NYOTA wa Manchester City, Kevin De Bruyne ameshinda tuzo ya kwanza kabisa ya Mchezaji Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) usiku wa jana.
Mbelgiji huyo amefikia rekodi ya Mfaransa Thierry Henry katika Ligi Kuu ya England, kutoa pasi za mabao 20 kwa msimu mmoja, Man City ikimaliza nafasi ya pili nyuma ya mabingwa, Liverpool.
De Bruyne amemshinda mchezaji mwenzake, Raheem Sterling, ambaye amekuwa mchezaji wa kwanza wa Man City kumaliza msimu na mabao mengi zaidi ya Sergio Aguero tangu Muargentina huyo asajiliwe mwaka 2011.
Kevin De Bruyne ameshinda tuzo ya kwanza kabisa ya Mchezaji Bora wa PFA usiku wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nyota wanne wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold – aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa PFA – Jordan Henderson, Virgil Van Dijk na Sadio Mane pa waliingia fainali.
Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool ameingiza wachezaji watano kwenye kikosi cha Msimu cha PFA, Manchester City na Leicester City zikiingiza wawili kila timu – wakati wengine ni Nick Pope na Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3hcUxBB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KEVIN DE BRUYNE AWAANGUSHA STERLNG NA VAN DIJK TUZO YA PFA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/09/kevin-de-bruyne-awaangusha-sterlng-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.