• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ▼  Juli (535)
      • Kenilworth Tuesday 1 August 2017 Best Bets
      • KAREKEZI KOCHA MPYA WA RAYON SPORTS, ATASAIDIWA NA...
      • ULIMWENGU AFANYIWA UPASUAJI WA GOTI, KUWA NJE HADI...
      • FUNDI WA MPIRA RAPHAEL DAUDI LOTH MAZOEZINI MOROGO...
      • MALIMI BUSUNGU ASAJILIWA LIPULI YA IRINGA
      • MTAALAMU CHUJI ARUDI KAZINI, ASAINI NDANDA FC
      • NEMANJA MATIC ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU MAN U...
      • TFF YASHUSHA ADA ZA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU
      • FIFA YABARIKI UCHAGUZI TFF UENDELEE, NGOMA KUPIGWA...
      • MATOKEO YA MWISHO USAILI TAFCA, KAMPENI ZAANZA
      • Scottish Premier League: Outright Preview
      • Audi Cup: Semifinals Preview
      • AISHI MANULA AINGIA KAMBINI SIMBA, SASA BADO NIYON...
      • SA Lotto & Plus - Lucky Numbers
      • KESI ZA AKINA MALINZI, AVEVA, KABURU ZAAHIRISHWA T...
      • Fairview Monday 31 July Best Bets
      • VALERENGA 0-3 MAN UNITED
      • ARSENAL 1-2 SEVILLA
      • LACAZETTE AFUNGA LAKINI ARSENAL YAPIGWA 2-1 KOMBE ...
      • MESSI NA MSUVA WALIVYOPIGA KAZI LEO MOROCCO
      • LUKAKU, FELLAINI WAFUNGA MAN UNITED YAIPIGA 3-0 VA...
      • RASMI, RAPHAEL DAUDI LOTH NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA
      • NEYMAR ALIPOKUTANA NA BONDIA FLOYD MAYWEATHER
      • MAN CITY ILIVYOENDELEZA WIMBI LA USHINDI JANA...
      • RESULT - HERMOSO MUNDO - eLAN Gold Cup 2017 Winner
      • TITUS SIMBA ALIPOTWAA MEDALI YA FEDHA YA MADOLA SC...
      • YALIYOPITA SI NDWELE, KILA LA HERI, MESSI, MSUVA.....
      • Turffontein Sunday 30 July 2017 Best Bets
      • Greyville Sunday 30 July 2017 Best Bets
      • PSG WAICHAPA MONACO 2-1 NA KUBEBA SUPER CUP YA UFA...
      • PRISONS MABINGWA KOMBE LA HISANI MBEYA, WAIPIGA YA...
      • CHELSEA 1-2 INTER MILAN
      • MONACO 1-2 PSG
      • MAN CITY 3-0 TOTTENHAM
      • ARSENAL 5-2 BENFICA
      • REAL MADRID 2-3 BARCELONA
      • PIQUE AGONGA LA USHINDI, BARCELONA YAIBWAGA REAL M...
      • WALCOTT APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA 5-2 BENFICA
      • 'CHAMPION BOY' SAMATTA KAMA KAWAIDA, AANZA MSIMU M...
      • SAMATTA AANZA MSIMU NA BAO, GENK YASHINDA 3-2
      • YAWAPA 5-2 BENFICA, WALCOTT APIGA MBILI ARSENAL KO...
      • SALAH AFUNGA TENA LIVERPOOL YASHINDA 3-0 UJERUMANI
      • Chiefs Gun Down Bucs in Black Label Cup
      • KIPA WA TIMU YA TAIFA YA CHAN GHANA ATUA AZAM
      • RESULT - SAIL SOUTH - Champions Cup 2017 Winner
      • IVAN PERISIC AWAANGAMIZA CHELSEA SINGAPORE, INTER ...
      • SHAMTE AJITIA KITANZI KIPYA MBEYA CITY MIAKA MIWILI
      • MSUVA ALIVYOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUSAI...
      • OKWI ALIVYO KAMILI GADO KAMBINI SIMBA AFRIKA KUSINI
      • MICHO AACHA KAZI UGANDA, KISA HAJALIPWA MILIONI 140
      • MWANJALI NAHODHA MPYA SIMBA, WASAIDIZI BOCCO NA TS...
      • 'CHAMPION BOY' MBWANA SAMATTA KAZINI UBELGIJI LEO
      • NEYMAR AREJEA MAZEOZINI, PSG KUMPELEKA DI MARIA BA...
      • SIMBA B YATUPWA NJE KWA MATUTA MICHUANO YA ATF, FA...
      • HATIMAYE TIBOROHA AFANIKIWA KUMUUZA MSUVA MOROCCO
      • ZIDANE AWAWEKA MKAO WA KULA MAN UNITED KWA BALE
      • KUNA NINI SANCHEZ NA ARSENAL? SASA ANASEMA MGONJWA
      • LACAZETTE ANAPOYAJENGA NA MFARANSA MWENZKE MAZOEZI...
      • NEYMAR AGOMBANA MAZOEZINI BARCA, AKASIRIKA ASUSA N...
      • BANDA AWATEMBELEA SIMBA KAMBINI AFRIKA KUSINI...IL...
      • YANGA 'WALIVYOKIWASHA' LEO MOROGORO KWA HASIRA ZOTE
      • Greyville Saturday 29 July 2017 Best Bets
      • Kenilworth Saturday 29 July 2017 Best Bets
      • MALINZI AMSHUKURU RAIS MAGUFULI, AWATAKIA TFF UCHA...
      • Currie Cup 2017: Round Two Preview
      • Major League Baseball Preview: 29 July 2017
      • Free State Cheetahs vs Western Province: Currie Cu...
      • YANGA B YAIPIGA 3-0 MBEYA CITY NA KUTANGULIA FAINALI
      • Russian Premier Liga: Week 3 Preview
      • Major Soccer League: Round 23 Preview
      • ROONEY AKOSA BAO LA WAZI, EVERTON YASHINDA 1-0 TU ...
      • YANGA YAMPA NAFASI NYINGINE MATHEO, ASAINI MIAKA M...
      • MAYWEATHER AANIKA MAFURUSHI YA DOLA 'MIA MIA' KWEN...
      • LIVERPOOL SASA MAZOEZI NDIYO HAYA KAMBI YA UJERUMANI
      • CHELSEA YAFIKISHA 20 WA KUTOA KWA MKOPO, BADO KAMA...
      • Winning Form Stockists Replacing TABs
      • BEKI LA SHUGHULI, DAVID LUIZ KATIKA MAZOEZI YA HATARI
      • MTIBWA SUGAR WAREJEA MORO KUJIPIMA NA MBEYA CITY
      • BAYERN MUNICH 0-2 INTER MILAN
      • REAL MADRID 1-4 MAN CITY
      • BARCELONA 1-0 MAN UNITED
      • MAN UNITED WAREJEA NYUMBANI BAADA YA KAMBI YA MARE...
      • Fairview Friday 28 July Best Bets
      • Internatioal Champions Cup: Real Madrid v Barcelon...
      • SINGANO ATOKEA BENCHI TIMU YAKE YACHAPWA 3-0 MOROCCO
      • SIMBA NA YANGA B ZATUA MBEYA KUSHIRIKI MASHINDANO ...
      • YANGA BAADA YA MAZOEZI YA ASUBUHI KAMBINI MORO
      • SIMBA SC KUCHEZA NA ORLANDO PIRATES, BIDVEST AFRIK...
      • ICC Womens World Cup: Team of the Tournament 2017
      • MSUVA ALIVYOPAA JANA KWENDA KUKAMILISHA MIPANGO MO...
      • Super Rugby Semi-Finals: Lions v Hurricanes Preview
      • North West Province - Winning Form Outlets
      • Northern Cape - Winning Form Outlets
      • Western Cape: Winning Form Outlets
      • Mpumalanga: Winning Form Stockists
      • Limpopo: Winning Form Stockists
      • KwaZulu-Natal: Winning Form Stockists
      • Gauteng: Winning Form Outlets
      • Free State - Winning Form Outlets
      • Eastern Cape: Winning Form Stockists
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » FIFA YABARIKI UCHAGUZI TFF UENDELEE, NGOMA KUPIGWA ST GASPER

FIFA YABARIKI UCHAGUZI TFF UENDELEE, NGOMA KUPIGWA ST GASPER

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeridhia mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uendelee na kama ulivyopangwa utafanyika Agosti 12 kwenye ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma.
Hatua hiyo inafuatia Meneja Miradi ya Maendeleo wa FIFA kwa Afrika, Mzimbabwe Solomon Mudege kuwa nchini kwa siku ya Jumamosi kwa ajili ya kufuatilia kinachoendela kwenye sokaa ya Tanzania.
Mudege alizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Yussuph Singo pamoja na Kamati ya Utendaji wa TFF.
FIFA imebariki uchaguzi wa TFF uendelee bila Jamal Malinzi (katikati)
Mara baada ya Mudege kupata maelezo ya kuridhisha kutoka kwa wanafamilia hao wa mpira wa miguu ambao baadhi yao alikutaa nao mmoja baada ya mwingine, alibariki mchakato wa uchaguzi uendelee na Kamati ya Utendaji imetangaza kuwa utafanyika Ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma.
Ujio wa FIFA unafuatia viongozi wakuu wawili wa TFF, Rais Jamal Malinzi na Katibu wake, Selestine Mwesigwa kuwekwa rumande tangu Juni 29 kwa tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka. 
Malinzi, Mwesigwa pamoja na Mhasibu wa TFF, Nsiande Isawafo Mwanga walipelekwa rumande Juni 29 baada ya kusomewa mashitaka 28 ya kughushi na kutakatisha fedha kupitia akaunti ya TFF iliyopo katika banki ya Stanbic, Dar es Salaam.
Katika mashitaka hayo, 25 yanakwenda moja kwa moja kwa Rais wa shirikisho hilo, Malinzi akidaiwa kughushi michakato mbalimbali ya kifedha, huku matatu yakiwahusu wote na Katibu wake na Mhasibu wake Nsiande Isawafo Mwanga.
Malinzi aliingia madarakani TFF Oktoba mwaka 2013 baada ya kupata kura 72 kati ya 126 zilizopigwa akimshinda aliyekuwa mpinzani wake wa karibu, Athumani Nyamlani.
Lakini baada ya kesi hii kuanza kuunguruma na kuwekwa rumande, Kamati ya Utendaji ya TFF ilikutana na kumteua Makamu wake, Wallace Karia kukaimu Urais wa shirikisho hilo.
Lakini kwa mwenendo wa kesi, Malinzi ndiyo kama amekwishaaga TFF, kwani uchaguzi unatarajiwa kufanyika Agosti 12 mjini Dodoma naye hajashiriki usaili wa wagombea, hivyo haruhusiwi tena kugombea.  
Karia naye yupo hatarini kuenguliwa katika uchaguzi baada ya kuitwa Idara ya Uhamiaji ya Taifa kuthibitisha uraia wake, akidaiwa kuwa ni raia wa Somalia. 
Katika hatua nyingine, Kamati ya Utendaji imeridhishwa na maandalizi ya Mkutano Mkuu ujao wa TFF ambako pamoja na mambo mengine utakuwa na ajenda ya Uchaguzi Mkuu wa shirikisho unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2uQFabq best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang FIFA YABARIKI UCHAGUZI TFF UENDELEE, NGOMA KUPIGWA ST GASPER. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/fifa-yabariki-uchaguzi-tff-uendelee.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.34
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
Copyright Viral Sports: FIFA YABARIKI UCHAGUZI TFF UENDELEE, NGOMA KUPIGWA ST GASPER