Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MWANAMAMA wa Kitanzania, Lina Kessy (pichani kulia) ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kusimamia mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa Wanawake nchini Ghana.
Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Mario Ndimbo amesema kwamba Lina atakuwa Kamisaa wa mchezo huo wa Fainali utakaochezwa kesho Disemba 1, 2018 utakaowakutanisha Nigeria dhidi ya Afrika Kusini.
Mchezo huo namba 16 utachezwa Accra Sports mjini Accra kuanzia Saa 10:00 jioni na itachezeshwa na mwamuzi kutoka Zambia Glady Lengwe atakayesaidiwa na Mwamuzi msaidizi namba 1 kutoka Madagascar Lidwine Rakotozafinoro, Mwamuzi msaidizi namba 2 Bernadettar Kwimbira kutoka Malawi na Mwamuzi wa akiba Fatou Thioune.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunamtakia kila la heri Lina Kessy tunaamini uwezo wake wa kusimamia michezo mikubwa kama huo wa Fainali ya Afrika kwa Wanawake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2zwW5TY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms