• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ▼  Juli (141)
      • AZAM FC YAMSAJILI MSHAMBULIAJI MKONGO, IDRIS MBOMB...
      • KIKOSI CHA TANZANIA KILICHOTWAA KOMBE LA CECAFA CH...
      • KAMATI YA RUFANI YA UCHAGUZI YA TFF YAAGIZA UCHAGU...
      • TANZANIA PRISONS YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA K...
      • AZAM FC YAMPONGEZA MTENDAJI WAKE MKUU WA ZAMANI KU...
      • NYOTA WA R&B NCHINI, BEN POL ATOA NYIMBO NNE MPYA ...
      • ARSENAL YAMSAJILI BEN WHITE KWA ADA YA PAUNI MILIO...
      • MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI YA SH MILION...
      • TANZANIA YATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 BA...
      • CECACA YABADILI MPANGILIO KOMBE LA KAGAME, SASA NI...
      • HATIMAYE MO DEWJI AKABIDHI HUNDI YA SH BILIONI 20 ...
      • BODI YAAHIDI KUFANYIA MAREKEBISHO DOSARI ZILIZOJIT...
      • JKT TANZANIA YATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA CHIN...
      • YANGA SC YAACHANA RASMI NA BEKI WAKE MGHANA KWA MA...
      • YANGA SC YAPANGWA KUNDI MOJA NA BIG BULLET YA MALA...
      • EZEKIELKAMWAGA AREJESHWA SIMBA SC KUKAIMU NAFASI Y...
      • SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC KITITA CHA SH MILIO...
      • WINGA MGHANA, BERNARD MORRISON ASHINDA TUZO YA MCH...
      • TANZANIA YATINGA FAINALI MICHUANO YA CECAFA CHALLE...
      • NAOMI OSAKA ATUPWA NJE RAUNDI YA TATU TU TENISI OL...
      • NASREDDINE NABI AWABWAGA GOMES WA SIMBA NA LULLE W...
      • KOPE MUTSHIMBA MUGALU AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KU...
      • SPURS YASAJILI KIUNGO WA HISPANIA, LAMELA KWAHERI
      • MUKOKO TONOMBE AWAOMBA RADHI YANGA BAADA YA KUSABA...
      • MABINGWA WA MATAJI YOTE NCHINI, SIMBA SC WAREJEA D...
      • KIKOSI CHA YANGA SC CHAREJEA DAR KINYONGE BAADA YA...
      • WASHINDI WA MATAJI YOTE YA TANZANIA BARA MSIMU WA ...
      • SIMBA SC 1-0 YANGA SC (FAINALI KOMBE LA TFF)
      • SIMBA SC WAKISHEREHEKEA USHINDI WA TAJI LA ASFC
      • THADEO LWANGA AWAZIMA YANGA SC KIGOMA, SIMBA SC YA...
      • NABI AWAANZISHA PAMOJA KISINDA, YACOUBA SOGNE NA F...
      • GOMES AWAANZISHA PAMOJA MIQUISSONE NA WASHAMBULIAJ...
      • TANZANIA PRISONS YAMREJESHA KIPA WAKE AARON KALAMB...
      • MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL M...
      • TFF KUGAWA BARAKOA KWA KILA SHABIKI ATAKAYEINGOA U...
      • MTIBWA SUGAR NA COASTAL UNION ZAEPUKA JARIBIO LA K...
      • AZAM FC YAWAACHA NYOTA WAKE WANNE WA KIGENI, CHIRW...
      • TANZANIA YATINGA NUSU FAINALI MICHUANO YA CECAFA U...
      • KOCHA MFARANSA WA SIMBA SC, DIDIER GOMES ASEMA ANA...
      • MSAFARA WA YANGA SC ULIOPO KIGOMA KWA AJILI YA FAI...
      • MWANAMUZIKI NGULI NA KIONGOZI WA BENDI YA NJENJE, ...
      • MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MABING...
      • MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA SC KABLA YA KUMENYANA N...
      • HATIMAYE MAN UNITED YAKAMILISHA UHAMISHO WA SANCHO...
      • DEPAY ATAMBULISHWA BARCELONA BAADA YA KUSAINI MKAT...
      • MWENYEKITI WA KAMATI YA WAAMUZI, SOUD ABDI AWAAMBI...
      • AZAM FC YASAJILI MKALI MWINGINE KUTOKA ZAMBIA, NI ...
      • YANGA SC YASTAAJABISHWA NA TFF KUPANGA REFA ALIYEC...
      • SERIKALI YAUNDA KAMATI YA WATU 12 KUANDAA NA KUSIM...
      • KIKOSI CHA SIMBA SC NACHO CHAWASILI SALAMA MJINI K...
      • MBUNGE SHANGAZI ATEULIWA KUCHUKUA NAFASI YA BARBAR...
      • REAL MADRID YAMTAMBULISHA RASMI BEKI MPYA DAVID ALABA
      • KIKOSI CHA YANGA SC CHAWASILI KIGOMA MAPEMA TAYARI...
      • AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA...
      • TANZANIA YAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA...
      • MTIBWA SUGAR YAIFUMUA TRANSIT CAMP 4-1 NA COASTAL ...
      • REFA AHMED ARAJIGA WA MANYARA KUCHEZESHA PAMBANO L...
      • SAMATTA AFUNGA BAO MOJA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI F...
      • CHIPUKIZI MTANZANIA KELVIN JOHN AFUNGA BAO KRC GEN...
      • GIANNIS ANTETOKOUNMPO AIPA BUCKS UBINGWA WA NBA BA...
      • TFF YAAHIDI KUENDELEA KULIPA DENI LA SHULE YA FILB...
      • POLISI TANZANIA YAACHANA NA WACHEZAJI WAKE 13 PAMO...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MATHIAS MULUMBA, B...
      • KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA UMRI W...
      • KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA SC, SULEIMAN MATOLA NA KOC...
      • MAKAMU WA RAIS TFF, ATHUMANI NYAMLANI ALIPIKWENDA ...
      • AZAM FC YASAJILI MCHEZAJI MPYA WA TATU KUELEKEA MS...
      • TFF YATANGAZA KUFUNGUA RASMI DIRISHA LA USAJILI NA...
      • TIMU YA VIJANA YA TANZANIA KATIKA MAZOEZI YA MWISH...
      • KIKOSI CHA YANGA SC KILIPOREJEA DAR ES SALAAM KWA ...
      • AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MZOEFU WA KIMATAIFA ...
      • PAMBANO LA TATU LA FURY NA WILDER LASOGEZWA OKTOBA 9
      • BOCCO AWA MFUNGAJI BORA WA KWANZA MZAWA LIGI KUU B...
      • SIMBA SC 4-0 NAMUNGO FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • SIMBA SC WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA NNE MFULU...
      • GIROUD ATUA AC MILAN BAADA YA MIAKA MITATU NA NUSU...
      • BUCKS YAIBWAGA SUNS 123-119 MECHI YA TANO FAINALI NBA
      • AL AHLY WAICHAPA KAIZER CHIEFS 3-0 NA KUTWAA UBING...
      • UHONDO WA MECHI ZA KUHITIMISHA MSIMU WA LIGI KUU Y...
      • AZAM FC 1-1 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • YANGA SC 2-0 IHEFU SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • BIASHARA UNITED YAJIHAKIKISHIA KUCHEZA KOMBE LA SH...
      • KAGERE AIFUNGIA BAO LA KUSAWAZISHA SIMBA SC BADO D...
      • HARUNA NIYONZIMA ALIVYOAGWA LEO YANGA SC
      • FEISAL SALUM ‘FEI TOTO’ APIGA ZOTE MBILI YANGA SC ...
      • MIDDLETON ANG'ARA, BUCKS YASAWAZISHA, 2-2 NA SUNS ...
      • MESSI ASAINI MKATABA WA PUNGOZO KUBAKI BARCELONA
      • DONNARUMMA ASAINI PSG BAADA YA KUMALIZA MKATABA AC...
      • UEFA YATAJA KIKOSI BORA CHA EURO 2021 BILA CRISTIA...
      • TANZANIA YAPANGWA KUNDI A CECAFA CHALLENGE U23 ETH...
      • SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA L...
      • HARUNA NIYONZIMA KUAGWA YANGA SC ALHAMISI KATIKA M...
      • SULEIMAN JONGO AELEZEA SABABU ZA YANGA KUITWA KAND...
      • SIMBA SC 2-0 COASTAL UNION (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • ITALIA WAIZIMA ENGLAND KWA MATUTA WEMBLEY NA KUBEB...
      • RASMI, SIMBA SC MABINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA...
      • BODI YA LIGI YASOGEZA MBELE KWA SIKU MOJA MECHI ZO...
      • ARGENTINA WAIPIGA BRAZIL 1-0 NA KUTWAA TAJI LA COP...
      • RAJA CASABLANCA WATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
      • AZAM FC YAIONJESHA TRANSIT CAMP LADHA ZA LIGI KUU,...
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.

MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho (TFF) na aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi nchini, Wakili Said Hamad El Maamry amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es Salaam akiwa ana umri wa miaka 86. 
Alhaj El Maamry amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kiharusi kwa zaidi ya miaka mitano, yaliyomsababishia maradhi ya kifua, shingo na mkono wa kulia kushindwa kufanya kazi kwa kipindi chote hicho.
El Maamry ambaye mwaka 1973 kwa mara ya kwanza alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa FAT katika uchaguzi mkuu uliofanyika Tanga, amewahi kuwa mjumbe wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuanzia mwaka 1980 hadi 1986 kabla ya kuteuliwa kuwa Mjumbe wa heshima mwaka 1998.


El Maamry ambaye akiwa kiongozi mkuu wa soka ya Tanzania, Taifa Stars ilicheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza mwaka 1980, amewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Mwaka 1976 Waziri wa Michezo, Mirisho Sarakikya alivunja Kamati ya Utendaji ya FAT iliyoongozwa na El Maamry kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utawala mbovu, akambakisha madarakani Katibu Mkuu, Hassan Chabanga Dyamwalle pekee (marehemu pia).
Hayo yalifanyika wakati Taifa Stars ikiwa na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Nigeria kujiandaa na mechi za kufuzu kucheza Fainali za Afrika ambazo zilikuwa zikifanyika Addis Ababa Ethiopia ndipo El Maamry akaambiwa kuanzia siku ile si Mwenyekiti tena wa FAT lakini aendelee kuwa karibu na wageni mpaka watakapoondoka.
Hata hivyo, serikali ikamruhusu kugombea katika uchaguzi wa FAT uliofanyika mwaka huo huo na akashinda na kuendelea kuongoza hadi mwaka 1986 alipoondoshwa akiwa kwenye fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico ambako alialikwa, kabla ya kupigwa marufuku hata kugombea aliporejea kufuatia mchujo wa wagombea kufanywa akiwa nje ya nchi.
Katika uchaguzi mkuu wa FAT uliofanyika Mbeya, nafasi ya Mwenyekiti hakupatikana mtu, hivyo Makamu Mwenyekiti Mbeyela akakaimu nafasi ya Mwenyekiti hadi mwaka 1989 alipochaguliwa Mohamed Mussa kuwa Mwenyekiti aliyeongoza FAT hadi mwaka 1992 huku El Maamry akibaki kuwa Mjumbe wa Heshima wa CAF tangu alipoteuliwa mwaka 1998.
Mungu ampumzishe kwa amani. Amin.


Marehemu Said El Maamry (kulia), hapa akiwa Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Morogoro akimshuhudia Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo, Lawi Nangwanda Sijaona akikagua timu ya soka ya Jeshi la Polisi Morogoro mwaka 1965.  




from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3y4muoq best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/07/mwenyekiti-wa-zamani-wa-tff-alhaj-said.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 02.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.