Mchezaji huyo wa kimataifa wa Poland amekuwa akihusishwa na kuhamia Jiji Kuu la Hispania mwishoni mwa msimu, lakini kocha mkuu wa Bayern amezuia mazungumzo yote ya uhamisho wake.
"[Mwenyekiti] Karl-Heinz Rummenigge tayari amesema hili: na Robert, Real Madrid hawana nafasi kabisa,"aliwaambia Waandishi wa Habari katika mkutano.
Robert Lewandowski hataondoka kwenda Bayern Munich msimu ujao, amesema Jupp Heynckes PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 72 bado hajawa na maamuzi juu ya mustakabali wa Franck Ribery na Arjen Robben katika klabu ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu.
Heynckes amesema: "Nina maoni yangu kwa Ribery na Robben. Lakini sitayasema kwa sasa,"alisema na kuongeza. "Klabu itajua wao ni nani na itaamua kulingana na kazi yao uwanjani,".
Kocha huyo wa Bayern Munich aliyasema hayo jana kuelekea mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Sevilla leo.
Mjerumani huyo aliwaambia Waandshi wa Habari kwamba 'anachotaka ni ushindi tu' dhidi ya wapinzani kutoka Hispania Jumanne, ili kwenda kumalizia vizuri mchezo wa marudiano Uwanja wa Allianz Arena.
"Nazungumzia matokeo ya jumla, nataka ushindi. Lazima tuingie kwenye mechi kwa fikra za kushinda. Sare ya bila mabao inadanganya, kama ambavyo Manchester United walivyotolewa,".
Kuhusu timu, Heynckes amesema: "Vidal amefanya mazoezi tena na ninahisi atakuwepo (leo). Juan Bernat pia yuko fiti tena,"..
Mechi ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa leo, mabingwa watetezi, Real Madrid watakuwa wageni wa Juventus mjini Turin - wakati kesho Barcelona watakuwa wenyeji wa Roma na Liverpool wataikaribisha Manchester City katika mechi ya mahasimu wa Ligi Kuu England.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2uEMomA
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms