MWIMBAJI mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Dede, mwanamuziki wa Msondo ambaye pia aling’ara na bendi za Mlimani Park “Sikinde”, Bima Lee na OSS, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya sukari pamoja na figo.
Saluti5 imemnukuu Hamad Dede, mtoto wa marehemu, akisema kwamba mpendwa wao huyo amewatoka. “Baada ya kama masaa mawili tutakaa kama familia na kutoa taarifa rasmi ya msiba utakuwa wapi na mazishi ni lini ingawa kuna kuna zaidi ya asilimia 70 kuwa tutazika kesho,” alisema Hamad.
Onyesho la mwisho Dede kushiriki ni lile lililofanyika Travertine Hotel, Magomeni la mpambano wa Msondo na Sikinde Mei 20 mwaka huu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2usWqCU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MWANAMUZIKI NGULI TANZANIA, SHAABAN DEDE AFARIKI DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/mwanamuziki-nguli-tanzania-shaaban-dede.html. Terimakasih atas perhatiannya.