SHIRIKISHO la Ngumi za Kulipwa Duniani (WBC) limemaliza utata kwa kusema kwamba majaji walikuwa sahihi kumpa ushindi bondia Jeff Horn wa Australia dhidi ya Manny Pacquiao wiki iliyopita mjini.
Horn alimpokonya bondia wa Ufilipino taji la WBC uzito wa Welter baada ya ushindi wa majaji wote watatu kwa pointi 117-111, 115-113 na 115-113, lakini wengi wakasema bondia wa umri wa miaka 29 'alibebwa' kwa sababu alikuwa anapigana kwenye ardhi ya nyumbani.
WBO ikakubali kupitia upya matokeo na leo imetoa matokeo, ambayo yanaendelea kumtambua Horn kama mshindi.
WBO imemaliza utata kwa kusema Jeff Horn ni mshindi halali wa pointi dhidi ya Manny Pacquiao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
"Matokeo ya pambano la Jeff Horn na Manny Pacquiao yalikuwa na utata, yakasababisha kuwagawa mashabiki. Kwa sababu hii, uwazi ni muhimu mno," imesema WBO katika taarifa yake.
"Kwa hili, majaji watano ambao hawakutajwa, majaji wa kiwango cha juu kutoka nchi tofauti walitakiwa kuangalia tena pambano bila sauti. Kujua mshindi wa kila raundi, majaji watatu kati ya watano wanapaswa kukubaliana.
"Kutokana na matokeo, inaweza kufahamika kwamba Pacquiao alishinda raundi tano, wakati Horn alishinda raundi saba,".
Wakati kumekuwa na mazungumzo kwamba mkongwe wa umri wa miaka 38, Pacquiao anaweza kustaafu, pambano la marudiano liliandikwa katika mkataba na wawili hao wanatarajiwa kurudiana baadaye mwaka huu.
Mwalimu wa zamani wa shule, Horn, ambaye sasa rekodi yake imekuwa kushinda mapambano 17 na kupigwa moja baada ya kumpiga bingwa wa dunia wa madaraja nane ya uzito tofauti amefarijika na taarifa ya WBC.
"Inanipa ushahidi nyuma yangu kwamba naweza kutumia sasa"alisema akizungumza na Waandishi wa Habari Uwanja wa Ndege wa Brisbane leo na kusema sasa anaamini alishinda pambano hilo kihalali.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2uMmV6I
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WBC YAMUAMBIA PACQUIAO; "ULIDUNDWA KWELI BWANA MKUBWA". Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/wbc-yamuambia-pacquiao-ulidundwa-kweli.html. Terimakasih atas perhatiannya.