MSHAMBULIAJI Mbelgiji, Romelu Lukaku amekamilisha vipimo vya afya kuelekea usajili wake Manchester United kutoka Everton kwa dau la rekodi.
Lukaku amefanyiwa vipimo vya afya mjini Los Angeles, Marekani jana na kubakisha hatua chache mno kukamilisha uhamisho wake.
Mapema klabu hiyo ilithibitisha wamekubaliana na Everton ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 75 pamoja na Pauni Milioni 15 zitakazoongezeka kutegeama na kiwango chake Old Trafford, hivyo kumfanya awe mchezaji ghali kuliko Paul Pogba aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 89.
Na baada ya kukamilisha vipimo leo, Lukaku akaposti katika akaunti yake Instagram kuwaambia mashabiki wake juu ya zoezi hilo linavyoendelea.
Ameposti video kadha, lakini picha ya mwisho mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kuposti ni ameonyesha alama ya dole gumba ikiwa na maelezo; 'Finito!'.
Romelu Lukaku ameposti picha akiwa anaonysha alama hii ya dole gumba kuashiria mambo safi huku ameandika maelezo; 'Finito!' PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2sDdncJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang LUKAKU AKAMILISHA VIPIMO VYA AFYA SAFARI NI MAN UNITED. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/lukaku-akamilisha-vipimo-vya-afya.html. Terimakasih atas perhatiannya.