIZI QUEENS YAANZA VYEMA LIGI YA WANAWAKE BARA
      • South Africa vs New Zealand: Fourth ODI Preview
      • MKWASA AZUNGUMZIA HALI HALISI YANGA, ASEMA...
      • Flamingo Park Monday 27 February 2017 Best Bets
      • NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA
      • MAKOCHA WAZAWA WAIKACHA NAFASI YA UKOCHA GHANA
      • ATLETICO MADRID 1-2 BARCELONA
      • VILLARREAL 2-3 REAL MADRID
      • MAN UNITED 3-2 SOUTHAMPTON
      • REAL MADRID NAYO YASHINDA LA LIGA, YAIPIGA 3-2 VIL...
      • ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'ND...
      • SAMATTA AWEKEWA ULINZI ‘WA KUFA MTU’, GENK YAFA 2-...
      • CHELSEA 3-1 SWANSEA CITY
      • MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAIPIGA ATLET...
      • KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAUA 4-0 ENGLAND
      • POLISI JANA WALIKUWA KAZINI KWELI UWANJA WA TAIFA
      • MAVUGO AWAPA AHADI NZURI SIMBA SC
      • SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • KEVIN YONDAN ALICHEZA PAMOJA NA MACHUPPA, ULIMBOKA...
      • PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAU...
      • MBOWE ALIVYOTINGA NA MTOTO WEMA TAIFA JANA, BAHATI...
      • LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA ...
      • CHELSEA YAIFUMUA 3-1 SWANSEA CITY ENGLAND
      • KICHUYA AING’ARISHA SIMBA PUNGUFU, YANGA ZEMBE YAP...
      • HALI ILIVYO NJE YA UWANJA WA TAIFA SIMBA NA YANGA
      • OMOG AMTUPA JUKWAANI MWANJALI, AWAANZISHA LUFUNGA ...
      • LWANDAMINA AWAANZISHWA PAMOJA YONDAN NA DANTE BEKI...
      • MWISHO WA UBISHI SIMBA NA YANGA TAIFA LEO
      • 'MESSI' AIPELEKA AZAM ROBO FAINALI KOMBE LA TFF
      • HOMA YA PAMBANO LA WATANI, YANGA WAMGUNA REFA...SI...
      • MAN UNITED YAPELEKWA URUSI 16 BORA EUROPA LEAGUE, ...
      • MODC: VKB Knights vs Warriors Preview
      • EPL: Leicester City v Liverpool Preview
      • Scottsville Sunday 26 February 2017 Best Bet
      • AZAM DIARIES WAIPIGA JEKI DAR ATHLETIC YA LIVINGSTON
      • EPL: Tottenham v Stoke City Preview
      • Writers' Weekend Treble
      • Argyle Customer Wins R2.5 Million
      • Turffontein Saturday 25 February 2017 Best Bets
      • Kenilworth Saturday 25 February 2017 Best Bets
      • SAMATTA ALIVYOIPIGANIA GENK JANA MICHUANO YA UEFA
      • SPURS 2-2 GENT
      • KANE AJIFUNGA, DELE ALLI ALIMWA KADI NYEKUNDU, SPU...
      • RANIERI ATIMULIWA LEICESTER MIEZI TISA BAADA YA KU...
      • SAMATTA, GENK WAWEKA REKODI ULAYA, WAIFUATA MAN UN...
      • METHEW AKRAMA NDIYE REFA WA SIMBA NA YANGA JUMAMOS...
      • CAF YATAJA VIKOSI VYOTE AFCON YA U-20 ZAMBIA 2017
      • TOTO YAIMARISHA BENCHI LA UFUNDI, FULGENCE KOCHA MKUU
      • SIMBA YAMTIA MOTO MAVUGO AWAUE YANGA JUMAMOSI, YAM...
      • STAND UNITED WAPEWA ONYO LA MWISHO KUPULIZIA DAWA ...
      • LIGI KUU YA WANAWAKE SASA KUANZA FEBRUARI 26
      • AZAM WASAKA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF KESHO
      • TFF: TAIFA STARS ITAANZA KUTISHA KUELEKEA KOMBE LA...
      • RAIS MALINZI AELEZA MIKAKATI WA MAENDELEO YA SOKA ...
      • Six Nations: Scotland v Wales Preview
      • Six Nations: Ireland v France Preview
      • Six Nations: England v Italy Preview
      • Italian Serie A: Week 26 Preview
      • CELINA ITATIRO, COLLINS SALIBOKO KUIWAKILISHA TANZ...
      • South African NFD: Week 19 Preview
      • R3 Million - New Soccer Payout Limit
      • EFL Cup Final: Southampton v Manchester United
      • South African PSL: Week 19 Preview
      • EPL: Chelsea v Swansea City Preview
      • Super Rugby 2017: Round 1 Preview (Saturday)
      • Betgames Africa Statistics: 15 February - 21 February
      • BOCCO AANZA MDOGO MDOGO AZAM FC, KINGUE BADO BADO
      • VALENCIA 2-1 REAL MADRID
      • SAINT ETIENNE 0-1 MAN UNITED
      • FC PORTO 0-2 JUVENTUS
      • SEVILLA 2-1 LEICESTER CITY
      • Greyville Friday 24 February 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 24 February 2017 Best Bets
      • LEICESTER YAKOMAA UGENINI LIGI YA MABINGWA, YAPIGW...
      • KLOPP AMTIA PINGU LALLANA LIVERPOOL HADI 2021
      • RONALDO AFUNGA MECHI YA 700, LAKINI REAL 'WAKALISH...
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » TFF: TAIFA STARS ITAANZA KUTISHA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

TFF: TAIFA STARS ITAANZA KUTISHA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

RISALA YA TFF KATIKA UZINDUZI WA BODI YA MFUKO WA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU (TFF FOOTBALL DEVELOPMENT FUND).
Ndugu Yusuph Singo Mkurugenzi wa Idara ya Michezo.
Ndugu Wajumbe wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu.
Ndugu Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF.
Sekretariet ya TFF mkiongozwa na Katibu Mkuu Mwesigwa Selestine.
eni rasmi wazo la kuunda hiki chombo lilitujia mwaka 2015 baada ya kuona ugumu wa kutekeleza mipango ya maendeleo kutokana na uhaba wa rasilimali hasa fedha. Hivyo kwa kushirikiana na Rais wa Heshima wa TFF Bwana Leodegar Tenga tuliweza kubuni uanzishwaji wa chombo hiki pamoja na kanuni  za uendeshaji wake. Mfuko huu ulirasimishwa rasmi katika Mkutano Mkuu wa TFF wa mwaka 2015 na hivyo mfuko huu uko na Katiba ya TFF. Tulifanya hivyo ili kuulinda m
Ndugu Wanahabari.
Wageni waalikwa Mabibi na Mabwana.
Habari za asubuhi.
Ninaomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuwa pamoja hapa leo.
Mheshimiwa Waziri tunakushukuru sana pamoja na shughuli zako nyingi umeweza kutenga muda wa kuwa na sisi asubuhi hii. Ahsante sana.
Ndugu mgfuko huu kutokana na mabadiliko ya uongozi wa TFF ambayo huwa tunayafanya kil baada ya miaka minne.  Kwa mujibu wa Katiba ya TFF kanuni za uendeshaji wa mfuko huu zimeundwa na kupitishwa na Kamati ya Utendaji ya TFF.
Bodi hii inaundwa na:
Bw. Tido Mhando - Mwenyekiti ( Mtendaji Mkuu Azam TV)
Bi. Beatrice Singano - Mjumbe (Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel)
Bw. Tarimba Abbas - Mjumbe (Mstaafu Bahati Nasibu ya Taifa)
Bw. Salum Rupia - Mjumbe (Mkurugenzi NBC)
Bw. Joseph Kahama - Mjumbe (Katibu Tanzania/China Friendship 
Society)
Bw. Ephraim Mafuru - Mjumbe (Mkurugenzi Masoko ILOVO)
Bw. Meshack Bandawe - Mjumbe (Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa)

Sekretarieti ya Bodi hii inaongozwa na Mtendaji Mkuu.
Jukumu kubwa la mfuko huu ni kubuni vyanzo mbalimbali vya rasilimali ambavyo vitaliwezesha Shirikisho kutekeleza program zake mbalimbali za maendeleo ya mpira wa vijana na wa wanawake. Mfuko huu unajiendesha kwa uhuru (independently), una akaunti yake benki ambayo inaitwa kwa jina la Mfuko wenyewe na watia saini (Bank Signatories) wanateuliwa na kusimamiwa na Bodi yenyewe.
Kiutaratibu Sekretarieti ya TFF ikiwa na mahitaji itakuwa inatuma maombi kwa maandishi kwenda kwenye Bodi, na Bodi ikijiridhisha na maombi hayo itakuwa inaruhusu matumizi yafanyike kwa masharti kuwa mrejesho wa matumizi hayo uletwe kwenye Bodi kwa kuangalia wadhifa wa wajumbe wa Bodi hii ni dhahiri rasilimali zitakazokusanywa na mfuko huu zitakuwa salama. Ofisi za mfuko huu ziko Mikocheni hapa Dar es Salaam.


Ndugu Mgeni Rasmi,
Kwa kipindi kirefu Tanzania hatujafanikiwa kucheza fainali kubwa za mpira Barani Afrika. Mara ya mwisho kupata mafanikio makubwa kwa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ilikuwa ni mwaka 1980 Tanzania ilipofuzu kucheza fainali za Afrika (AFCON) nchini Nigeria.
Ila kuhakikisha Tanzania inang’ara tena Kimataifa katika mpira wa miguu Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linania thabiti ya kuhakikisha Tanzania inafuzu kucheza fainali za kombe la Dunia mwaka 2026 kwa upande wa wanaume (Taifa Stars) na kufuzu kucheza fainali za Dunia kwa 
Msingi mkubwa wa mafanikio ya Timu za Taifa duniani kote ni kuwekeza katika mpira wa vijana ili kuhakikisha vijana wanafundishwa mpira kwa kiwango cha Kimataifa kuanzia wakiwa wadogo. Wakilelewa pamoja na kufundishwa mpira pamoja ukubwani wanaunda Timu ya Taifa imara yenye uwezo wa kushindana na timu yoyote duniani. Hakuna njia ya mkato.

MKAKATI.
Ili kufikia azma hii TFF infanya yafuatayo:

• Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars).
Mwaka jana Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) ilipata mafanikio makubwa sana kwa kushinda ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Women Challenge). Lengo la TFF ni kuboresha kikosi hiki ili mwaka 2018 kiweze kufaulu kucheza fainali za Afrika kwa mpira wa wanawake nchini Ghana. Timu tatu bora katika fainali hizi zitacheza fainali za Kombe la Dunia la Wanawake nchini Ufaransa mwaka 2019. Ili kutimiza lengo hili kuanzia mwaka jana 2016 TFF ilianzisha Ligi Kuu ya vilabu vya wanawake. Mwaka huu wa 2017 wachezaji bora 40 toka katika Ligi hii wataingia kambini na kuchujwa ili wale walio bora waongezwe kwenye kikosi cha sasa cha Twiga Stars ili kuiimarisha. Timu itaendelea kuwa inaingia kambini na kupewa mechi za majaribio. Tunaamini kwa mkakati huu Tanzania itafuzu kucheza fainali za Afrika 2018 na za Dunia 2019.

• Serengeti Boys.
Hii ni timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17. Kikosi cha sasa cha Timu hii ni cha vijana waliozaliwa baada ya tarehe 01 Januari, 2000.  Kikosi hiki kilikusanywa pamoja kwa mara ya kwanza mwaka 2014 kutokana na mashindano ya Copa CocaCola na Airtel Rising Stars, tunawashukuru sana AIRTEL ambao wameendelea kuwa karibu na timu hii. Hadi sasa timu hii imesafiri na kuweka kambi nchi mbalimbali duniani zikiwemo Madagascar, Seychelles, Rwanda, India na Korea ya Kusini. Hadi sasa kikosi hiki imecheza mechi 12 za Kimataifa dhidi ya timu kubwa za Taifa ikiwemo ya Marekani, Korea ya Kusini na Afrika Kusini na kimefanikiwa kushinda mechi saba, sare tatu na kufungwa mechi mbili tu.
Ni jambo la fahari kubwa kwa Taifa letu kuwa Serengeti Boys imefuzu kucheza fainali za Afrika za vijana umri chini ya miaka 17. Fainali hizi zitafanyika nchini Gabon kuanzia tarehe 21 Mei hadi tarehe 04 Juni, 2017. Katika fainali hizi timu nane zitashiriki na zimegawanywa katika makundi mawili ambayo ni kundi A ni Gabon, Ghana, Cameroon na Guinea ya Conakry. Kundi B ni Tanzania, Angola, Mali  na Niger. Timu mbili bora kila kundi zitafaulu kucheza fainali za Kombe la Dunia India mwezi Novemba.
Maandalizi ya Serengeti Boys kuelekea Gabon yatahusisha kambi za ndani na za nje ya nchi. Tunakadiria kuwa ili tushiriki kwa mafanikio katika fainali hizi jumla ya fedha zilizopungua ni Shs. 1,000,000,000/=( Billioni moja) zitahitajika ili kulipia gharama za kambi ndani na nje ya nchi.
Tutaendelea kuilea kikosi hiki ili mwaka 2019 kiweze kufaulu kucheza fainali za Afrika umri chini ya miaka 20 (Afcon U-20).

• Fainali za Afrika umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.
Tanzania imepewa fursa na Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF ya kuwa wenyeji wa Fainali za Afrika kwa vijana umri chini ya miaka 17 mwaka 2019 (Afcon U-17). Hii ni heshima kubwa sana kwa Tanzania na itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kupata uenyeji huu tangia tupate uhuru. Fursa hii tukiitumia vyema itatupatia mwanya mzuri wa kunyakua ubingwa wa Afrika tukiwa wenyeji wa michuano. Aidha kufanikisha kuandaa mashindano haya makubwa kutafungua njia kwa Tanzania kuandaa fainali za Afrika kwa wakubwa (Afcon) kwa miaka ya baadae.

Maandalizi ya fainali hizi kama wenyeji yana sehemu mbili kubwa:
• Ya kwanza, ni maandalizi ya mashindano yenyewe ambayo ni pamoja na kuandaa viwanja kwa kiwango stahiki, kuandaa hoteli za kutosha kwa ajili ya malazi ya washiriki, kuandaa miundo mbinu ya mawasiliano, maandalizi ya itifaki nk. Hii inahitaji kuunda Kamati ya Taifa ya Maandalizi (Local Organizing Committee). Taratibu za kuunda kamati hii zinaendelea.
• Ya pili, ni maandalizi ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 (U17) itakayoshiriki fainali hizi. Kama wenyeji Tanzania itaingia moja kwa moja kwenye fainali hizi. TFF ilianza maandalizi ya timu hii mwaka 2014 ambapo yalifanyika mashindano ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 13 wakati huo. Vijana 22 bora toka katika mashindano hayo walikusanywa na kuwekwa pamoja katika shule ya kukuza na kulea vipaji vya wanamichezo ya Alliance Mwanza ambapo wamekuwa wakisoma na kufundishwa mpira. TFF inalipia gharama za masomo ya vijana hawa. Tarehe 18 Disemba, 2016 timu hii (ambayo sasa  ni ya vijana umri chini ya miaka 15) ilicheza mechi yake ya kwanza ya Kimataifa dhidi ya Burundi na kushinda kwa bao 3-2. Utaratibu huu utaendelea na kikosi kitazidi kuboreshwa.

• Fainali za Olimpiki mwaka 2020 Tokyo.
TFF imejizatiti kuhakikisha timu yetu ya Taifa umri chini ya miaka 23 (Kilimanjaro Warriors) inafaulu kucheza fainali za Olimpiki Tokyo mwaka 2020. Ili kutimiza lengo hili TFF ilichezesha Ligi ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 20 mwaka jana. Hawa ni wale waliozaliwa baada ya tarehe 01 Januari, 1997. Mwezi Januari mwaka huu vijana 40 bora toka katika ligi hii waliitwa kambini na kuchujwa ili wabaki vijana 22 wakakaoanza kambi maalum kujiandaa na kufuzu kucheza fainali za Olimpiki. Tanzania haijawahi kufuzu kucheza mpira wa miguu katika fainali za Olimpiki. Safari hii tumedhamiria tufuzu. Tuna imani kwa kushirikiana na Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC tutaweza kufikia athma  hii.

• Kuelekea Kombe za Dunia 2026.
Matumaini ya TFF ni kuwa muunganiko wa wachezaji bora tokana na Fainali zaa Afrika umri chini ya miaka 17 mwaka 2019, Serengeti Boys ya sasa na Kilimanjaro Warriors ( Timu ya Olimpiki) iliyoundwa mwaka huu yatalipatia Taifa letu fursa ya kuunda kikosi imara cha timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo itaanza kuonyesha makali yake Afrika na Duniani kuanzia mwaka 2021 katika kuelekea fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.
Kwa kuwa program zote hizi zinahitaji matumizi makubwa ya fedha ikiwemo kugharamia kambi, usafiri wa ndani na wa nje ya nchi kwa mechi za majaribio na kununua vifaa vya michezo ni matumaini ya TFF kuwa kwa kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Mpira wa Miguu yakiwemo Mashirika na Makampuni ya umma na binafsi, taasisi mbalimbali na watu binafsi wataweza kuchangia maendeleo ya mpira wa miguu kwa kupitia mfuko huu. Tunaomba Serikali itushike mkono katika jambo hili.
Ndugu mgeni rasmi kama ishara ya kutuzindulia Bodi ya Mfuko huu tutaomba uwakabidhi wajume wa Mfuko huu Katiba ya TFF, Kanuni za uendeshaji wa mfuko.
Ahsante sana.
Mungu Ibariki Afrika.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ubariki Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania.
Jamal Malinzi
DAR ES SALAAM.
23 Februari, 2017


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kQeypo best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TFF: TAIFA STARS ITAANZA KUTISHA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/tff-taifa-stars-itaanza-kutisha.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 06.29
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: TFF: TAIFA STARS ITAANZA KUTISHA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026