• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ▼  Juni (431)
      • YANGA WASIPOAMKA SASA WATALIA ZAIDI MSIMU UJAO
      • SIMBA SC ILIYOKUWA NA NDUGU WAWILI, BEKI IDDI SULE...
      • RONALDO NAYE AONDOSHWA MAPEMAA KOMBE LA DUNIA
      • CAVANI AIPELEKA URUGUAY ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA
      • KWAHERI MESSI, UFARANSA YASUBIRI MSHINDI KATI YA U...
      • MBAPPE SHUJAA WA UFARANSA IKIITOA ARGENTINA KOMBE ...
      • SALAMBA AING’ARISHA SIMBA KOMBE LA KAGAME
      • Turffontein Sunday 1 July Best Bets
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 30 June 2018
      • Greyville Saturday 30 June 2018 Best Bets
      • SINGIDA UNITED YAIFUNGA APR MABAO 2-1 KATIKA KOMBE...
      • AZAM FC YAANZA VYEMA KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA KAT...
      • Round of 16: Belgium vs Japan - soccer world cup P...
      • Round of 16: Brazil vs Mexico - soccer world cup p...
      • Round of 16: Croatia vs Denmark soccer world cup P...
      • Round of 16: Spain vs Russia soccer world cup Preview
      • RONALDO ALIVYO TAYARI KWA KAZI NA UFARANSA KESHO
      • SERIKALI YAENDELEA NA UKARABATI WA VIWANJA KUELEKE...
      • Round of 16: Uruguay v Portugal soccer world cup P...
      • Round of 16: France vs Argentina soccer world cup ...
      • Spar Facebook Promotion – Win a R500 Spar voucher:...
      • Round of 16: Uruguay v Portugal soccer world cup P...
      • T20 league excitement for KZN
      • F1 2018: Austrian Grand Prix Preview
      • Round of 16: France vs Argentina soccer world cup ...
      • ATP Tour: Eastbourne Invitational Semi-Finals Preview
      • COLOMBIA YAITUPA NJE SENEGAL KOMBE LA DUNIA, AFRIK...
      • Vodacom Durban July 2018 - Gallops
      • Fairview Friday 29 June 2018 Best Bets
      • #Throwback Thursday: Spain Knocked out of the 2014...
      • ROONEY AJA WASHINGTON KUSAINI MKATABA NA DC UNITED...
      • YONDAN AANZA KUJIANDAA NA MAISHA BAADA YA SOKA, AF...
      • SIMBA YAWATAMBULISHA RASMI WAWA, KAGERE NA DIDA
      • MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME KUANZA RASMI KESHO
      • Group G: Belgium vs England - soccer world cup Pre...
      • Top 42 Transfer Rumours and Done Deals 2018
      • Opinion: ODI 500 and triple ton not far away
      • Group G: Panama vs Tunisia - soccer world cup Preview
      • Group H: Japan vs Poland – soccer world cup Preview
      • Group H: Senegal vs Colombia – soccer world cup Pr...
      • Serbia 7/39 and Serbia 7/39 PLUS - Lucky Numbers
      • Mozambique 6/49 - Lucky Numbers
      • MSHAMBULIAJI WA IVORY COAST, WILFRIED BONY WA SWAN...
      • UJERUMANI WATEMESHWA KOMBE LA DUNIA, WAPIGWA 2-0 N...
      • Vaal Thursday 28 June 2018 Best Bets
      • DAKADAHA YA SOMALIA, PORTS YA DJIBOUTI NA KATOR YA...
      • Malta 5/90 - Lucky Numbers
      • MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO JAMILLAH OMARY ANG'AR...
      • Norway Eliteserien: Week 15 Preview
      • SAMPAOLI ALIMUOMBA RUHUSA MESSI KUMUINGIZA AGUERO ...
      • Super Rugby: Round 17 Preview
      • BANDA APANIA KUONGEZA BIDII BAROKA FC AFANYE MAKUB...
      • KOCHA MBEYA CITY KUSAJILI WAKALI WATANO KUTOKA BUR...
      • GERRARD AMKABIDHI KEITA JEZI NAMBA 8 LIVERPOOL, KU...
      • Betgames Africa Statistics: 20 June - 26 June
      • Group F: Mexico vs Sweden - soccer world cup Preview
      • FICA Documents and How to Submit Them
      • Messi Relieved after Nigeria Duel
      • Group F: South Korea vs Germany - soccer world cup...
      • PGA Tour: Quicken Loans National Preview
      • European Tour: Open de France Preview
      • UFARANSA NA DENMARK ZAENDA 16 BORA KOMBE LA DUNIA
      • PERU YASHINDA MECHI KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 40
      • Durbanville Wednesday 27 June 2018 Best Bets
      • KELVIN TWISA ALIPOKUTANA NA MBABE WA WBC TONNY BELLEW
      • BARDEN AWASILI NA SUTI YA AINA YAKE KUCHUKUA TUZO ...
      • BEKI MPYA MGANDA AAHIDI MATAJI AZAM FC, AGGREY MOR...
      • SIMBA SC YAMSAINISHA MIAKA MIWILI MEDDIE KAGERE…SE...
      • Group D: Iceland v Croatia - soccer world cup Preview
      • Vodacom Durban July 2018 - Final Field
      • Group D: Nigeria v Argentina - soccer world cup Pr...
      • Ronaldo Deserved Red Card - Iran Coach
      • Percy Tau Finally Set for Europe?
      • Group C: Australia v Peru - soccer world cup Preview
      • Group C: Denmark v France - soccer world cup Preview
      • WTA Tour: Eastbourne Invitational Selected Round o...
      • ATP Tour: Eastbourne Invitational Selected Round o...
      • Vaal Tuesday 26 June 2018 Best Bets
      • Xolani Luvuno - Overcoming Adversity
      • NTEZE JOHN: TANZANIA INAHITAJI WACHEZAJI WENGI WAN...
      • Group B: Iran v Portugal - soccer world cup Preview
      • Group B: Spain v Morocco - soccer world cup Preview
      • Group A: Saudi Arabia v Egypt - soccer world cup P...
      • England vs Australia: Only T20 Preview
      • Group A: Uruguay v Russia - soccer world cup Preview
      • RAZA AJITOKEZA KUUTAKA URAIS WA ZFA ILIYOGUBIKWA N...
      • KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND YAICHAPA 6-1 PANAMA
      • GARDIEL MICHAEL MBAGA ANAVYONG'ARA NA MKEWE KATIKA...
      • NEYMAR ADHIHIRISHA URAFIKI WAKE NA MESSI UNGALIPO
      • BENZEMA ATUA NEW YORK KUPUMZISHA AKILI BAADA YA KU...
      • LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI IKIITANDIKA 5-2 TUNISIA
      • CHICHARITO AIFUNGIA LA USHINDI MEXICO IKIILAZA 2-1...
      • England vs Australia: Fifth ODI Preview
      • Group H: Poland vs Colombia - soccer world cup pre...
      • Group H: Japan vs Senegal - soccer world cup Preview
      • Group G: England vs Panama - soccer world cup Preview
      • AHMED MUSA AFUFUA MATUMAINI YA NIGERIA KOMBE LA DUNIA
      • MTIBWA SUGAR YAMSAJILI NYOTA WA KAGERA SUGAR MIAKA...
      • MABAO YA DAKIKA ZA MAJERUHI YAIINUA BRAZIL, YAICHA...
      • Brazil Send Costa Rica out of world cup
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » ROONEY AJA WASHINGTON KUSAINI MKATABA NA DC UNITED KUMALIZIA SOKA YAKE

ROONEY AJA WASHINGTON KUSAINI MKATABA NA DC UNITED KUMALIZIA SOKA YAKE

Na Mahmoud Zubeiry, WASHINGTON
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney anatarajiwa kuwasili mjini Washington leo kusaini mkataba wa kujiunga na D.C. United mwishoni mwa wiki.
Rooney ameposti picha akiwa kwenye ndege sambamba na maelezo; “Nakwenda Marekani” na tayari kuna taarifa kwamba anaondoka klabu yake ya Ligi Kuu ya England, Everton kuja kujiunga na timu ya Ligi Kuu ya Marekani dirisha la usajili litakapofunguliwa Julai 10.
Gazeti la Washington Post limesema kwamba Rooney mwenye umri wa miaka 32 atakuwa mchezaji ghali zaidi atakaposaini mkataba wa miaka miwili na nusu ambao atalipwa dola za Kimarekani Milioni 13.
Rooney anaweza kuanza mazoezi na timu yake mpya mwishoni mwa wiki hii, kwa mujibu wa gazeti la Post, ambalo limeripoti pia kwamba tayari amepatiwa kibali cha kuishi na kufanya kazi Marekani na anatarajiwa kucheza mechi ya kwanza Uwanja mpya wa Audi Field Julai 14 dhidi ya Vancouver Whitecaps.

Wayne Rooney akiwa kwenye ndege kwa safar ya Washington kuja kujiunga na D.C. United  

D.C. United inahitaji msaada, kwani kwa sasa inashika mkia kwenye Ligi ya MLS Kanda ya Mashariki ikiwa imekusanya pointi 10 tu katika mechi 12 na kocha Ben Olsen amesema Rooney anaweza kuwasaidia kupanda.
Msimu uliopita Rooney alichezea klabu yake iliyomuibua utotoni, Everton akitokea Man United alikoondoka katikati ya mwaka 2017 na kuifungia Toffees mabao 11 katika mechi 40 za mashindano ikimaliza nafasi ya nane Ligi Kuu.
Rooney amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake Everton, lakini klabu hiyo imeshindwa kupambana na msimamo wa mfungaji huyo wa kihistoria wa mabao wa timu ya taifa ya England kuhamia Marekani.
Rooney alisaini Man United mwaka 2004, akitokea Everton kijana mdogo wa umri wa miaka 18 kwa dau la Pauni Milioni 25.6 na kwenda kuifungia klabu hiyo jumla ya mabao 253 katika mechi 559 Uwanja wa Old Trafford, akishinda mataji matano ya Ligi Kuu ya England.
Rooney, anayeshika nafasi ya tano katika orodha ya wachezaji waliocheza mechi nyingi Man United kihistoria, pia ameshinda mataji ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Europa League, Kombe la FA na Kombe la Ligi mara tatu katika miaka yake 13 ya kuwatumikia Mashetani hao Wekunfu.
Rooney amestaafu timu ya taifa ya England, ijulikanayo kama ‘Simba Watatu’ akiwa ameichezea mechi 119 na kuifungia 53.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2yQ2GLv best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ROONEY AJA WASHINGTON KUSAINI MKATABA NA DC UNITED KUMALIZIA SOKA YAKE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/06/rooney-aja-washington-kusaini-mkataba.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 06.26
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
Copyright Viral Sports: ROONEY AJA WASHINGTON KUSAINI MKATABA NA DC UNITED KUMALIZIA SOKA YAKE