KAMATI ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imethibitisha adhabu ya Kamati yake ya Nidhamu kumfungia mwaka mmoja, refa Joseph Ogabor wa Nigeria kutojihusisha na soka kwa tuhuma za kushawishi upangwaji wa matokeo ya mechi.
Taarifa ya CAF iliyotoka jana imesema kwamba refa huyo aliwashawishi waamuzi wa mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Plateau United ya Nigeria na USM Alger ya Algeria uliochezwa Aprili 7 mwaka huu mjini Lagos wapange matokeo.
Uamuzi huo umefuatia uchunguzi uliofanywa pamoja na vielelezo vilivyowasilishwa na marefa wa Afrika Kusini ambao walisema waliombwa na Ogabor kuisaidia timu ya Nigeria ishinde.
Aidha, Plateau United imeonywa kwa tabia ya kuwapa zawadi na kuwafanyia ukaribu marefa ili wawavutie kuwasaidia kushinda mechi.
Pamoja na hayo, Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kimetakiwa kuwaomba radhi Shirikisho la Soka Nigeria (NFF) baada ya uchunguzi kuthibitisha hakukuwa na hongo ya dola za Kimarekani 30,000 iliyotolewa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2jhHK5c
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms