Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA mpya wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck ameahidi kuipa klabu hiyo mafanikio makubwa kisoka kwa kushinda nyumbani na kufanya vyema kwenye michuano ya Afrika.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam, Vandenbroeck alisema kwamba amevutiwa na Simba SC kutokana na mashabiki wake weng.
"Kilichonivutia Simba cha kwanza ni uwingi wa mashabiki. Ni jambo la kufurahisha kuona mashabiki 60,000 wakikushangilia inakupa hisia za kipekee,” amesema Vanderbroeck na kuongeza; “Lengo la kwanza ni kushinda ubingwa wa Ligi Kuu. Nataka kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika, nataka kucheza mashindano ya CAF. Nataka Simba iwe kwenye hatua kubwa na kupata matokeo mazuri,” amesema.
“Lengo la kwanza ni kushinda ubingwa wa Ligi Kuu. Nataka kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika, nataka kucheza mashindano ya CAF. Nataka Simba iwe kwenye hatua kubwa na kupata matokeo mazuri,
Vanderbroeck, mwenye umri wa miaka 40 amekuja kujiunga na Simba SC baada ya kuachana na timu ya taifa ya Zambia na atakuwa anasaidiwa na kiungo na Nahodha wa zamani wa klabu hyo Suleiman Matola.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2rwSfcT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms