Na Mwandishi Wetu, RUSTERNBURG
TIMU za taifa za Lesotho na Tanzania zitakutana katika mchezo wa kusaka nafasi ya tatu Kombe la COSAFA Castle kesho jioni Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.
Hiyo inafuatia timu hizo kutolewa katika Nusu Fainali jana, Taifa Stars ikichapwa 4-2 na Zambia na Mamba wakipigwa 4-3 na Zimbabwe.
Huo utakuwa mchezo wa marudiano ndani ya kipindi cha siku 26, baada ya Juni 10 timu hizo kukutana katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi L kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika na kugawana pointi kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
 |
| Marudiano kesho; Mshambuliaji wa Tanzania,Thomas Ulimwengu katikati ya wachezaji wa Lesotho Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Juni 10. Timu hizo zitakutana tena kesho ndani ya siku 26 |
Lesotho waliamini hawakushinda kwa sababu walikuwa ugenini, lakini Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta ambaye hayupo kwenye michuano ya COSAFA, alisema Uwanja wa mdogo wa Chamazi uliwafanya washindwe kucheza katika ubora wao.
Visingizio vyote hivyo kesho havitakuwapo, timu zote zitakutana katika Uwanja wa ugenini usiohusiana nao kabisa na ni mkubwa wa kutosha.
Mchezo huo ni kipimo kizuri kwa timu zote kabla ya kurejea nchini mwao kuanza kampeni za kuwania tiketi ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), Tanzania ikicheza na Rwanda Julai 14 mjini Mwanza na Lesotho ikianzia ugenini na Comoro.
Fainali ya COSAFA 2017 itapigwa Jumapili Uwanja wa Royal Bafokeng, Phokeng mjini Rusternburg baina ya majirani, Zambia na Zimbabwe.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2usrva2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MARUDIANO MAMBA WA LESOTHO NA TAIFA STARS KESHO COSAFA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/marudiano-mamba-wa-lesotho-na-taifa.html. Terimakasih atas perhatiannya.