Na Nasra Omary, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya KMC umetangaza kuachana rasmi na kiungo wake, Abdulhalim Humud 'Gaucho' kufuatia malalamiko ya kudaiwa kutaka kutembea na wake pamoja na mahawara wa wachezaji wenzake.
Humud alipeleka barua ya kutaka kuachana na timu hiyo iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu msimu, kabla ya uongozi kutangaza kuachana naye.
Akizungumza na waandishi wa habari Leo, Meneja wa KMC, Walter Harison amesema kuwa Humud aliwasilisha barua hiyo ikiwa ni muda mfupi kupita tangu asimamishwe kuitumikia timu hiyo kutokana na makosa ya kinidhamu.
Abdulhalim Humud 'Gaucho' ameondolewa KMC kwa makosa ya kutongoza na wake na wapenzi wa wachezaji wenzake
Makosa hayo ni pamoja kuacha vifaa vya michezo jijini Dar es Salaam wakati KMC ikienda kucheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union mjini Tanga, lakini pia kuwasumbua wake na wapenzi wa wachezaji wenzake ndani ya nje ya KMC.
“Kama viongozi baada ya kupata malalamiko, tukazungumza naye, akakiri kufanya kosa na akaomba radhi, akasimamishwa katika timu, Lakini kabla ya kupewa tamko jingine, yeye akatuma barua ya kuomba kuachana na timu na mwalimu akapitisha uamuzi wa mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa,” alisema Walter.
Humud ambaye hapo awali aliwahi kuzitumikia Simba SC, Coastal Union na Azam FC, alijiunga na KMC mwanzoni mwa msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2RG8MCE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms