MWANASOKA wa kimataifa wa Rwanda, Ally Niyonzima amekamilisha uhamisho wake kutoka Mukura Victory Sports kwenda kwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Azam Rwanda, Rayon Sports kwa dau la usajili la Faranga Milioni 7.5.
Niyonzima, ambaye amedumu kwa miaka miwili Mukura, amesaini mkataba wa miaka miwili—akiungana na wachezaji wengine watatu wapya akiwemo beki wa kushoto, Eric Rutanga kutoka APR FC kwa Faranga Milioni 6, kiungo Yussuf Habimana kutoka Mukura kwa Faranga Milioni 5.5, beki wa kulia Saddam Nyandwi kwa Faranga Milioni 5 kutoka Espoir.
Ally Niyonzima amekamilisha uhamisho wake kutoka Mukura Victory Sports kwenda Rayon kwa dau la Faranga Milioni 7.5.
Usajili wa wanne hao umethibitishwa na Katibu Mkuu na Msemaji wa Rayon Sports, Olivier Gakwaya, aliyesema kwamba wamesaini mikataba ya miaka miwili kila mmoja.
Niyonzima bado amebakiza mkataba wa mwaka mmopja Mukura, maana yake klabu ya Huye itapata Faranga Milioni 2.5, wakati Rutanga, Habimana na Nyandwi wamesaini wakiwa wachezaji huru.
Wakati huo huo: Gakwaya amesema kipa na Nahodha wa timu hiyo, Eric ‘Bakame’ Ndayishimiye amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la Faranga Milioni 8 kubaki.
Wachezaji wengine waliosaini mikataba mipya ni kiungo mshambuliaji Kevin Muhire, winga wa kulia, Nova Bayama na kiungo mkabaji, Olivier ‘Seif’ Niyonzima.
Hata hivyo, mabingwa hao wa Ligi wamempoteza kocha wao, Djuma Masudi, aliyejiuzulu wiki iliyopita huku washambuliaji Dominique Savio Nshuti na Moustapha Nsengiyumva wakihamia AS Kigali na Polisi FC.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2v5TCLB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NIYONZIMA ATUA RAYON SPORTS KWA FARANGA MILIONI 7.5. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/niyonzima-atua-rayon-sports-kwa-faranga.html. Terimakasih atas perhatiannya.