• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ▼  Januari (383)
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Monday 1 Febru...
      • SIMBA SC WATWAA KOMBE LA KWANZA 2021 BAADA YA KUTO...
      • Neil Morrice: International Racing- Monday 1 Febru...
      • Australian Racing: Monday 1 February 2021-Newcastle
      • CAMEROON NA MALI ZATINGA NUSU FAINALI CHAN, KONGO ...
      • ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA MAN UNITED EMI...
      • MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 1-0 NA KUZIDI KUPAA KI...
      • MO DEWJI: DHAMIRA YETU NI KUTWAA TENA UBINGWA WA L...
      • Cape Town Met: Punters' Challenge Winners
      • KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Fisto...
      • SIMBA SC KUMENYANA NA DODOMA JIJI FEBRUARI 2 JAMHU...
      • PRINCE DUBE MPUMELELO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA...
      • Cape Town Met: Race Results
      • CAS YAMREJESHA AHMAD MADARAKANI KWA MUDA KAMA RAIS...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA CHARLES BONIFACE M...
      • IBRAH CLASS ATWAA TAJI LA WBF BAADA YA KUMDUNDA MM...
      • Hollywoodbets Scottsville Best Bets - Sunday 31 Ja...
      • Neil Morrice: International Racing-Saturday 30 Jan...
      • MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC, FISTON ABDUL RAZAK ALIV...
      • AL HILAL YAZINDUKA NA KUICHAPA TP MAZEMBE 2-1 DAR ...
      • Australian Racing: 30 & 31 January 2021
      • Winning Form Punters' Challenge Tips: Hollywoodbet...
      • Winning Form Punters' Challenge Tips: Hollywoodbet...
      • Winning Form Punters' Challenge Tips: Hollywoodbet...
      • International Racing: Sha Tin-31 January 2021
      • International Racing: Kranji 30 January 2021
      • MBWANA SAMATTA NA MCHEZAJI MWENZAKE MPYA, OZIL WAK...
      • CARLOS CARLINHOS ANAVYOREJEA YANGA SC KAMA MPYA KU...
      • NYOTA WAWILI CHIPUKIZI WA TANZANIA WAENDA NCHINI T...
      • Turffontein Best Bets - Saturday 30 January 2021
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 30 January 2021
      • LIVERPOOL YAIPIGA SPURS 3-1 NA KUFUFUA MATUMAINI Y...
      • Dundalk Racing Tips-Friday 31 January
      • Australian Racing:Friday 29 January 2021 – Canterb...
      • Neil Morrice: International Racing - Friday 29 Jan...
      • Fairview Best Bets & Tips - Friday 29 January 2021
      • Currie Cup: Final Preview
      • Pro14 Saturday 30 January Weekend Preview
      • Gallagher Premiership Round 7 Preview
      • SIMBA SC 4-1 AL HILAL (SIMBA SUPER CUP)
      • MANCHESTER UNITED YACHAPWA 2-1 NA SHEFFIELD UNITED...
      • TAIFA STARS YATOLEWA CHAN BAADA YA SARE YA 2-2 NA ...
      • TFF YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KUKUZA MIUND...
      • AFISA HABARI WA YANGA SC, HASSAN BUMBULI AFUNGIWA ...
      • RAIS WA TFF, WALLACE KARIA APITISHWA KUGOMBEA UJUM...
      • YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMB...
      • MORRISON ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA MABAO MAWILI SIM...
      • Australian Racing:Thursday 28 January-Eagle Farm
      • Neil Morrice: International Racing - Thursday 28 J...
      • Winning Form - Cape Town Met Promotion
      • RWANDA YATINGA ROBO FAINALI CHAN, UGANDA YAKIONA C...
      • ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA SOUTHAMPTON 3-1
      • MAN CITY YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUPIGA ...
      • IBRAHIMOVIC AGOMBANA NA LUKAKU, ATOLEWA KWA KADI N...
      • Vaal Best Bets - Thursday 28 January 2021
      • English Premier League: Gameweek 21 Preview
      • German Bundesliga: Gameweek 19 Preview
      • Cape Town Met: 15% Deposit Bonus
      • Spanish La Liga: Gameweek 21 Preview
      • 2020/2021 PGA Tour: Farmers Insurance Open
      • Italian Serie A: Week 20 Preview
      • 2021 European Tour: Omega Dubai Desert Classic
      • DStv Premiership: Gameweek 14 Preview
      • Orlando Pirates vs Kaizer Chiefs Preview
      • KUBRAT PULEV ALIYEPIGWA NA ANTHONY JOSHUA AWASILI ...
      • Australian Racing: Wednesday 27 January-Gosford
      • Neil Morrice: UK Best Bets-Wednesday 27 January
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets - Wednesday 27 J...
      • R10 Million - Are You A Met Winner?
      • KONGO ZOTE ZATINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA CHA...
      • SIMBA SC YASAJILI BEKI MPYA MZIMBABWE PETER MADUHW...
      • This Week's Lucky Numbers (26/01/2021)
      • Running Brave: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Princess Calla: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Queen Supreme: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Silver Operator: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Golden Ducat: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Sovereign Spirit: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • African Night Sky: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Cirillo - Cape Town Met Horse Profile
      • Belgarion: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Do It Again: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • Rainbow Bridge: 2021 Cape Town Met Horse Profile
      • IHEFU SC YAMSAJILI KIUNGO WA ZAMANI WA YANGA SC, R...
      • MSHAMBULIAJI MNIGERIA JUNIOR LOKOSA ASAINI MKATABA...
      • EPL Midweek Fixtures: Gameweek 20 Preview
      • SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO FENERBAHCE YASHIND...
      • BEKI ERASTO NYONI AREJESHWA NYUMBANI KUTOKA KAMBI ...
      • YANGA SC YAMTANGAZA MCHEZAJI WAKE WA ZAMANI NIZAR ...
      • TANZANIA YAPANGWA KUNDI B AFCON U20 PAMOJA NA GAMB...
      • Australian Racing: Tuesday 26 January-Warwick Farm
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Tuesday 26 January 2021
      • Happy Valley: Best Bets and Tips - 27 January
      • Vaal Best Bets - Tuesday 26 January 2021
      • MSHAMBULIAJI MGHANA WA YANGA SC, MICHAEL SARPONG A...
      • TRESSOR MPUTU NA THOMAS ULIMWENGU WAJA DAR KUSHIRI...
      • REFA MMOJA TU WA TANZANIA, TENA MSAIDIZI ATEULIWA ...
      • TAIFA STARS WAKIJIFUA KUJIANDAA KUIVAA GUINEA MECH...
      • KIUNGO MKONGO WA YAMGA SC, MUKOKO TONOMBE ATOA MIS...
      • Weekend Rugby Wrap
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » KUBRAT PULEV ALIYEPIGWA NA ANTHONY JOSHUA AWASILI NCHINI KUMSAPOTI MDOGO WAKE ANAPIGANA IJUMAA DAR

KUBRAT PULEV ALIYEPIGWA NA ANTHONY JOSHUA AWASILI NCHINI KUMSAPOTI MDOGO WAKE ANAPIGANA IJUMAA DAR

BONDIA nyota wa uzito wa juu duniani, Mbulgaria Kubrat Pulev amewasili Dar es Salaam leo kumsaidia mdogo wake,Tervel Pulev ambaye Ijumaa atakuwa anapigana nchini.
Kubrat aliyepigwa kwa Techunical Knockout (TKO) na Muingereza, Anthony Joshua mwishoni mwa kwaka jana alikuwa mwenye furaha wakati anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema kuwa itatumia mapambano ya 'Rumble in Dar' kuutangaza utalii wa nchi.


Siku hiyo pambano kuu ni kati ya Mtanzania, Ibrahim Mgendera 'Ibrah Class' na Mmalawi anayeishi Afrika Kusini, Dennis Mwale kuwania taji la Mabara la WBF uzito wa Super Feather.
Mapambano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya Jackson Group Sports yatafanyika ukumbi wa Next Door Arena, Masaki Jijini Dar es Salaam na kuonyeshwa nchi zaidi ya 150 duniani kupitia Azam Sports 1 HD.  
Siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine nane yalishirikisha mabondia mbalimbali ikiwa pamoja na Tervel Pulev atakayepigana na Vikapita Merero wa Namibia uzito wa Cruiser.
Mkurugenzi wa Masoko wa TTB, Mindi Kasiga amesema leo kwamba watatumia fursa hiyo kuutangaza utalii wa nchi kwani mapambano ya ngumi hayo yataonekana nchi nyingi.
“Hii ni fursa kwetu kuutangaza utalii na kuingia kusapoti Jackson Group Sports,” aliema Kasiga.
Mbali ya TTB, pambano hilo limedhaminiwa na benki ya CRDB ambapo meneja wa chapa, Joe Bendera alisema kuwa wanazidi kuendeleza michezo nchini kwani walidhamini pia mpira wa kikapu, kuandaa marathoni na kutoa fursa ya masomo kwa vijana 26 kupitia mpira wa kikapu.
Kwa upande wake, Afisa Mtendaji Mkuu wa Global Boxing Stars (GBS), Scott Farrell alisema kuwa wamevutiwa na kampuni ya Jackson Group Sports na kuamua kufanya nao kazi pamoja kuinua mhezo wa ngumi za kulipwa.
Alisema kuwa  lengo lao ni kuinua vipaji vya mchezo huo hapa nchini. Mbali ya wadhamini hao, wadhamini wengine ni Azam TV, Onomo Hotel, Precision Air, Vitasa, Bono 5, Hotel Demag na Henessy.
Mkurugenzi Mtendaji a Jackson Group Sports, Kelvin Twissa alisema kuwa maandalizi ya pambano hilo yamekamilika na mabondia wote wamewasili kwa ajili ya kuzichapa Ijumaa.
Twissa alisema kuwa kila bondia ana ari kubwa ya kushinda katika pambano hilo.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3sY31nd best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KUBRAT PULEV ALIYEPIGWA NA ANTHONY JOSHUA AWASILI NCHINI KUMSAPOTI MDOGO WAKE ANAPIGANA IJUMAA DAR. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/01/kubrat-pulev-aliyepigwa-na-anthony.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 09.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: KUBRAT PULEV ALIYEPIGWA NA ANTHONY JOSHUA AWASILI NCHINI KUMSAPOTI MDOGO WAKE ANAPIGANA IJUMAA DAR