MABAO ya kiungo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ dakika ya 17 na 37 yametosha kuwapa Yanga SC ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Yanga SC imefikisha pointi 73 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 33, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari kwa mara ya nne mfululizo, Simba SC wenye pointi 79 za mechi 32.
Mechi za mchana KMC imeshinda 5-2 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, Sadallah Lipangile akifunga mabao mawili dakika za 15 na 43 sawa na Charles Ilanfya dakika ya 45 na ushei na 72 na Cliff Buyoya dakika ya 79, huku ya wageni yakifungwa na Daniel Lyanga dakika ya 45 na Bilal dakika ya 63.
Nayo Ruvu Shooting ikaichapa Namungo FC 2-1 mabao yake yakifungwa na David Richard dakika ya 27 na Fully Maganga dakika ya 63, wakati la wageni limefungwa na Reliants Lusajo dakika ya 79 Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani. VIDEO
Na Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa bao la Mohammed Mkopi dakika ya 56 liliwasaidia wenyeji, Tanzania Prisons kupata sare ya 1-1 na Biashara United ya Mara iliyotangulia kwa bao la Christian Zigah dakika ya 47.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2VDg55a
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms