MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo amebadilisha mawazo yake na kuamua kubaki Real Madrid, kwa mujibu wa taarifa nchini Hispania.
Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amekiri Ronaldo 'aliumizwa na kukasirika' kutokana na madai ya Mamlaka ya Hispania kwamba alikwepa kosi ya Pauni Milioni 12.9.
Ronaldo aliiambia klabu kwamba angeondoka ikiwa atatiwa hatiani kwa mashitaka ya kukwepa kodi na pia alifanya kikao cha siri na Rais wa Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi, saa kadhaa kabla ya kufunga mabao mawili kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Juventus.
Ureno ya Cristiano Ronaldo ilitolewa katika Nusu Fainali Kombe la Mabara na Chile PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lakini AS limerip[oti kwamba Ronaldo sasa ameamua kubaki Madrid, baada ya kushawishiwa na klabu kwamba bado ni mtu muhimu katika mipango yao ya baadate.
Kesi ya Ronaldo kukwepa kodi inatarajiwa kuunguruma mahakamani Julai 31, ingawa wawakilishi wake sasa wanampoza mambo hayatakuwa magumu.
Awali Perez alisema atazungumza na mchezaji huyo atakaporejea kutoka kwenye Kombe la Mabara huku akiamini atabaki.
Ronaldo amerejea Madrid ndani ya muda kuungana na wanawe wapya pacha wawili waliozaliwa kwa mama asiyejulikana, baada ya Ureno kutolewa Nusu Fainali kwenye Kombe la Mabara na Chile.
Ingawa kikosi cha Madrid kinaripoti leo kwa maandalizi ya msimu mpya, Ronaldo atapewa muda zaidi wa mapumziko kuimarika zaidi na hatarajiwi kurudi hadi mwishoni mwa Julai.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2tEHAZY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CRISTIANO RONALDO AAMUA KUBAKI REAL MADRID. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/cristiano-ronaldo-aamua-kubaki-real.html. Terimakasih atas perhatiannya.