• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ▼  Juni (133)
      • MESSI BADO BAO MOJA TU AMFIKIE MAREHEMU MARADONA A...
      • KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA...
      • ENGLAND YAICHAPA UJERUMANI 2-0 NA KUTINGA ROBO FAI...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SABRI RAMADHANI 'C...
      • MBAPPE AKOSA PENALTI YA MWISHO UFARANSA YATUPWA NJ...
      • TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA...
      • HISPANIA YATINGA ROBO FAINALI EURO 2020 BAADA YA K...
      • BRAZIL YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA MAKUNDI KWA SARE ...
      • NI RAJA NA JS KABYLIE FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO ...
      • UBELGIJI YAITUPA NJE URENO NA RONALDO WAO EURO 2020
      • CZECH YAITUPA NJE UHOLANZI EURO 2020, KUKUTANA NA ...
      • SIMBA SC 1-0 AZAM FC (KOMBE LA TFF)
      • WANACHAMA WA YANGA WAPITISHA MABADILIKO YA KATIBA ...
      • ITALIA NAYO YATINGA ROBO FAINALI EURO 2020 BAADA Y...
      • NI AL AHLY NA KAIZER CHIEFS FAINALI LIGI YA MABING...
      • SIMON MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD YALAZIMISH...
      • DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAI...
      • SIMBA SC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUITUPA NJE ASFC,...
      • YANGA SC 1-0 BIASHARA UNITED (KOMBE LA TFF TABORA)
      • CHIPUKIZI MWENYE KIPAJI MTANZANIA, KELVIN JOHN AJI...
      • YANGA SC YATINGA FAINALI ASFC BAADA YA KUICHAPA BI...
      • RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1...
      • KAMATI YA MAADILI YA TFF YAMFUTIA ADHABU YA KUMFUN...
      • BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAPA COLO...
      • URENO YAFUZU KWA MLANGO WA ‘UANI’ 16 BORA YA EURO ...
      • HISPANIA NA SWEDEN ZATINGA 16 BORA EURO 2020, LEWA...
      • SIMBA SC 4-1 MBEYA CITY (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • GWAMBINA FC YAPAMBANIA UHAI WAKE LIGI KUU TANZANIA...
      • RAHEEM STERLING AIPELEKA ENGLAND 16 BORA EURO 2020
      • SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAICHAPA MBEYA...
      • TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL ...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SEMMY KESSY MFUNGA...
      • AERGENTINA YANG'ARA COPA AMERICA, YAICHAPA PARAGUA...
      • YANGA SC 3-2 MWADUI FC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
      • DAMU YA TANZANIA, YUSSUF POULSEN AIPELEKA DENMARK ...
      • UHOLANZI YATINGA 16 BORA EURO 2020 BAADA YA KUIPIG...
      • AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO RUANGW...
      • RASMI TFF YATHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUA...
      • UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WA...
      • WALES YATINGA 16 BORA EURO 2020 LICHA YA KUCHAPWA ...
      • YANGA SC YATUMIA DAKIKA MOJA YA MWISHO KUPATA MABA...
      • BIASHARA UNITED YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MUSOMA, ...
      • MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU WYDAD N...
      • HISPANIA YALAZIMISHWA SARE NA POLAND 1-1 SEVILLA
      • UJERUMANI YAZINDUKA NA KUICHAPA URENO YA RONALDO 4...
      • POLISI TANZANIA 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • MTIBWA SUGAR WATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA U20 ...
      • YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAK...
      • UFARANSA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HUNGARY JIJIN...
      • SIMBA B YATWAA NAFASI YA TATU LIGI KUU YA VIJANA U...
      • LUIS MIQUISSONE AFUNGA BAO PEKEE CCM KIRUMBA SIMBA...
      • ARGENTINA YAPATA USHINDI WA KWANZA MICHUANO YA COP...
      • ENGLAND NA CROATIA ZOTE ZALAMISHWA SARE EURO 2020
      • IDDI NADO NA MPIANA MONZINZI KILA MMOJA AFUNGA MAB...
      • DAR ES SALAAM WATWAA UBINGWA WA UMITASHUMTA MICHUA...
      • MBEYA CITY YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO MECHI YA...
      • METACHA MNATA AWAOMBA RADHI YANGA SC KWA KUWATUKAN...
      • NEYAMR AFUNGA TENA BRAZIL YASHINDA 4-0 COPA AMERICA
      • YANGA SC 3-2 RUVU SHOOTING (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • UHOLANZI YATINGA 16 BORA EURO 2020 BAADA YA KUICHA...
      • KIPA METACHA MNATA ASIMAMISHWA YANGA SC BAADA YA K...
      • UBELGIJI YATINGA 16 BORA EURO 2020 BAADA YA KUICHA...
      • FEISAL APIGA MBILI YANGA SC YAICHAPA RUVU SHOOTING...
      • MTIBWA SUGAR YAICHAPA SIMBA 3-1, KUKUTANA NA YANGA...
      • YANGA SC YATINGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA ...
      • ITALIA YASONGA MBELE EURO 2020 BAADA YA KUICHAPA U...
      • KAGERA SUGAR WAICHAPA TANZANIA PRISONS BAO 1-0 KAI...
      • WILDER AGOMA KUZUNGUMZA UTAMBULISHO PAMBANO NA FURY
      • KAMATI YA UCHAGUZI ‘YAMCHINJA’ KAPTENI WA ZAMANI W...
      • WAZEE WA ‘MIKEKA’ HIZO NDIZO MBINU NA MAARIFA AMBA...
      • UFARANSA YAILAZA UJERUMANI 1-0 MUNICH EURO 2020
      • RONALDO APIGA MBILI URENO YAICHAPA HUNGARY 3-0
      • NI AZAM NA YANGA, MTIBWA SUGAR NA SIMBA SC NUSU FA...
      • BIASHARA UNITED YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA 1-1...
      • YANGA NA BIASHARA JUNI 25 TABORA, SIMBA NA AZAM JU...
      • MESSI AFUNGA ARGENTINA YALAZIMISHWA SARE NA CHILE 1-1
      • POLAND YAANZA VIBAYA EURO 2020, YAPIGWA 2-1 NA SLO...
      • SIMBA SC NAYO YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA VIJANA ...
      • YANGA SC YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA VIJANA U20 B...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA ATHUMANI MSUMARI, ...
      • NEYMAR AFUNGA BRAZIL YAICHAPA VENEZUELA 3-0 COPA A...
      • UHOLANZI YAICHAPA UKRAINE 3-2 AMSTERDAM EURO 2020
      • TANZANIA 2-0 MALAWI (MECHI YA KIRAFIKI DAR ES SALAAM)
      • ENGLAND YAANZA VYEMA EURO 2020, YAICHAPA CROATIA 1...
      • TAIFA STARS YANG'ARA BENJAMIN MKAPA, YAICHAPA MALA...
      • ALGERIA YAICHAPA TUNISIA 2-0 NA KUFIKISHA MECHI 27...
      • BEKI WA KUSHOTO WA AKADEMI, PASCHAL MSINDO ASAINI ...
      • PAN AFRICANS, GREEN WARRIORS, MASHUJAA NA DTB ZAPA...
      • LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAICHAPA URUSI 3-0, ...
      • YANGA B YAPANDA KILELENI KUNDI A LIGI KUU YA VIJAN...
      • MBUNGE WA KINONDONI TARIMBA ABBAS AJITOA KUWANIA U...
      • ITALIA YAANZA VYEMA EURO 2020, YAICHAPA UTURUKI 3-...
      • AMINA MNIGA AWA MWANAMKE WA KWANZA KUCHUKUA FOMU K...
      • TFF YAJIBU KWA HERUFI KUBWA; YASEMA HAIWEZI KUBADI...
      • KMC YAICHAPA AZAM FC BAO 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRA...
      • MSHAMBULIAJI MTANZANIA ADAM ADAM AANZA NA MOTO LIG...
      • AZAM FC YAMUONGEZEA MKATABA BRYSON RAPHAEL HADI 2O...
      • SIMBA NA YANGA B ZAGAWANA POINTI BAADA YA SARE YA ...
      • MBUNGE TARIMBA ABBAS NA NAHODHA WA ZAMANI WA TAIFA...
      • HALMASHAURI YA GEITA KUJENGA UWANJA WA MICHEZO KWA...
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » CHANELI MPYA YA TELEVISHENI YAZINDULIWA KWA AJILI YA MICHEZO TU, INAITWA TV3 ITAANZA NA EURO 2020

CHANELI MPYA YA TELEVISHENI YAZINDULIWA KWA AJILI YA MICHEZO TU, INAITWA TV3 ITAANZA NA EURO 2020

Na Asha Kigundula, DAR ES SALAAM
VIJANA Wahimizwa kukimbilia milango ya fursa hasa katika Sekta ya Michezo ili waweze Kunufaika pamoja na kuinua Michezo nchini.
Akizungumza na Waandishi Wahabari kwa Televisheni mpya ya Tv3 itakayoonekana kupitia King'amuzi cha Startimes Mkurugenzi wa  Clouds Media group Joseph Kusaga ambae pia ni Mdau Mkubwa kwa Sasa kwa vijana ,Mara baada ya Kufunguliwa amesema kutokana na Michezo kwa Sasa kupewa nafasi kubwa kwenye jamii inaonyesha iko wazi kuwa kupitia Sekta hiyo tunaweza kufungua Milango mingi ya ajira mbalimbali.


" Sehemu yoyote yenye Michezo lazima kuwepo kwa fursa mbalimbali zenye kulenga kukwamua vijana kiuchumi hivyo Mimi Kushirikiana na Startimes tumezindua rasmi Tv3 yenye Maudhui ya Michezo hasa ya Nyumbani ili kujitangaza zaidi ."
Hata hivyo Kusaga amesema ana lengo la dhati bado kuendelea kusaidia vijana katika Soko la ajira hasa katika tasnia ya habari na Michezo kwa ujumla.
Kwa upande wake Meneja wa Kampuni ya Startimes David Malisa ameeleza kwa jinsi gani Startimes wanavoendelea kuboresha huduma zao kwa kuwapatia wateja wao vitu vizuri na vyenye kukata kiu kuanzia Michezo, Filamu pamoja na tamthilia kwa Lugha ya Kiswahili.
"Tunaendelea Kukuza na kuendeleza Lugha yetu ya Kiswahili hivyo utaona upo umuhimu wa kuwepo Kampuni ya Startimes ili kupitia Burudani kunaweza kuwepo na Kuboresha Lugha yetu yani kinyumbani zaidi."
Malisa amesema Tv3  itapatikana kwenye Lugha ya Kiswahili ambapo Maudhui yake ni ya Kimichezo zaidi japo kutakuwepo na reality show pamoja na tamthilia.
"Tv3 kwa Sasa itatoa nyanja ya kutangaza vitu vilivyopo nchini kwetu Kimichezo na tamthilia hivyo itatupa fursa ya kutangaza utalii uliopo nchini kwetu hasa kukuza Lugha yetu ya Kiswahili."
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi K4S Biko Scanda amehaidi Kushirikiana na Kampuni ya Startimes kidhati ili kuhakikisha Hali ya kiusalama zaidi katika Michezo.
"Kampuni yetu imekua Miongoni mwa Wadau wa Michezo hasa Mchezo wa ngumi na kuhakikisha ulinzi una imarika zaidi."
Tunawapongeza Sana Kampuni hiyo kwa kuendelea kutoa fursa za ajira mbalimbali kwa vijana kwani kuna baadhi ya vijana wengi wanajiingiza kwenye vitu vinavyohatarisha maisha yao na kupelekea kuwa vibaka.
"kwahiyo  kupitia K4S pamoja na Startimes tunazingatia kuendelea kutoa fursa za ajira zaidi na tunategemea Mechi ya ufunguzi wa Euro 2020 kesho katika uwanja wa Zakhiem tutaimarisha ulinzi wa kutosha".


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3gmzBtq best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CHANELI MPYA YA TELEVISHENI YAZINDULIWA KWA AJILI YA MICHEZO TU, INAITWA TV3 ITAANZA NA EURO 2020. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/06/chaneli-mpya-ya-televisheni-yazinduliwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 07.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: CHANELI MPYA YA TELEVISHENI YAZINDULIWA KWA AJILI YA MICHEZO TU, INAITWA TV3 ITAANZA NA EURO 2020