• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ▼  November (450)
      • DEONTAY WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA 'KAVU...
      • MECHI ZA USIKU ZA LIGI KUU YA BARA ZARUHUSIWA KUCH...
      • SIMBA SC YAONDOKA KESHO KUIFUATA MBABANE SWALLOWS ...
      • Flamingo Park Monday 3 December 2018 Best Bets
      • MAHAKAMA YAMREJESHA MADARAKANI WAMBURA TFF BAADA Y...
      • Pakistan vs New Zealand: Second Test Preview
      • Predict & Win: Arsenal vs Tottenham (T's & C's)
      • EPL: Five things to look out for this weekend
      • BEKI MUIVORY COAST, ZANA COULIBALY OUMAR ALIPOFANY...
      • AFISA WA TANZANIA, LINA KESSY ATEULIWA KUSIMAMIA F...
      • YANGA SC 3-0 JKT TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
      • ARSENAL YASHINDA 3-0 UGENINI NA KUFUZU HATUA YA MT...
      • GIROUD AFUNGA MABAO MAWILI CHELSEA YASHINDA 4-0 EU...
      • AKINA SAMATTA WATOA SARE 2-2 UGENINI YA EUROPA LEA...
      • YANGA SC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIG...
      • Gallagher Premiership Round 9 Preview
      • Heat for Highveld Clash with Stars
      • UCHAGUZI MDOGO WA BARAZA KUU BODI YA LIGI KUFANYIK...
      • HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA ...
      • MECHI ZOTE ZA LIGI KUU ZINAZOFANYIKA UWANJA WA TAI...
      • Rocks Claim Bonus Point Spoils in Rain Affected Clash
      • Crockett to Captain Bok-heavy Barbarians
      • SIMBA SC 4-1 MBABANE SWALLOWS (LIGI YA MABINGWA AF...
      • WAWAKILISHI WOTE WA ZANZIBAR TAABANI MICHUANO YA A...
      • SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAI...
      • MESSI AIPELEKA BARCELONA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ...
      • NEYMAR AWATEKETEZA LIVERPOOL PARC DES PRINCES, WAF...
      • SIMBA SC YATOA ONYO AFRIKA, YAITANDIKA MBABANE SWA...
      • English Premier League: Week 14 Preview
      • Sun Met 2019 - Ante-Post Betting
      • Scottsville Sunday 2 December 2018 Best Bets
      • French Ligue 1: Week 15 Preview
      • Italian Serie A: Week 14 Preview
      • Turffontein Saturday 1 December 2018 Best Bets
      • Kenilworth Best Bets Saturday 1 December 2018
      • German Bundesliga: Week 13 Preview
      • English Premier League: Arsenal vs Tottenham Preview
      • Banyana Banyana off to 2019 FIFA Women’s World Cup
      • Angus Gardner Admits He Got Owen Farrell Call Wrong
      • Kaizer Chiefs v Zimamoto Preview
      • Orlando Pirates v Light Stars Preview
      • Greyville Friday 30 November 2018 Best Bets
      • Spanish La Liga: Week 14 Preview
      • PETRONILA SIRINYA WA GOBA AWA MWANAMKE WA TATU TU ...
      • French Top 14: Round 11 Preview
      • Pro 14: Round 10 Preview
      • JKU WATANDIKWA 4-0 NA AL HILAL SUDAN LIGI YA MABIN...
      • European Tour: Mauritius Open Preview
      • South African PSL Wrap - 27 November 2018
      • PGA Tour: Hero World Challenge Preview
      • Morkel to Undergo Late Fitness Test Ahead of Rocks...
      • Historic Boxing Day Test a Month Away for Centurion
      • BOMU LALIPULIWA UWANJANI MECHI YA LIGI YA MABINGWA...
      • MTIBWA SUGAR 4-0 NORTHEN DYNAMO (KOMBE LA SHIRIKIS...
      • BALE AFUNGA REAL MADRID YAICHAPA AS ROMA 2-0 ITALIA
      • ROBBEN NA LEWANDOWSKI KILA MMOJA APIGA MBILI BAYER...
      • RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA BAO PEKEE JUVE...
      • AGUERO AINUSURU MAN CITY KUCHAPWA NA LYON UFARANSA...
      • FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABIN...
      • MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHU...
      • MTIBWA SUGAR YAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWA...
      • R1 Million Soccer Campaign Facebook Promotion - Te...
      • Fairview Friday 30 November 2018 Best Bets
      • Vaal Thursday 29 November 2018 Best Bets
      • Kenilworth Best Bets Wednesday 28 November 2018
      • 13 Springboks in Barbarians Squad
      • KIINGILIO RAHISI ZAIDI MECHI YA SIMBA NA MBABANE S...
      • MAN UNITED WAKIJIANDAA NA MECHI YA LAZIMA KUSHINDA...
      • COASTAL UNION YAMREJESHA BEKI WAKE WA ZAMANI WA KU...
      • Vaal Tuesday 27 November 2018 Best Bets
      • HSBC Sevens 2018/19: Dubai Sevens Preview
      • Mzansi Super League: 27 & 28 November Preview
      • 5 Talking Points from the Sporting Weekend
      • KUZIONA MTIBWA SUGAR NA NORTHEN DYNAMO SH. 2,000 T...
      • REFAWA KIKE WA TANZANIA, JONESYA RUKYAA KUCHEZESHA...
      • Weekend Soccer Results - 23 - 25 November 2018
      • Hope is Power
      • Aphiwe Dyantyi Wins World Rugby Breakthrough Playe...
      • Jonathan Sexton wins World Player of the Year award
      • Flamingo Park Monday 26 November 2018 Best Bets
      • MAHOJIANO MAALUM YA BIN ZUBEIRY NA MOHAMMED RISHAR...
      • RAJA CASABLANCA YAITANDIKA AS VITA 3-0 FAINALI YA ...
      • MSUVA AIFUNGIA BAO LA KUONGOZA DIFAA HASSAN EL – J...
      • MAHOJIANO MAALUM YA BIN ZUBEIRY NA MOHAMMED ABUBAK...
      • KAGERA SUGAR 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • AUBAMEYANG AFUNGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA BOUR...
      • YANGA SC YAENDELEA KUKUSANYA POINTI MIKOANI, YAIPI...
      • DEMBELE ALIVYOINUSURU BARCELONA JANA KUCHAPWA NA A...
      • YALIYOIKUTA CHELSEA WEMBLEY VIGUMU KUAMINI, WAMEPI...
      • HIKI NDICHO KIKOSI CHA UBINGWA MTIBWA SUGAR LIGI K...
      • AKINA SAMATTA WACHAPWA 2-1 NA TIMU YA MDOGO WAKE H...
      • AKINA SAMATTA WACHAPWA 2-1 NA TIMU YA MDOGO WAKE H...
      • SALAH AFUNGUA BIASHARA NZURI LIVERPOOL YASHINDA 3-...
      • SANE AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 4-0
      • BAO LA LUKAKU LAKATALIWA MAN UNITED YATOA SARE 0-0...
      • KOCHA MPYA REAL MADRID ALA KICHAPO CHA KWANZA, API...
      • KATABARO AJITOA KUGOMBEA UONGOZI YANGA UCHAGUZI WA...
      • SIMBA SC 0-0 LIPULI FC (LIGI KUU TZ BARA)
      • Greyville Sunday 25 November 2018 Best Bets
      • Giants Get one Over the Durban Heat in PE
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC

MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Azam FC imewatoa kwa mkopo wachezaji wake wanne, akiwemo mshambuliaji Mbaraka Yussuf Abeid aliyesajiliwa kwa msimu uliopita kutoka Kagera Sugar ya Bukoba.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema kwamba Mbaraka Yussuf maarufu kwa jina la utani ‘Boban’ pamoja na Oscar Masai kwa pamoja wamepelekwa klabu ya Namungo FC ya Lindi inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.
Aidha, Maganga amesema washambuliaji wengine, waliosajiliwa msimu uliopita pia, Waziri Junior kutoka Toto Africans ya Mwanza yeye amepelekwa kwa mkopo Biashara United ya Mara na Ditram Nchimbi aliyesajiliwa kutoka Njombe Mji FC amepelekwa Mwadui FC.

Mbaraka Yussuf (kushoto) amepelekwa kwa mkopo Namungo FC ya Daraja kwa Kwanza

Wakati huo huo kiungo wa timu hiyo Joseph Mahundi aliyesajiliwa misimu miwili iliyopita kutoka Mbeya City, ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo. 
Wakati huo huo; kikosi cha Azam FC, kimeshaanza rasmi mazoezi leo tayari kuanza safari ya kuzisaka pointi kuelekea mchezo ujao dhidi ya Stand United.
Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utafanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex Desemba 4 mwaka huu, ambapo Azam FC iko kwenye mwenendo mzuri baada ya kushinda mechi saba mfululizo za ligi hiyo.
Wachezaji wote wa Azam FC wameripoti mazoezini wakiwa na hali nzuri kabisa isipokuwa kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’, ambaye ni mgonjwa.
Beki wa kulia Nickolas Wadada, aliyekuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Uganda, naye amesharejea kundini akiwa ni miongoni mwa wachezaji walioripoti kwenye mazoezi hayo.
Kikosi cha Azam FC kinatarajia kuendelea na mazoezi kwa wiki hii yote, Jumamosi hii asubuhi kikitarajia kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya vijana ya timu hiyo (Azam U-20) kwa ajili ya kujiweka sawa.
Azam FC hadi sasa imeshacheza mechi 13 za ligi, ikiwa imesdhinda mara 10 na kutoka sare mara tatu ikijikusanyia jumla ya pointi 33 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2SeKW0X best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/11/mbaraka-yussuf-apelekwa-kwa-mkopo.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 19.47
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC