• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ▼  September (394)
      • REAL MADRID YAICHAPA REAL VALLADOLID 1-0 BAO PEKEE...
      • STERLING APIGA MBILI MAN CTY YAUA 3-0 NA KWENDA RO...
      • MAN UNITED YAITWANGA BRIGHTON 3-0 NA KUTINGA ROBO ...
      • YANGA SC 2-0 KMKM (MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI)
      • YANGA SC IMEIPIGA KMKM 2-0 CHAMAZI LEO MABAO YOTE ...
      • THOMAS ULIMWENGU ANAVYOFURAHIA MAISHA NA WACHEZAJI...
      • BOSI WA WAAMUZI AKIWPA DARASA MAREFA WA LIGI DARAJ...
      • AZAM FC WAKIJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA MCHEZO DH...
      • SIMBA SC ILIVYOGAWA KADI KWA MASHABIKI WAKE LEO JI...
      • International Racing: Sha Tin - 1 October 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Thursday 1 Oc...
      • International Racing: Thursday 1 October 2020 – Wyong
      • Vaal Best Bets - Thursday 1 October 2020
      • You Could Win a Share of R300 000 in Grocery Vouchers
      • PSL Presser: 7 Key Things Dr Ivrin Khoza Mentioned
      • English Premier League: Week 4 Preview
      • REPORT: Pitso Mosimane off to Al Ahly?
      • English Premier League: Manchester United vs Totte...
      • European Tour: Scottish Open Preview
      • PGA Tour - Sanderson Farms Championship Preview
      • SPURS YATINGA ROBO FAINALI CARABAO CUP BAADA YA KU...
      • BEKI MKALI WA MABAO, LAMINE MORO AONGEZA MKATABA W...
      • RAIS WA TFF, WALLACE KARIA AWAONYESHA ENEO LA KIGA...
      • International Racing: Wednesday 30 September 2020 ...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Wednesday 30 S...
      • Themba Zwane Crowned SAFJA Men's Footballer of the...
      • Neil Morrice: International Racing - Wednesday 30 ...
      • This Week's Lucky Numbers (29/09/2020)
      • The New Pirates Kit Causes a Stir
      • IPL Preview: 30 September - 2 October
      • French Open Women - Round Two Preview
      • French Open Men - Second Round Preview
      • LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA ARSENAL 3-1 ANF...
      • ALGERIA KUMENYANA NA NIGERIA KATIKA MCHEZO WA KIRA...
      • KOCHA MRENO PACHECO AREJEA KUINOA TENA ZAMALEK YA ...
      • TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI O...
      • International Racing: Tuesday 29 September 2020 – ...
      • SAFJA Announces First-Ever Men's Footballer of the...
      • Betgames Africa Big Wins
      • R10 Stake Promises A New Car!
      • Neil Morrice: International Racing - Tuesday 29 Se...
      • European Wrap: Champions Cup semi-finals
      • TAYLOR AMMALIZA KHONGSONG KWA KO NDANI YA SEKUNDE 161
      • NI MIAMI HEAT NA LOS ANGELES LAKERS FAINALI NBA 2020
      • RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YALAZIMISHA SARE NA...
      • Looking back: Superfan Saturday
      • Gallagher Premiership Round 21 Preview
      • Vaal Best Bets - Tuesday 29 September 2020
      • SAMATTA AINGIA KIPINDI CHA PILI FENERBAHCE YALAZIM...
      • MTIBWA SUGAR 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • BAYERN MUNCH YAFUMULIWA 4-1 NA HOFFENHEIM BUNDESLIGA
      • ANSU FATI APIGA MBILI, MESSI MOJA BARCELONA YASHIN...
      • JAMIE VARDY APIGA HAT TRICK LEICESTER YAITANDIKA M...
      • YANGA SC WAENDELEZA USHINDI WA 1-0 LIGI KUU, WAICH...
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Monday 28 September 2020
      • RAMOS APIGA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA REAL BE...
      • SIMBA SC 3-0 GWAMBINA FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • MEDDIE KAGERE, WAWA NA MUGALU WOTE WAFUNGA SIMBA S...
      • FERNANDES AFUNGA KWA PENALTI DAKIKA YA 99 MAN UNIT...
      • PRINCE DUBE AFUNGA DAKIKA YA MWISHO AZAM YAICHAPA ...
      • SAMATTA MAZOEZINI NA KLABU YAKE MPYA, FENERBAHCE K...
      • First time winner bags R250 000
      • Lucky winner strikes again!
      • Sports Crush Saturday - Lionel Messi
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Sunday 27 September 2020
      • YANGA SC WALIVYOWASILI MOROGORO LEO KWA AJILI YA M...
      • ANAYESEMA SAMATTA AMEFELI, SOKA IENDELEE KUWA MCHE...
      • International Racing: Australia - 26 September 2020
      • MHILU AIPAA USHINDI WA KWANZA KAGERA SUGAR LIGI KU...
      • Fairview Best Bets & Tips - Monday 28 September 2020
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • Durbanville Best Bets - Saturday 26 September 2020
      • Turffontein Best Bets - Saturday 26 September 2020
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Saturday 26 September...
      • Stand a chance to win your share of R5000 with Ozo...
      • F1 2020: Russian Grand Prix Preview
      • South African Domestic Rugby: Super Fan Saturday P...
      • Opinion: Zimbabwe's tour to Pakistan takes on mass...
      • PSL announce DStv as new league sponsor
      • IPL Preview: 26 -29 September
      • International Racing: Australia - 25 September 2020
      • SAMATTA HAKUWEPO HATA BENCHI TENA NA JANA ASTON VI...
      • KINDA WA MIAKA 17 AIFUNGIA MAN CTY YAICHAPA BOURNE...
      • LIVERPOOL YAISHINDILIA LINCOLN 7-2 NA KUSONGA MBEL...
      • BAYERN MUNICH WAIGONGA SEVILLA 2-1 NA KUTWAA TAJI ...
      • MTENDAJI MKUU WA SIMBA SC, BARBARA GONZALEZ AFIKA ...
      • Neil Morrice: Dundalk & UK Racing - Friday 25 Sept...
      • KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI SUMBAWANGA LEO KW...
      • TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJ...
      • ALIYESHINDA SHILINGI MILIONI 267 ZA JACKPOT YA SPO...
      • Gauteng Summer Cup - 2020 Ante-Post Betting
      • KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 6-0 C...
      • ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 NA KUTINGA RAUNDI Y...
      • International Racing: Australia - 24 September 2020
      • Millionaire Made Across Multiple Draws
      • Fairview Best Bets & Tips - Friday 25 September 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Thursday 24 S...
      • Turffontein Best Bets - Thursday 24 September 2020
      • PODCAST: Pirates & Sundowns Dominating the Transfe...
      • PODCAST: Lampard Getting Sacked This Season?
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MO DEWJI, WAZIRI KIGWANGALLA, KILOMONI NA UWEKEZAJI SIMBA SC

MO DEWJI, WAZIRI KIGWANGALLA, KILOMONI NA UWEKEZAJI SIMBA SC

Na Luqman Maloto, DAR ES SALAAM
KWANZA, Kigwangalla na Kilomoni wote ni Hamis. Sema, Kigwangalla ni Hamis mwenye cheo. Waziri. Kilomoni ni Hamis veterani wa soka. Staa wa zamani wa Simba, aliyebeba zege kujenga jengo la klabu, Msimbazi, Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam. Kilomoni ni Simba sana.
Hamis wote; Kilomoni na Kigwangalla, katika nyakati tofauti wameibuka na hoja ya kuhoji uwekezaji Simba wa hisa asilimia 49 unaofanywa na bilionea MO Dewji. Uwekezaji wenye thamani ya Sh20 bilioni.
Hamis ambaye ni Simba sana, Kilomoni, alikuwa wa kwanza kutaka mchanganuo wa thamani ya klabu uwe wazi ili MO asiilalie klabu. Vilevile alitaka Sh20 bilioni za uwekezaji zitoke mapema.

Tangu lini maskini akawa na sauti mbele ya tajiri? Kilomoni akajikuta peke yake. Ile siku aliyotaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Kinondoni Block 41, akabebwa na polisi. Toka siku hiyo, Kilomoni kawa mkimya. Hahoji, haulizi.

Jana, Hamis Kigwangalla aliibuka mtandaoni, "twitani', akaanza kuhoji uwekezaji wa MO Simba. Kigwangalla anauliza mbona Sh20 bilioni hazijatoka?
Kilomoni alipohoji uwekezaji wa MO Simba, sababu iliyomuongoza ni mchakato na mazingira ya uwekezaji.
Kigwangalla anapohoji uwekezaji wa MO Simba, sababu inayomuongoza ni uteuzi wa Barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba.
Kilomoni alisukumwa na uwekezaji ndani ya Simba, akahoji uwekezaji, akafungua mpaka shauri mahakamani. Alionekana mpinga mabadiliko Simba. Ukweli ni kuwa Kilomoni alikuwa akipigania kile ambacho aliona ni haki ya Simba. Na si dhambi mtu kupigania anachokiamini.
Kigwangalla ameshitushwa na Simba kumteua Barbara kuwa CEO. Akahoji wasifu wake wa kitaaluma na uzoefu wa kazi (CV). Akaambatanisha na taarifa kuwa Barbara amekuwa msaidizi binafsi wa MO, vilevile mtendaji mkuu wa taasisi ya MO, inayoitwa MO Dewji Foundation.
Hivyo, Kigwangalla hakupata msukumo wa kuhoji uwekezaji wa MO Simba mpaka Barbara alipoteuliwa kuwa CEO wa klabu. Halafu, kipindi Kilomoni anahoji uwekezaji Simba, Kigwangalla alikuwa kimya.
Tena, zipo rekodi, Kigwangalla alikuwa mgeni rasmi kwenye matukio makubwa ya Simba. Utoaji wa tuzo za MO kwa wachezaji wa Simba, bila kusahau mechi ya Simba dhidi ya TP Mazembe. Je, Kigwangalla hakuwa na tatizo la uwekezaji wa MO Simba mpaka Barbara alipoteuliwa kuwa CEO?
Pengine kuna mtu alijiandaa kuuliza; Kigwangalla ana shida gani na Barbara? Mbona alikuwa mchungu aliposikia kateuliwa kuwa CEO?
Atakuwepo wa kushangaa; mbona huko nyuma Kigwangalla alionekana muunga mkono uwekezaji wa MO Simba na hata kushiriki matukio kama mgeni rasmi, lakini sasa kageuka?
Tweet ya MO, ikatanua goli. MO alionekana kuumizwa na tweet ya Kigwangalla, aliyeandika kuwa kuna siku atapigwa mawe kwa sababu anafanya ujanjaunja Simba. MO akasema sio vizuri binadamu kumuombea mwenzio apigwe mawe.
Mwishoni MO hakumaliza kiungwana, akasema: "Pia nisamehe, mkopo wa pikipiki ulioniomba haikuwezekana." Ukisoma maneno ya MO, unaona anajaribu kuufikishia umma wa Watanzania kuwa tatizo la Kigwangalla sio Barbara kupewa u-CEO, bali ni nongwa ya kunyimwa mkopo wa pikipiki.
Maneno hayo saba ya MO "Pia nisamehe, mkopo wa pikipiki ulioniomba haikuwezekana", yamesababisha Kigwangalla aijibu tweet ya MO mara tatu, akiambatanisha majibu tofauti.
Mosi, Kigwangalla pamoja na kumtaka MO aeleze kama ameshalipa Sh20 bilioni, aliandika: "Ningekuwa nilikuomba rushwa au msaada ningeona aibu, lakini kukopa, kila mtu anakopa. Hata wewe una mikopo."
Pili, Kigwangalla akaandika: "Nilikuomba unikopeshe pikipiki kwa mwezi mmoja tu ukashindwa pamoja na kujinasibu wewe ni bilionea. Kama ulishindwa kunikopesha pikipiki 25 kwa mwezi mmoja, utaweza kulipa Sh20 bilioni za Simba?"
Tatu, Kigwangalla akashusha lingine: "Ulivyo huna maadili ya biashara, mtu anakukopa faragha, unabanwa kwa hoja, unaingiza mashambulizi binafsi, unakwepesha na kumtangaza. Unataka na mimi niseme mambo yako binafsi hadharani? Au watu/benki waliokukopesha wakutangaze? Sema suu uone!"
Hizo tweets tatu, Kigwangalla amejibu tweet moja ya MO. Halafu Kigwangalla akatweet mkataba wa uwekezaji Simba, kutaka watu wajionee kwamba MO hatimizi vigezo vya uwekezaji.
MO; hakupaswa kutangaza kuwa Kigwangalla alimuomba mkopo. Yalikuwa mambo ya kibiashara na yanapaswa kubaki chini ya zulia la kibiashara.
Hapa nakubaliana na Kigwangalla kuwa MO hana maadili ya kibiashara. Nafahamu lengo la MO lilikuwa kutuambia kuwa Kigwangalla anamchukia kwa sababu alimnyima mkopo wa pikipiki. Je, ni maadili gani kutangaziana siri za kibiashara?
Kigwangalla; jibu la kwanza kuwa sio aibu kukopa kwani hata yeye MO ana mikopo, lilitosha kabisa. Kitendo cha Kigwangalla kuijibu tena na tena tweet moja ya MO, kilionesha kweli suala la pikipiki lilimuuma sana.
Kisaikolojia, majibu mengi ya Kigwangalla yanatuambia kuwa "anajihisi kuaibishwa na MO", kwa hiyo anapambana kuifuta aibu. Ndio maana kila jibu analotoa, anaona halitoshi, anaandika lingine na lingine.
Laiti Kigwangalla angepata utulivu kidogo tu, angebaini kuwa MO ndiye alijiabisha kuingiza suala la mkopo wa pikipiki katika sakata la uwekezaji Simba na uteuzi wa Barbara kuwa CEO.
Kwa hatua ya sasa, MO na Kigwangalla wote wamejichoresha. MO ameonekana ana "uchanga" mwingi. Tutaogopa kukopa kwake, maana hakawii kutangaza. Kigwangalla ameonesha ana kitu binafsi na MO ndio maana anampinga sasa.
Madaktari wana dawa ambazo huziita "truth serum". Hutumika kumpumbaza mtu ili aseme ukweli aliokusudia kuuficha. Uteuzi wa Barbara umekuwa ni truth serum katikati ya MO na Kigwangalla. Hatimaye wamecheua nongwa na vinyongo vyao. Tumejua.
Kigwangalla naye ni Simba. Kuna mtu aliniuliza, kwani akina Hamis wa Simba wana tatizo gani na MO? Nikamjibu mbona MwanaFA naye ni Hamis wa Simba lakini hana tatizo na MO?
Mwingine akasema Hamis Kingwangalla ni HK na Hamis Kilomoni ni HK. Je, ma-HK wa Simba wana nongwa gani na MO? Nikamjibu, hata Hamis Kisiwa, Mkurugenzi wa Wanachama Simba naye ni HK, lakini hana noma na MO.
Mtoto wangu akauliza, je, Barbara anaiweza kazi? Nikamjibu, kama Barbara anazodolewa kwa uanamke wake ni dhambi kubwa ya kijinsia ambayo inafanyika. Hakuna aliyeweza kazi bila kukabidhiwa kazi na kupewa nafasi huru ya kuitenda kazi.
Mashabiki wa Simba kulaumu Barbara kuwa CEO kwa kuitukuza CV ya Senzo aliyedakwa na Yanga ni kudhihirisha kuwa Yanga wamewapiga panapouma.
Waliomwajiri Senzo kwa kusoma CV yake, ndio waliomwajiri Barbara baada ya kukaa naye na kuona uwezo wake. Kama walikuwa sahihi kwa Senzo kwa nini tusiamini wapo sahihi kwa Barbara?
Usimponde mtu usiyeujua uwezo wake. Angalau Barbara amekuwepo kwenye michakato yote ya mabadililo ya Simba, anajua ilipotoka, ilipo na inapotakiwa kwenda.
Wapo wanaoponda kuwa Barbara hana wasifu mkubwa katika uongozi wa soka. Sheikh, Barbara ni CEO wa kampuni, sio mkurugenzi wa ufundi wa timu. Yeye aachwe ajenge utawala na biashara za timu, ufundi utashughulikiwa na mafundi.
(Makala hii imeandikwa na Luqman Maloto, anayepatikana kwa kwenye mitandao yote ya kijamii kama @luqmanmaloto)


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3jRYihz best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MO DEWJI, WAZIRI KIGWANGALLA, KILOMONI NA UWEKEZAJI SIMBA SC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/09/mo-dewji-waziri-kigwangalla-kilomoni-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 07.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
Copyright Viral Sports: MO DEWJI, WAZIRI KIGWANGALLA, KILOMONI NA UWEKEZAJI SIMBA SC