Na Alphonce Kabilondo, GEITA
HALMASHAURI ya Mji wa Geita Mkoani Geita imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.9 kwa ajili ya kujenga Uwanja mpya wa mpira utakaotumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara utakaokuwa na uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 18,000.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Mhandisi Felix Nlalio ametoa taarifa ya ujenzi wa uwanja huo mbele ya kamati ya siasa ya wilaya ya Geita ilipofika kukagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo .
Kaimu Mkurugenzi huyo amesema kuwa mchakatao wa kumpata mkandarasi wa kujenga uwanja huo umeshamilika na kwamba halmashauri imetenga fedha hiyo ambayo ni mapato ya ndani pamoja na shilingi bilioni moja ambayo ni fedha ya uwajibikaji wa kampuni kwa jamii CSR kutoka Mgodi waa GGML.
Alisema kuwa wakati ujenzi wa uzio ukiendelea utaenda sanjari na usanifu wa majukwaa na kupanda nyasi za (ukoka) na baadae zitawekwa nyasi za bandia ambapo ujenzi huo unatarajia kukamilika kwa kipindi cha miezi minne .
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya Geita Mkoani Geita , Barnabas Mapande alisema kuwa mbali na wananchi kupata nafasi kushudia burudani ya soka kufuatia mitanange ya timu za lingi kuu itakayokuwa ikiendeea katika uwanja huo pindi utakapo kamilika halmashuri pia itakusanya mapato.
''Uwanja huu ni muhimu kwa wanageita kwa kuwa sasa tunayo timu ya Geita Gold Fc ambayo imefuzu kushiriki michezo ya ligi kuu hivyo uwanja ukamilike haraka ''alisema mwenyekiti huyo .
Aidha Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwalimu Fadhili Juma alisema kuwa kiu kubwa ya wanageita ni kushudia ligi kuu inachezwa kwenye dimba la Geita.
Mkuu huyo alisema kuwa hivikaribuni Rais wa shirikisho la soka Nchini TFF Wallace Karia alifika Geita na kutembelea eneo la Magogo kata ya Bombambili unapojengwa uwanja huo na kuahidi kutoa ushirikiano kwa kuleta watalaamu waliobobea kusanifu viwanja vya soka.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3pJa16m
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms