UJERUMANI imevuliwa ubingwa wa dunia baada ya kufungwa mabao 2-0 na Korea Kusini leo katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia Uwanja wa Kazan Arena nchini Urusi.
Mabao yaliyoizamisha Ujerumani waliobeba taji hilo mwaka 2014 nchini Brazil kwa kuifunga Argentina 1-0 katika fainali yamefungwa na Kim Young-Gwon dakika ya 90 (ongeza mbili za majeruhi) na Son Heung-Min dakika ya 90 ( (ongeza sita za majeruhi).
Ujerumani inatolewa mashindanoni baada ya kuambulia pointi tatu tu kutokana na ushindi wa 2-1 dhidi ya Saudi Arabia na kupoteza mechi mbili, kwani kabla ya leo walifungwa 1-0 na Mexico inayoungana na Sweden kwenda hatua ya 16 Bora.
Korea Kusini pamoja na ushindi wa leo imeaga pia mashindano, kwani imemaliza na pointi tatu sawa na Ujerumani ya kocha Joachim Low .
Hii ni mara ya kwanza ndani ya miaka 80 kwa Ujeruman kutolewa katika hatua ya makundi ya kombe la Dunia.
Timo Werner wa Ujerumani akisikitika baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kuwafunga Korea Kusini
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2yKaEFP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms